Final Part : Where youth meets old age.
Watoto wa kaka Edwin na Edith.
Catherine ni Dr. Bingwa wa watoto yuko Namibia, ameolewa na Mtanzania mwenzake nae ni Dr. huko Namibia, wana watoto watatu sasa.
Careen alipenda kuwa kama baba yake, kwa sasa ni captain yuko pale Air wings, ukonga. Aliolewa na mkurya mmoja, japo walishindwana wakaachana, wamepata mtoto mmoja.
Charles yuko ujerumani, nilimuunganisha na Isabella akamtafutia kazi kwenye campuni yao , kwa sasa anafanya biashara zake na ameoa mjerumani, wana watoto wawili. Anaishi na Edson Jr3.
Caressa alianzia kazi Finland, Violet alimtafutia kazi shirika binafsi. Kwa sasa ameolewa wakahamia Serbia, ana mtoto mmoja.
Niliwapambania kama malipo ya fadhira kwa kaka yangu na shemeji yangu, walinitafutia na mimi kazi kule Ethiopia.
* *
Sina ukoo, babu alifariki baba akiwa mdogo, alilelewa na rafiki tu wa baba, ndio maana hatukuwajua ndugu wa upande wa baba. Ndugu nilionao ni wale wa upande wa mama, mama alikuwa na kaka yake (Paul), huyu ana watoto sita, ndio tuko ukoo wa mama.
Watoto wake mjomba niliwatafutia kazi kadri ya uhitaji wa kila mmoja, wa biashara niliwawezesha, wote wanaishi maisha yao mazuri tu. Japo kuna ka binamu kangu karembo kalitaka kuniingiza mkenge kabla ya kifo cha mama, nashukuru nilimkemea huyo pepo akaondoka, tukabaki tunaheshimiana sana.
Sijui asili ya kabila langu, naweza sema sijui mimi ni kabila gani, ila nilijitahidi kujifunza lugha mbali mbali za makabila niliyofanikiwa kuishi nayo, nazungumza vizuri Kihaya, kikurya, kisukuma, kimasai, kimeru na kingoni. Pia nasikia baadhi ya lugha ila kujibu ni mtihani kama vile kijita, kihehe, kichaga, kipare, hapa ukiniteta najua ila siyo maeno yote na kujibu siwezi.
* **
Education
Twins: Edson Jr 1 & Eila, Sept 28, 1999
2006-2014: Comprehensive school education Primary & Secondary .
2014 - 2017: 3 yrs,credit 180. Bachelor degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.
2017-2019: 2 yrs, credit 120. Masters degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.
* *
Eila Edson.
2006- 2014:Comprehensive school education (Primary & Secondary).
2014-2017: 3 yrs,credit 180. Bachelor of Business Administration in International Business. Lapland University of Applied Science.
2017-2019: 2 yrs, credit 120, Masters of Business Administration in International Business. Lapland University of Applied Science
* **
Elisa Edson, Jan 2 2000
2007 - 2015: Comprehensive school education
2015 - 2018: Bachelor Programme in Strategic Finance and Analytics. LUT University.
2018-2020: Master's Programme in Strategic Finance and Analytics. LUT University.
* **
Elise Edson. June 12, 2003
2010 - 2018: Comprehensive school education
2018 - 2021: Bachelor of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design. Häme University of Applied Sciences
2021-2023: Masters of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design. Häme University of Applied Sciences.
* **
Edson Jr2, April 22 2005
2012 - 2020: Comprehensive school education
2021 - ongoing: Bachelor in Finance, University of Oulu
* **
Edson Jr3 August 8,2009
2016 - ongoing : Comprehensive school education.
* **
Rosemary Edson .
Bachelor of Business Administration in International Business. UDSM
* **
Violet Edson
Bachelor Programme in Business, Information Technology. LUT University.
* **
Edson Anthony.
1982 - 1989: Certificate in Primary education. Misufini - Songea, Kitete- Iringa and Sanawari- Arusha.
1990 - 1993: Certificate in Secondary education. Songea boys - Ruvuma.
1994 - 1995: Certificate in Advance Secondary education. Ilboru high school - Arusha.
