Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Wewe mkewe amekufa tena???

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu Mungu aliwapa mioyo ya kipekee sana,

Alikuwa akikuona unatatizo anakuambia,"kwani shida iko mkuu usisite we sema",,,aise wanakuwaga wachache sana Duniani


Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Anayoyaongea nshomile kama ni ya kweli basi tutafurahi kwa muhusika bado yuko hi,lakini vile vile atakuwa ametupatia funzo jipya..

Ila kwa upande mwingine hata kama ni kwel staged wewe umepungukiwa nini? Hajakuomba mchango,hajakutapeli kwani kakukosea mini?

Ni vyema kuwaza nje ya box lakini hakuna ubaya kuendelea na mdundo uliopo kundini kwani,kwani hakuna madhara kwako,wala kwa muhusika

R.I.P kamanda hakika umevipigana vyema
 
[emoji120]
 
[emoji120]
 
Dah nilikua nasoma story yote toka mwanzo nimeshindwa niseme nini [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Rest In Peace Gibson Rest In Peace Rose seriously nmeumia Sana nmejuta kutosoma hii story mapema nimejuta sana
 
[emoji120]
 
Iwe ni movie basi maana ngachoka😭😭😭
 
[emoji120]
 
we mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo
Nasema Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina
Ooh sina sina sina sina
Nafasi nyingine
Ya kuwa na wewe
Nasikitika mi naumia
Lakini nina nina nina nina
Shukrani moyoni
Yakuwa miongoni
Mwa walo nienzi mi
Wakati hauniruhusu mi
Kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hii
Nikumbukie mazuri
Mi nataka mucheke siku ya mwisho
Siwe mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo
Nasema Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina A... A .Amina
Amina Amina
Aah aah aah aah
Aah aah aah aah
 

Attachments

Angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki kipenzi ninaempenda hayupo tena duniani swahiba nilompenda kwangu moyoni.
Nakumbuka maneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu huyu mtu, nuru haina mwanga mbele kiza rafiki nilompenda amenitoka nilikuwa na marafiki sikatai rafiki wa kweli bye bye,hakufa kwa ngoma loo salalee,siku yake ilishafika pema alale, huzuni isokwisha moyoni nashika tama sioni.machungu nilonayo hayasimuliki.
Swahiba amezimika kama mshumaa hainuki wala kukaa, kila mmoja ana uchungu kazi ya Mola imebidi,wengi tulikupenda tunalia hatujilizi makusudi, lakini Mungu alikupenda zaidi, swahiba umelala kama masikhara umerudi zako kwa Mola nenda swahiba mimi nipo kwenye msafara Mungu akipenda nitakuona kesho akhera swahiba. Hiki ni kilio chetu wote Wana.yeye mbele sisi nyuma, swahiba amenitoka bado kijana.
 

Attachments

Ila G ametuweza jamani khaa [emoji24][emoji24]
Acha tu mwanzo nilikuwa naona kama uwongo ila kadri siku zinavyo kwenda naona ni kweli.kila nafsi itaonja umauti na marejeo ni kwake Mola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…