Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Kumbe ndugu mwandishi alisoma na kumaliza mwaka mmoja na jamaa yangu MHAIKI ambaye tulikutana KANTALAMBA 1994 V - VI
 
Hivi kumbe huyu jamaa hakufariki naona RIP imeondolewa..

Watujuzecwatu wake wa karibu.
 
Jamilla Nugus alinisaidia sana kupunguza upweke na ule msongo wa mawazo, alikuwa na kawaida kila ijumaa anakuja hotelini, tunaenda club kisha tunakuwa hapo mpaka jumapili jioni anaondoka
Hii schedule ya wikiend ni nzuri sana. Mkikuyu wangu popote ulipo, nakukumbuka sana. huyu nilikuwa nang'oa koki kabisa 😬
 
So mwaka
So mwaka mzima hukurudi Tz na wala Rose hakuja Addis what a mess! Unamkula tu Mhabeshi hata huna habari
 
Hivi kumbe huyu jamaa hakufariki naona RIP imeondolewa..

Watujuzecwatu wake wa karibu.

Itakua alipigwa na kitu kizito akafeki kifo .
. 1 . Ukifuatilia hapo watu wake wa Karibu wa humu walitangaza amefariki May 1 , 2023 nadhani. Wonderful enough last seen yake 9 March 2024
2. Kulikua na R.I.P Sasahivi imeondolewa

Something's fishy is going on
 
lakini kwa maelezo ya mtoa taarifa ya kifo alisema account yake inatumiwa na mmoja wa wanae kama sijakosea. so last seen kuona ni kawaida kwa mantiki hiyo.
ama awe ametupiga za uso.
 
Nakushukuru sana Kaka leadermoe . Umeniburudisha na kunijenga sana kwa kuileta simulizi hii. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…