1996 - 1998: 'Bachelor of Arts Economics and Statistics. UDSM
2009 - 2011 : Bachelor in Audio Engineering, SAE Institute , Munich, Germany
2013 - 2015 : Bachelor in Chamber Music. Malardalen University, Vasteras, Sweden
2016-2018 : Bachelor of Theology and psychology. Evangelical seminary, Finland
Language proficiency: Finnish, English, Portugal, Arabic, French and Germany.
Local languages: Kiswahili, kiganda, Kingoni,, Kimasai, kimeru, kipare na kikurya kiasi.
**
* *
Distribution of property.
Electronics company. {Finland}
Edson Jr1 20% as MD, Edson Jr2 20% as ED, Elise 10% as ED, Elisa 10% as FD, Eila 10% as ED and Parents 30% as Board managers
Beef company {Finland}
Edson Jr1 20% as ED, Edson Jr2 20% as MD
Eila 10% as FD, Elise 10% as ED, Elisa 10% as ED, and Parents 30% as Board managers
Accountability.
Electronics company: Edson Jr 1, Elise and
Edson Jr 2
Beef company, Elisa and Eila
Tourism company {Tanzania}
Rosemary 50% shares with her kids and Violet 50% shares with her kids.
Hotel {Arusha}
Edson Jr3 60% shares
Rosemary 20% shares with her kids and Violet 20% shares with her kids.
Arusha shops: Rosemary 100% shares.
Dar shops: Violet 100%
Tenant houses {Sakina & Njiro}
Rosemary 80% shares with her kids and Edson Jr3 20% shares.
Tenant houses {Kigamboni & Tabata}
Violet 80% shares with her kids and Edson Jr3 20% shares.
Residential house. {Sakina}
Rosemary 100% shares with her kids.
Residential house. {Kigamboni}
Violet 100% shares with her kids.
** **
UJUMBE MHIMU:
Waebrania 13:2
Msiache kuwakaribisha wageni, maana kwa kufanya hivyo watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua.
Malaika wangu ni Mr Collins na familia yake.
* *
I don't regret it
The things I don't regret in my life is the decisions I've made for refusing to move to Finland, marrying Rosemary and stay with Violet.
* **
Regrets
# I regret
Not taking the first decisions regarding my relationship with Violet, and Rosemary. This situation led me to a crisis in my faith.
* **
# I regret
Mwaka juzi nilimsaidia wanafunzi wa chuo cha Udom, anaitwa Aisha. Alikuwa amefiwa na baba yake, akawa anatatuta usafiri wa kufika kwao Mtwara, hakuwa na pesa ikabidi amuombe boyfriend wake ambae sio mwanafunzi, wakakubalia wakutane Stand ya mkoa ili ampe nauli aondoke, yule dada alikaa pale stand toka saa 6 mchana mpaka saa 9.
Siku hiyo nilikuwa na safari ya Dar, nikasimama hapo stand kuchukua mafuta, nikakutana na friend of mine, tukiwa tunaongea, huyo Aisha akaja tulipokuwa, akasalimia vizuri, akasema shida yake. Yule jamaa yangu akaniambia hawa ni malaya wa hapa mjini achana nao. Kweli nilimjibu yule Aisha kuwa sina cha kumsaidia. Akashukuru na kuondoka.
Masaa mawili baadae nikiwa naanza safari, nikamuona Aisha jirani na nane nane petrol station amekaa pembeni na begi lake. Nikasimama, nikamuita akaja nikamwambia apande twende maana naelekea Dar.
Alishukuru sana, akapanda, muda mwingi akawa analia tu kwa kufiwa na baba na kudanganywa na mpenzi wake. Njiani niliamini maneno ya yule rafiki yangu, Aisha akaanza mawindo ndani ya gari.
Alikaa siti ya mbele na mizigo tumeweka siti ya nyuma, kumbe alikuwa amevaa sketi fupi sana hata magotini haifiki, akawa amevaa mtandio juu yake. Kutokana na Ac ya gari, akavua mtandio ili ajifunike, akaacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi, ukizingati ana hips kubwa, nilimchukulia kama binti yangu tu.
Nikaona nikimwambia akae vizuri atajua nimetamani, nikanyamza tu. Tukafika Dar, nikamchukulia Hotel pale ubungo, nikampa nauli na pesa za ziada. Akalia sana wakati anazipokea, akaniomba namba nikampa nikaondoka.
Baada ya miezi miwili akaniomba tuonane, ni binti mzuri sana, ana hips kubwa na kalio la size yake.
