Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Msomali na lile kabila wanawake walikuwa wanasifika kwa kujazia neema za Allah naa mahaba wanashika wanaume mpaka wanaume wakawa wanahonga nyumba pande za mzizima 😁
Aah kumbe muhindi mwekundu🤣🤣 sasa si ungesema ni muhindi tu ndugu yake na MO dewj kwa sababu mzizima hakuwah kuwa na wasomali😀 labda warangi🤣🤣
 
This has moved me. Mungu akubariki sana Nourhan 😀 Usisahau maneno aliyokuambia baba yako. .
 
Aah kumbe muhindi mwekundu🤣🤣 sasa si ungesema ni muhindi tu ndugu yake na MO dewj kwa sababu mzizima hakuwah kuwa na wasomali😀 labda warangi🤣🤣
Jinga wewe kabila letu lina mpaka mtaa na msikiti 😁kuna mhindi ana mtaa na msikiti na walihongwa majumba kariakoo na wana mizigo nyuma 😁
 
Asante sana , Mungu akubariki nawish sana kubahitika kusoma kitabu chako , Mungu akuongoze na pia pole kwa uchovu wa afya yako ila Mungu ni mwema kila kitu kitakuwa sawa .

Hii hadithi nitampa kijana mmoja emuencourage maana ina mafunzo mengi , kwa mapito yake naona kitu cha kujifunza .

Pole kwa kifo cha huyo binti .
Tibu kwanza afya yako , nitakufuata Pm ninalo jambo ndugu .

Wakola muno leadermoe Omkama akwembembele nimanya noija kwikya .
 
Jinga wewe kabila letu lina mpaka mtaa na msikiti 😁kuna mhindi ana mtaa na msikiti na walihongwa majumba kariakoo na wana mizigo nyuma 😁
Wako wengi sana. Wewe unakutana na wahindi wa wapi? huku manzese kuna wahindi wengi koko😀
Unaweza zungumzia histiria ya mziziza bila wahindi🤣🤣🤣
 
This has moved me. Mungu akubariki sana Nourhan 😀 Usisahau maneno aliyokuambia baba yako. .
Amiin kwa sote sijawahi kuyasahau halafu alikuwa kuna nyiradi kila baada ya swala ya fajir anazisoma akasisitiza tusiache kuzisoma na kumswalia Mtume sikumuelewa ila nimekuja kumuelewa halafu kuna aya ya Quran surat Imran alikuwa anaipenda kuisoma basi nami naipenda sana haswa napokuwa na mtihani.
 
Ikikupendeza siku moja utuletee story yako. Itapendeza sana. .
 
Asante sana kwa simulizi nzuri yenye visa na mikasa, mafunzo na mafundisho ya kutosha, binafsi nimejifunza mambo mengi sana kupitia simulizi yako, Mungu akubariki mno lkn kipekee asante kwa muda wako, kuandika ni shughuli atiii. Msalimie Rose mwambie ana nafasi yake peponi.

Nakuombea na kukutakia afya njema, ninayakabidhi matibabu ya siku ya Ijumaa mikononi mwa Mungu, damu ya Yesu inenayo mema kinyume cha mabaya yote ikanene mema juu yako, ukarejewe na afya yako.

Zaburi 103:1
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.

Nikuage kwa Zaburi hii mpendwa....all da best leadermoe God loves you[emoji8]

Zaburi 103:2
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.

Zaburi 103:3
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,

Zaburi 103:4
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,

Zaburi 103:5
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;
 
Asante sana dada ram
Ubarikiwe sana, nimepokea maombi yako🙏
 
Webale muganda, nkakasa nti nja kudda bulungi, nkuyaniriza okun PM ku nsonga yo. Ndi musanyufu okuba n’omukwano nga ggwe. 🙏
 
Asnte kwa simulia kipande cha maisha yako, ningependa fahamu location ya filamu itakuwa nchi gani, Mwenyazi Mungu hakupe wepesi kwakila hali unapitia hivi sasa. Natamani pia kuona mwisho wa filamu isiwe kifo.


Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Location some scenes Finland, Germany, Sweden, Ethiopia and Tanzania (Dar, arusha)

Huo mstari wa mwisho sijauelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…