Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

asante mz
Asante Litro
Moja ya sharti la Rose kuniruhusu niwe na Violet ni kutojaribu kufanya threesome. Anakubali tu kulala chumba kimoja lakini kwenye show hataki, anataka kila mtu awe na nafasi yake kwa wakati wake.

Kule Rovaniemi tulilala chumba kimoja ila wao kitanda chao na mimi changu. Hatukuwa na wazo la show kwa vile tulikuwa kwenye majozi, pia sio kila tunapokutana lazima show, tumeshazoeana.
ee wangu angalau sasa plesha imenikaa sawa i was wondering a lot asee
 
Sikupata muda kupitia muendelezo wa story... Hii simulizi imenifunza ndani yake kuna mapenzi ya kweli, usaliti, kujali wengine, kuongoza familia, hofu ya Mungu nk

Dada Aisha (RIP) amenisikitisha kwa uamuzi aliochukua inauma ila ndio ilishatokea. Sema kwenye hili ulizingua kwa nini uligoma kabisa walau kumuona? Anyway yashatokea.

Pole sana mkuu Mungu akusaidie afya yako ipate kuimarika na matibabu yako yaende salama Salmin.

Kila kheri.
Asante sana 🙏
 
leadermoe shukrani kwa simulizi nzuri ya maisha yako umekula maisha kuanzia ujana haadi uzee umebahatika kupata wanawake wanaokupenda kutoka moyoni Rose & Violet ambao kwa dunia ya sasa ni ngumu kuwapata na bado ukawasaliti na wamekusamehe hii ni bahati kubwa kwako

Inasikitisha tukio la Aisha namna ulivyo kutana nae hadi kufariki binti kakupenda ila hukuyumba kimsimamo na huyo mwanamke mwenye mtoto afadhali ulimkataa mapema angekusumbua sana mbeleni

Pole kwa maradhi ya moyo maana hata masharti yake uliyopewa ni magumu Mungu awe nawe naisubiri season yako kutoka Netflix inayohusu maisha ya Mtanzania.
Asante sana mkuu, 🙏
 
Mkuu kwema? mengi sana wadau wameongea langu moja tu.
"NIKUTAKIE UPONAJI MWEMA NA MUNGU AKAWE FARAJA KWAKO"

Tumejifunza, tumeelimika, tumeburudika. Asante sana mkuu.
Shukrani sana, barikiwa pia 🙏
 
I heard from Edson.

"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." [emoji120]
Tunaamini utarudi salama ukiwa na nguvu tele...i know utakuwa mbali na simu...but atleast let us know when you land in Tanzania and you are okay and strong.

Tunakitakia uponyaji nwema Legendary mzee wa Tango.

Tunakufutailia ktk sala na maombi kaka, umejenga bonds kubwa sana kwa muda mfupi na watu humu ndani Mungu aendelee kusimamia tuko pamoja nawe hadi mwisho wa dahali.

Hadithi yetu humu imeisha lkn wewe bado unaendelea kuishi ndani ya mioyo yetu.

Mpe Hi yule Dr. mwenye Hips....na huyo ndio tunataka akuhudumie uje na story nyingine.

Alafu uje uombe msamaha kwa wake zako kwa kuzaa na Dr. kwa bahati mbaya.....

Jokes...Stay blessed Champs.
 
I heard from Edson.

"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." [emoji120]
Mungu awe na wewe na akupe afya njema
 
Hello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .

Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .

Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .

Best, Gily

Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah

etc
 
Wishing him fast recovery 🙏
 
Asante sana gily kwa taarifa
 
Back
Top Bottom