Nikamwambia anieleze kama kuna shida nitamsaidia ila kuonana haitawezekana. . Nikakataa kuonana nae, maana nilijua anchotaka sitaweza kumpa.
Kumbe hakuwa mkazi wa mtwara, alidanganya ili apate nauli kubwa. Hakuacha usumbufu ila nikampuuza, mwaka jana mwezi wa pili nikapigiwa simu na mama yake, kuwa Aisha anaomba msaada ana matatizo ya moyo, ameambiwa aende India hawana pesa ya nauli na matibabu, nikakubali kuwachangia, sina hakika kama walienda au laa maana sikufatilia.
Mwezi wa nne nikaona usumbufu unazidi, nikamtafutia kazi pale Benjamin Mkapa Pension House, kuna kampuni moja ilikuwa mle.
Baada ya miezi miwili ya kufanya kazi, mama mtu akanitafuta, akaomba nionane nae, nikamfata maeneo ya mgulani jkt. Akaniomba niende kwao nikakataa, tukakaa sehemu tuongee. Mama na mwanae wakawa wananisihi nisimtese Aisha, ananipenda, nikawambia nina binti wa umri kama Aisha, nilimsaidia tu, ningetaka mahusinao nae ningejilipa the same day.
Nashukuru kwa kuwa ananipenda, naomba nimpe mtaji afanye biashara, Aisha akasema mbele ya mama yake, hataki pesa zangu ananitaka mimi ili apone.
Nialiamua kuchukua kiasi cha pesa nilishakiandaa, nikampa Aisha akakataa ila mama akapokea, kiliwatosha kufungua biashara nzuri. Nikaondoka, lakini Aisha hakuwahi pumzika kunitafuta na hapo kati nimemhudumia sana akidai anaumwa na hawana chakula, ila hatuonani tu, japo anafanya kazi.
Mwaka huu mwezi April siku nimebadili avatar yangu kutoka [Charles Champlin kuwa crying eye] , Aisha akanywa vidonge, baada ya kukataa kuonana nae siku ya pasaka, akafariki kwa kukosa penzi langu. Niliumia sana kwa maamuzi yake, ilisaidia kwa moyo, amenipa majuto.
* **
# I regret
Kipindi flani nilimpenda dada mmoja anaitwa Hadijah, alikuwa mzuri sana, nilimfahamu tangu akiwa chuo mkoa flani. Baadae nikakutana nae akiwa ameajiliwa, nikajaribu kuanzisha urafiki nae kwa njia za kawaida bila yeye kujua kama nina hali gani kiuchumi, nilikuwa simple sana mbele yake.
Akawa anatoa ushirikiano mara ananipotezea. Kila mara nikijiweka karibu nae, hanithamini, na malalamiko yasiyoisha, nikakata tamaa nikaachana nae.
Baada ya muda flani, nikajisiki tu nimsaidie kwa vile nilimpenda sana, alinivutia, nikaomba nimsomeshee mtoto wake na aniambie biashara anayotaka nimpe mtaji ili awe na kipato cha uhakika asitegemee ajira tu.
Akafurahi sana, akarudisha urafika kama mwanzo. Nikamwambia, sitaki tuonane, ili usiseme na namsaidia ili nile tunda lake.
Akaanza kunijali kiasi kupitia sms, sikuwa na nia ya kutaka penzi lake kwa vile nilishaona hana upendo kwangu, ila amerudi baada ya kusikia nataka kumpa msaada. Tukaanza mipango, nikiwa nasubiri jibu la biashara yake anayotaka, nikasafiri kwenda fin, bila yeye kujua.
Akaibiwa vitu anapokaa, akanilalamikia sana kama vile nimeiba mimi, nikamwambia anitajie nitamlipa asiwaze.
Akaorozesha kama 460000, ila nikaona ametaja vitu low quality, Tv inch 24 sundar?. Nikakusudia nikamfanyie shopping nikirudi, zilibakiza wiki 3 tu nirudi, akachukia kumbe alitaka nimpe ile laki 4 na 60 hapo hapo, wakati mimi nimewaza kununua vitu vya zaidi ya milioni. Baada ya muda akarudi tena na sweetie nyingi, nikasamehe.
Baada ya kuona ana hamu ya kuniona, maana aliomba mpaka whatsapp namba, nikamnyima, nikaamua kukubali tuonane nikirudi, Akafurahi.
