Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

leadermoe
G, you're a hero to me. Don't worry, you'll get better in a few days. Don't be afraid of anything, you're going to make it, trust me, everything will be fine. The family is praying for your healing. Be back soon, Papa. [emoji257] & [emoji171][emoji8][emoji8][emoji120]
 
Mpaka Netflix mkuu 🙌🙌🙌
 
Hongera sana mkuu,Simulizi yako imejaa burudani na mafundisho yakutosha,

Miongoni mwa watu wenye bahati ya kipekee na wewe ni mmojawapo,kwa kweli huidai Dunia na yenyewe haikudai,passport imechafuka,kila raha unaifahamu,Mungu akupe nini tena,

Na bahati nzuri Mungu kakujalia na moyo wa kujitolea,ni wachache wanao,Hongera sana,na karibu tena utupe ufunuo mwingine,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Asante Litro
Moja ya sharti la Rose kuniruhusu niwe na Violet ni kutojaribu kufanya threesome. Anakubali tu kulala chumba kimoja lakini kwenye show hataki, anataka kila mtu awe na nafasi yake kwa wakati wake.

Kule Rovaniemi tulilala chumba kimoja ila wao kitanda chao na mimi changu. Hatukuwa na wazo la show kwa vile tulikuwa kwenye majozi, pia sio kila tunapokutana lazima show, tumeshazoeana.
 

I adore you a lot. You realize that, don't you?
I don't like you because we're kinfolk, just because you're an amazing person.

I can't pretend that I know how you feel, but I know how powerful you are. This won’t keep you down. You’re too strong to be held back by a setback. I know I can recover and bounce back like never before.

It's only for a while. Keep your eye on tomorrow and keep moving. You've been through a rough patch before. Look, I know it can't hold you back. I'll be back for supper soon. rosmariini 🙏
 
Asante sana last king of uscoch
Nashukuru sana kwa pongezi zako. Barikiwa sana
 
Sikupata muda kupitia muendelezo wa story... Hii simulizi imenifunza ndani yake kuna mapenzi ya kweli, usaliti, kujali wengine, kuongoza familia, hofu ya Mungu nk

Dada Aisha (RIP) amenisikitisha kwa uamuzi aliochukua inauma ila ndio ilishatokea. Sema kwenye hili ulizingua kwa nini uligoma kabisa walau kumuona? Anyway yashatokea.

Pole sana mkuu Mungu akusaidie afya yako ipate kuimarika na matibabu yako yaende salama Salmin.

Kila kheri.
 
Nimejifunza vitu vingi Sana kupitia mkasa huu, Mungu azidi kukupa afya njema. Asante sana
 
Msomali mwenzangu, tusije tukawa ndugu humu 😁
 
leadermoe shukrani kwa simulizi nzuri ya maisha yako umekula maisha kuanzia ujana haadi uzee umebahatika kupata wanawake wanaokupenda kutoka moyoni Rose & Violet ambao kwa dunia ya sasa ni ngumu kuwapata na bado ukawasaliti na wamekusamehe hii ni bahati kubwa kwako

Inasikitisha tukio la Aisha namna ulivyo kutana nae hadi kufariki binti kakupenda ila hukuyumba kimsimamo na huyo mwanamke mwenye mtoto afadhali ulimkataa mapema angekusumbua sana mbeleni

Pole kwa maradhi ya moyo maana hata masharti yake uliyopewa ni magumu Mungu awe nawe naisubiri season yako kutoka Netflix inayohusu maisha ya Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…