Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Part Seven E: It's like sugar sometimes.

[emoji182]A sweet Finn girl.

Violet alikuwa binti mrembo sana, ngozi nyororo, hakuwa mnene wala mwembamba. Kama alivyo 'Rihanna' Alikuwa amevaa suruali ya kitambaa raini rangi nyeusi, na Blauzi nyeupe na kikoti cha kaki. Alipendeza sana

Siku ile alilala hotelini sikumpeleka pale nyumbani.

(Isinge kuwa busara kulala na binti room moja na hamjazoeana. )

Rosemary nae alikwenda kwao Songea. Kesho yake tulianza safari ya kwenda Arusha. Maana tulishakubaliana nifanye booking ya kusafiri kesho yake, pia nilitumia nafasi hiyo kumtaarifu mama juu ya ugeni huo.

Ingawa baba na kaka walikuwa Dar lakini hawakujua mishe zangu ila mama pekee, mama alikuwa msiri wangu, Hawakujua kama nimepata mgeni.

'mtoto wa kiume na mama yake ni kama mkate na chai, vinajuana. Ni kama mtoto wa kike kwa baba' ila kama hiyo familia ina malezi mazuri'

Mama alimpokea vizuri sana. Tumekaa nyumbani siku 3, kisha tukafanya utaratibu wa kupata agent tukaenda ngoro ngoro.

Tukiwa ngorongoro niligundua Violet alikuwa na upeo mkubwa sana, alini surprise sana kwa story zake na jinsi ninavyokubalika kwao mpaka na ndugu zao waliosimuliwa tu kila mtu alitaka anione.

"I think she was winning me over. "
Nikaambiwa nikifika Finland maisha yangu yatabadilika sana. Alisema kuwa Mr. Collins alishanipa hisa kwenye kampuni yao, pia ameniandika kama mmoja wa watoto wake, maana hawakuwa na mtoto wa kiume.

Alinieleza kuwa hata pesa ninazotumiwa kila mwezi zinatoka kwenye share ya familia.

Kwa kweli nilipata msukumo sana wa kwenda ulaya. Kitu cha ajabu ni kwamba Violet alikuwa ana take good care of me kama vile ni wapenzi .

'Hapo ndio unajua hakuna urafiki kati ya simba na swala, it's matter of time'

Siku ya kwanza ngorongoro tulizuga kwa stori nyingi sana ingawaje tulikuwa chumba kimoja. Violet alipendekeza tuchukue chumba kimoja ili asiwe mpweke na tupate muda mzuri wa kuongea.

Asubuhi tukaamka tumechoka kwa kuchelewa kulala, kila mtu akajua tulinyanduana sana kumbe walaaaa.

Baada ya breakfast tukaenda porini na guider wetu, huyu jamaa alikuwa fisi sana, pamoja na mimi kuwepo pale ila alikuwa anampiga jicho chochezi Violet .

Uzuri nilimsoma toka day one,
Ikafika wakati ana respond kwa shida maswali yangu, ila ya binti anatoa mpaka maelezo ya ziada. (ni wivu tu, ni wivu tu)

Violet nae alimgundua, hakupenda ile tabia, ikabidi anig'ang'anie kila sekunde amenishika mkono na kumpotezea kiasi jamaa. Hata maswali tulipunguza, ikabidi awe anaeleza akijisikia.

(mwisho wa safari, alituomba radhi, nahisi alizani tutalalamika kwa wakubwa wake. Hatukuwa hata na hilo wazo.)

[emoji57]'utakula kwa macho tu' na hata ukinizidi ujanja ukaoga mjini huendi ng'o'.[emoji41]

****** * * * *
Mida ya jioni tukawa tumerudi hotelini, tukaoga na kupata chakula cha jioni kisha tukaingia chumbani kwetu.

Hatukuwa tukitumia kilevi ni vinyaji raini tu.Baada ya maongezi ya hapa na pale,Violet akaniangalia akaniambia

Violet " Thanks a lot, Mr Edson.Since then, when you helped us, I wanted to thank you. I wanted to thank you with a look in your eyes.I really appreciate your help.

Edson "It's nothing violent, As human beings, we are meant to help each other, that's what I did that day.I helped because I was capable of that."

Violet: "Not everybody can do this, you need a big heart to do something like this."

Edson': "Well, that may be true, but for me I have…"

Violet: "no Mr Edson sound real, very true, I sense it. '"

Edson 'Ok.Thanks Violet '

Violet: "Do you have a girlfriend, right?"

Edson: No. I don't

Baada ya kusikia jibu langu, alitulia kidogo kama vile anawaza kisha akasema

Violet: "real?

Edson 'sure'

Violet:" why"

Edson: "When the right time comes, I'll....... .

Violet : "Do you care about me.?" Alimikatisha kwa swali no

Edson:" Well, i……. "

Violet: *'sssshhhhhhhhh[emoji2958]'

Kabla sijamjibu swali lake aliniwekea kidole kwenye midomo yangu huku akinifanyia ssshhhhhh!, Akanisogelea na kuanza kunikisi mdomoni.

I was like "I'm not afraid to love, for the first time. I'm not afraid of love, this day seems made for you and me, and you showed me what life needs to be"

Nilitii amri yake ikabidi nimjibu kwa vitendo kwanza, nikampa ulimi akapokea bila kujiuliza. Baada ya muda mwingi wa kuchezeana, tulipiga mechi safi bila refa.

Violet akikuwa na unyakyusa mwingi sana mtu wangu[emoji180]. Ila hakumzidi Rosemary , kwa romance nilimnyoshea mikono. Jamani kuna wanawake ni watamu sana, she was hot [emoji91] . Ila nilikuta kuna mjanja kashapita sio sana.

Kifupi tulilala majogoo yalipowika . Saa 1 tukaamkaa na kuzindua tena kuondoa hangover, hiyo siku hatukwenda porini ilikuwa ni chakula na romance, story na sex tu.

''Kuna mwamba alisema pombe na nyama, utani na story play boy by Nikki mbishi'[emoji119] .

Penzi jipya na Violet lilianzia mbugani.
…………….

Part Seven F: It's like sugar sometimes…

[emoji182] Bon voyage, my love.
View attachment 2559465View attachment 2559471View attachment 2559489View attachment 2559490
Ha ha ni wivu tu wivu tu!! Mkali umetisha
 
Back
Top Bottom