The same day, akaniomba nimletee simu ya IPhone macho matatu au manne, nikakubali, nikamwahidi na zawadi nyingine pia, ila nikabaki najiuliza, huyu nimempata nafasi ya kumpa mtaji wa biashara , na kumlipia ada ya mtoto wake kwa miaka 7 maana yuko nursery, kwa nini haoni hayo anaona tu vitu vidogo vidogo kama simu.
The other day nikamtumia ujumbeb kuwa aache mawazo ya vitu vidogo, anijibu kuhusu mtaji, hivyo vingine nitampa kama zawadi sio lazima aniombe,
Nikamwambia " usiombe samaki mmoja kwa mtu anaetaka kukupa ndoano na kukufundisha kupata samaki wengi",
akakasirika, akaona nimemsimanga.
Baadae akanijibu sitaki tena mtaji wako, wala umsomeshe mwanangu, nitapambana menyewe. Nimegundua ukinisaidia nitakuwa mtumwa wako kimapenzi, itakuwa kila nikitaka kitu lazima nikupe tunda ndipo nikipate.
Nikamfafanulia kwa nini sikutaka kuonana nae na kuwa ni yeye amenishawishi nionane nae. Pia nikamuomba tuache mpango wa kuonana, nitamtumia hizo zawadi na pesa kama tulivyokubalia, akajibu nisimtukane kama shida ni zake.
Sikumtafuta tena, akanitumia ujumbe tena kuwa nisimtukane na yeye hataki msaada wangu. Nikamjibu mbona tangu umenitumia sms sijakujibu, naomba block namba yangu.
Akanyamaza sana kisha akanijibu siwezi kublock namba yako, sina ugonvi na wewe, acha hasira, nataka tuwe peace [emoji3577].
Nilimwambia nimempa options, anapaswa kuamua kukubali au kukataa, kama anakubali aseme biashara gani na mtaji kiasi gani. Alikuwa ameniambia ada ya mtoto ni 1.2m kwa mwaka nikajua hapa nato 8. 4m kwa miaka 7. Ila biashara hataki kusema. Tatizo likawa kutoa taarifa zake ili apokee pesa kwa Western union, au posta, akawa na mashaka ya kutoa details za national ID yake.
Binafsi niliamua kumpotezea nisimuulize tena, nikawa nasubiri aseme njia nzuri ya yeye kupokea hiyo pesa, japo sikujua alinichukuliaje kwa utayari wangu kumsaidia. Mpaka leo sijui kwa nini alinidharau kiasi kile huku anautaka msaada wangu.
Mpaka leo najuta maana upendo ulinifanya nikadharaulika na mrembo Hadijah. Way back!!!
* **
Luka 17:3-4 Kwa hiyo jiangalieni. Ndugu yako akikutenda dhambi, mkemee; na wakitubu basi wasamehe. Hata wakikutenda dhambi mara saba kwa siku na kurudi kwako mara saba wakisema, Nimetubu, lazima uwasamehe.
Je, Biblia inasema nini kuhusu kutorudia dhambi?
“Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata kuzitii tamaa zake; msivitoe viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi, bali jitoeni wenyewe kwa Mungu. Kwa maana dhambi haitakuwa na mamlaka juu yenu, kwa kuwa hampo chini ya sheria, bali chini ya neema.
Ni dhambi gani pekee ambayo haiwezi kusamehewa?
Mistari: Marko 3:28–29, Mathayo 12:31–32, na Luka 12:10, Waebrania 6:4–6, Waebrania 10:26–31, na 1 Yohana 5:16.
Kwa hiyo nawaambia, watu watasamehewa kila dhambi na kufuru, lakini kumkufuru Roho hawatasamehewa.
Yeyote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa, katika ulimwengu huu wala katika ule ujao.
* **
Song: Lord I Hope This Day Is Good
Album: Especially for You
Released: 1981
Artist: Don Williams
Genre: Country
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
Lord, have you forgotten me
I've been prayin' to you faithfully
I'm not sayin' I'm a righteous man
But Lord I hope you understand
I don't need fortune and I don't need fame
Send down the thunder, Lord, send down the rain
But when you're plannin' just how it will be
Plan a good day for me
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
You've been the King since the dawn of time
All that I'm askin' is a little less crime
It might be hard for the devil to do
But it would be easy for you
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
* *
Jiandaeni Kwa SERIES YA HUU MKASA
toka NETFLIX.
