Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

"Wakati hauniruhusu mi
Kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hii
Nikumbukie mazuri
Mi nataka mucheke siku ya mwisho
Siwe mpweke mi bado niko
Namshukuru Mola kwa kuwepo"
[emoji120][emoji120][emoji24]
Yaani Baba nimekaa namsikilizia hio nyimbo machozi yakanitoka,ila ndo mipango ya Allah S.W.
 
Acha tu mwanzo nilikuwa naona kama uwongo ila kadri siku zinavyo kwenda naona ni kweli.kila nafsi itaonja umauti na marejeo ni kwake Mola.
Natamani iwe uongo...walau ht kwa 24hrs [emoji24]
 
Jamaa mwandishi mzur tu wa story hata ukimfatilia kwenye post zake,na hii pia ni story amejitahd
 
[emoji120]
 
Daaah, samahanini wanajukwaa....ila nimesoma kisa alichokua anaandika nimekuja kukutana na habari za umauti wake. Naomba nitoe maoni yangu, na kama yuko atakayekwazika anisamehe. Kifo kinauma sana tena sana wala hakijawahi kuzoeleka. Ila....hakuna aliyefariki hapa...my guts tells me so. Narudia tena....naamini hajafariki.
 
wewe kaa pembeni, huna kichwa cha kuchambua mambo kwa dakika 5 mbele.

Huna akili hiyo, Hata niingeelezea hapa kila details ya kwanini nasema hii ni staged huwez kunielewa

Umenielewa bwana mdogo?
Ndugu yangu pole kwa matusi ya hapa. Sijui kwanini members wengi hapa wako so naive. Mimi naungana na wewe katika hili..sijui kwanini watu wanashindwa kutuliza kichwa na ku connect dots. Anyway.kila mtu ana maoni yake
 

pole kwa msongo wa mawazo..
so tar ya kuaga iliyotolewa pia ni magumashi..
nakuelewa hata sisi tuliopata neema ya kuwasiliana muhusika kabla ya umauti wake.
tunataman iwe ndoto..
maana kila mmoja kwa sehemu yake
tunamuhitaji mno.
 
[emoji120]
 
Nini kinakufanya uamini hivyo? sisi pia tunatamani iwe hivyo ila haiwezekani tena.
 
[emoji120]
 
Kwa kweli kila kitu kinawezekana, tumepata msiba huko Oman kafariki shangazi wa ukoo na baada ya masaa mawili tumepokea taarifa na mama yake pia amefariki kwa presha.
 
[emoji120]
 
Kwa kweli kila kitu kinawezekana, tumepata msiba huko Oman kafariki shangazi wa ukoo na baada ya masaa mawili tumepokea taarifa na mama yake pia amefariki kwa presha.
Duh hii wiki ngumu sana, إنا لله وإنا إليه راجعون tunamuomba allah awarehemu na awasamehe ndugu zetu hao na ajaalie firdaws kuwa ni makazi yao.

Na nyinyi muwe na subra mkuu na mtarajie malipo.
 
Natamani pia ningekuwa na Imani kama yako kuona hajafariki,lakini amefariki kweli hakuna sababu ya watoto kuzusha kifo chake au yeye mwenyewe kujizulia kwa mtu ambae hakuwa na ukaribu au mawasiliano na Gibson lazima aone ni mchezo mwanzo nilikuwa siamini ila kadri siku zinavyo kwenda sioni ujumbe wake wowote naamini kweli hayupo katika Ulimwengu huu aendelee kupumzika kwa amani.
 
Pambana na guts zako za ovyooo...
 
I heard from Edson.

"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." [emoji120]
Upumzike kwa Amani mkuu.
 
Ndugu zangu msitokwe na imani, marehemu alikupa ahadi ya kukusaidia basi kuwa na subra madhali watoto mtoto wake akiambiwa na baba yake basi atatimiza nadhiri ya baba yake na hata asipotimiza basi haikuwa ridhiki mtasaidiwa kwa mtu/watu wengine,watoto wamepoteza Baba yao na mama pia hata kuzika hawajazika kweli wakae wanawaza kusaidia watu waloahidiwa na baba yao?!! Msiba mtu akifa kusafirisha ni process hapo aende Finland waage haya wasafishe kuja Tz haya wafike napo wazike ndo maana wakasema ndani ya siku 21 na mtoto mwenyewe alisema atawatafuta ana details alizopewa na baba yake akipata utulivu wa akili,kwahio lazima wazike wakishazika Sasa ndo wakae kama family waongee kama ilivyo familia zote wakimaliza kuzika matanga au 40 wataka kama family kuongea kumbuka huyu ni mtoto lakini ana wakubwa wake eti kwakua mmeahidiwa basi hajazika wazazi wake msaidiwe nyie kuweni na utu basi au kwakua msiba sio wenu??!! mnatokwa na Imani ridhiki haiwaniwi kama yako yako tu utaipata,mie sikuwahi kumuomba msaada Gibson tulikuwa marafiki tunapiga story akaniahidi mwenyewe nifanye biashara iingize pesa zaidi kuliko nilonayo tena kabla hajaenda hospital lakini nilikataa namwambia no nenda katibiwe kwanza mpaka aniambia pesa za mwingine unaonea ubahili lakini hata siwazii sizifikirii kabisa nipate nisapate Alihamdulillah 🤲na hata kauli yake mlicho ahidiana atajitahidi kutimiza asipotimiza basi haikuwa ridhiki tutulizane tuwe na subra mambo mazuri hutokea kwa wale wenye kusubiri,Kila mwenye kusubiri yuko pamoja na Mungu haraka ni ya shetani.
 

Attachments

  • Screenshot_20230505-092956.jpg
    238.5 KB · Views: 29
[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…