Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Hata kama ila naamini ni kwa asilimia ndogo sana sio kama sie wabongo!!
Unajishusha sana mkuu. Tofauti iliyopo ni kipato. Umasikini unasababisha tuwe ving'ang'anizi. Wale wana pesa ndio maana hawapendi kuzinguliwa.

Ikizingua anaondoka maana pesa ipo ila sisi hata ule kipigo ukakumbuka ka shopping flani, unasamehe bila kuombwa.
 
Kukumbuka shopping 🤣🤣🤣🤣! Asee mi niko tofauti sana nadhani yani eti mwanaume uninyanyase kisa una pesa aloooooo nakuacha na pesa zako vilevileee yanii huwa nakubali sana na kujiamini nahuu umasikini Sipendagi sarau za pesa kabisaaa!!
 
Ndio uzungu huo mama.
 
kiuwarazaaa 😄!
Hauna kapicha ka uwaraza hapo nionepo ukisuka rasta utakuaje kwanza 😄😄!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…