Kwa yoyote atakae utumia huu mkasa kwa njia yoyote ile, atambue kuwa asiuweke kwenye digital platforms fotauti na Jamii Forums, akifanya hivyo atakutana na Netflix kama wamiliki halali, Be informed.
Wanatambua kuwa nimechapisha sehemu ndogo ya huo mkasa upande wa mapenzi pekee, na link wanayo wameuona.
[ Hatua za kujilinda dhidi ya madai ya ukiukaji wa hakimiliki, Usinakili chochote, Omba hati ya haki ya kutumia, Andika kazi yako mwenyewe.]
Huu mkasa umesajiliwa cosota, na ni mali ya Netflix kuanzia January 8, 2022. Tulikubaliana nitumie sehemu 30% tu kama nitachapisha kitabu, 70% ya mkasa huu imebaki kuwa mali ya Netflix.
Hapa nimeelezea upande mmoja tu wa maisha yangu, kuna dark side sijagusa kabisa, namna nilivyomalizana na Ludvig na genge lake sijaelezea, kutapeliwa mamilion ya pesa nilizochuma nikiwa na Ludvig, Nilivyo pata dili la pesa ndefu kupeleka siraha za magendo somewhere , usaliti wa Alfred nk yatakuwa kwenye hii series. Haya matukio ya dark side ni kambla sijakutana na mwanga mpya na kuokoka.
Itakuwa na seasons 4 kila moja episodes 8 play time 1hr kwa kila episode. Kwa sasa uzalishaji umefikia 23%.
Nafasi yangu itachezwa na Kenya Barris, sababu ya kumchagua tunalingana umri na ana watoto sita kama mimi pia ana vituko, tunashabihiana kwa mambo mengi sana. Atakuwa actor na producer wa hiyo series. Miongoni mwa kazi zake ni coming to America 2 na black ish,
Miongoni mwa mastar watakaokuwepo kwenye hii series ni Bright Okpocha aka basketmouth from Nigeria.
[ Wabongo wachache nilioongea nao waliona ni ndoto hiyo kitu kufanyika, nikaamua kuachana nao. ]
Nitawapa details zaidi…..
* *
My advice.
If you have an idea, a game, a script or a continuous output that you want to present to Netflix. you must work through an authorized agent, producer, lawyer, manager or industry leader, as applicable, who has an existing relationship with Netflix..
Netflix would pay between $5,000 and $70,000 per licensed African film for ROI.
There are two ways for you to sell your script to Netflix. First, develop a relationship with certain Netflix employees, or send your script through a letter of request to Netflix's licensed literary agent. IMDB Pro can assist you in finding a useful tool to use if you are able to use it correctly.
* **
Guys
Wapendwa nawashukuru sanab kwa kutenga muda wenu kuwa na mimi hapa, hakika nathamini upendo huo.
Naomba atakaeguswa, aniombee kwa imani yake, hali yangu kiafya sio nzuri. Natarajia kufanyiwa pacemaker replacement ijumaa hii. Hii ya kwanza niliyonayo imepata hitilafu kutokana na mazingira, wanadai usumaku umeiathiri, haifanyi kazi vizuri.
Pia baada ya replacement nitakuwa mbali na vitu vya electronics hasa simu, nikipata wasaa nitakuja hapa kuwasalimia ndugu zangu.
Nashukuru sana kwa mapokezi yenu japo nipo tangu 2007 kwa id tofauti. Muwe na wakati mwema. [emoji120]
* **
English: Thank you very much for your precious time, see you around[emoji120]
Finnish: Kiitos paljon arvokkaasta ajasta, nähdään.[emoji120]
Portuguese: Muito obrigado pelo seu precioso tempo, vejo você por aí.[emoji120]
Germany: Vielen Dank für Ihre kostbare Zeit, bis bald.[emoji120]
Arabic: shukran jazilan ealaa waqtik althamin , 'arak fi aljawar..[emoji120]
French: Merci beaucoup pour votre temps précieux, à bientôt. [emoji120]
#Mpakani mwa ujana na uzee
#Akili za kizee.
Keep in mind! [emoji116]
Keep life profile low, be straightforward, be humble and stay out of trouble, enjoy life'…… [emoji112]
View attachment 2600576
* 2023 **