Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Wewe vaa viatu vya Rose utoe jibu bada ya kusikia kuna mtoto ujerumani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hv Kuna sehemu ya kutuma voicenote jf??? Ila kwa matukio uliyompiga Rosemary nadhani ilifika mahali akawa tayari kwa lolote...plus pamoja na matukio yote ulimpa maisha mazuri kidogo inapunguza machungu ujue..
 
This is soo lovely.. May u get better mkuu leadermoe ... 👏 Thanks alot for your time and love...
Wapenda movie sasaa kaz tunayo... We are waiting 👌.
My PRAYERS 🙏
 
Dah mkuu mpaka story inaisha hata kunistua!! Yani natahamaki mpaka umeokoa[emoji1787].....anyways kudos na Mungu akupe uponyaji wa tatizo lako
 
Mkuu tunashukuru sana kwa utayari wako kushare nasi huu mkasa wa maisha yako hapa JF. Niseme kiufupi tu kwamba nimeguswa sana na usimamizi wako madhubuti wa familia hasa ukizingatia watoto wametokana kwa wamama tofauti. Pia nikupongeze kwa kumpata mke aliyeelewa madhaifu yako na akaamua kuishi nayo hadi mwisho. Vilevile mchepuko aliyekupenda kama mume wake.

Nachukua nafasi hii kukuombea ili hali yako kiafya itengemae ili uendelee kuwa msimamizi wa familia yako na uone matunda yao.
Mwisho kabisa,naweza kusema mchawi haya yote ni pesa

Asante kwa story na muda wako.
 
Asante sana Rule bender
Amani kwako, nimetimiza ahadi.
Nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja, barikiwa sana bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…