Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

"Keep life profile low, be straightforward, be humble and stay out of trouble, enjoy life "

Ujumbe murua kabisa asante chief.

Nasemajeee JF ina watu na Mungu aendelee kuutunza huu mtandao na waja wake kama leadermoe
 
Hizi mambo za kataa ndoa ni roho farakanishi zinazolenga kubomoa taasisi ya ndoa infact ni kinyume na maagizo ya Mungu

Ukisoma biblia Mith 18:22 "Apatae mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali mbele za Bwana".

Hizi harakati za kataa ndoa mlolongo ni uleule wa kwenda kinyume na maagizo ya muumba.
 
Part Seven I: Tervetuloa Helsinkiin.
(welcome to Helsinki).


Nov 1998

Ilikuwa safari yangu ya kwanza kupanda ndege kwenda nje ya ya Tanzania. Tulifika mapema kabisa pale airport, tuliongea sana ikiwemo uzoefu wa kupanda ndege aliokuwa ananipa kaka Edwin, maaan ndio alikuwa amerudi kutoka Marekani alikoenda kufanya kozi kuhusu mambo ya navy. Baba yeye alikuwa mtulivu tu siku hiyo, aliendelea kutusikiliza.

Muda wa ku check in ulipofika tukaagana, kuna dada alikuja (mfanyakazi mwenzake shemeji, nilishapewa taarifa hiyo) alini elekeza sehemu ya kwenda, nilifanikiwa kupita na mzigo wangu bila usumbufu wowote.

Shemeji alishasafisha njia. Baada ya ukaguzi hatimaye nikakanyaga ngazi kwenda ndani ya ndege ile. Goodbye Tanzania.

hatimaye tangazo la kufunga mkanda likafata, bada ya muda safari ikaanza. Nilikaa na babu mmoja wa kizungu, alishukia Ankara.

"Flight attendants, prepare for take-off please.”
“Cabin crew, please take your seats for take-off."

hatimaye tukaiacha ardhi ya asili yangu. Kuna moments unapitia kwenye hilo tukio, sikujua ile ni huzuni, hofu au furaha.
……
Ankara Esenboga Airport (stoping point)

Kutoka JKIA mpaka Ankara ni kama kilometa 5214 kwa ndege na inachukua muda wa masaa 6 na dakika 59. Tulipofika Ankara tulipumzika kidogo kisha tukaendelea na safari.

Helsinki, Finland

Kutoka Ankara uturuki mpaka Helsinki vantaa Airport ni kilometa 2314 kama sijakosea.Tulitumia kama masaa 3 na nusu.

Baada ya kushuka na kumaliza taratibu zote pale uwanjani, nilichukua begi langu na kumuuliza mhudumu sehemu ya kupokelea wageni, maelekezo hayo nilipewa na Bwana Mathew siku ananikabidhi tiket, kuwa nitaamkuta mwenyeji wangu hapo.

Pia wakati naongea na Violet alinielekeza nitamkuta hapo..

Nilipofika eneo hilo niliona bango limeandikwa Mr. Edson Anthony likiwa limeshikwa na binti mrembo sana Violet .

Violet alikuwa ananifahamu ila alifanya vile ili kama asingeniona mapema nisisumbuke kutafuta maana watu wanakuwa wengi sana.

Alinikimbilia akanikumbatia kwa hisia sana..

Violet : "Tervetuloa Helsinkiin" 'welcome to Helsinki'"

Edson:" Thanks a lot, honey. "

Violet :" Mitä kuuluu?)" How are you doing?'

Edson:" I'm good, and you? '

Violet : "I am quite well.

Edson: "That's great."

Violet : " Thank you, my love, I'm really happy to see you again"

" I'll take care of it, darling.."

aliongea akiuondoa mkono wangu kwenye handled ya beg,.

Edson: "Take care, it's heavy."

Violet " Sure, don't worry".

Aliniongoza kwenye gari ya hotel tuinayofikia, lilikuwepo kupokea wageni waliofanya booking hotelini kwao. Ubavuni imeandikwa Holiday Inn - Helsinki

Kutoka airport mpaka ilipo Holiday Inn Helsinki ni kama kilomita 3.3 ni dakika 6 hivi.

Nilikuta hotel moja nzuri sana hasa ndani, Violet was very kind to me. Alitaka anipe good time kwa kweli.Tukafika kwenye chumba alichokuwa amefikia yeye jana yake, kilikuwa moto sana, They have beautiful decorations.

Violet hakutaka hata nipumzike, akanivamia na romance,

Violet: "I miss you, darling."

Edson: "Don't worry, my love, I'm finally holding you."

Violet : "Excuse me, my love, please lower my heat down, and then we'll have time to talk. Just for a minute, I know you're very tired.

Edson: " All right, sweetie, I know you miss me a lot. "

Violet:" Thanks, sweetie, my body's on fire. "

Kutokana na hamu aliyokuwa nayo, akili yake ilishafanya mandalizi tayari. Hatukuchukua muda sana, akawa amefika double. Hakutaka nitoke, tulikumbatiana hapo kama 20 minutes, kisha tukaenda kuoga.

Tulienda kuoga, japo tulitumia muda mrefu sana bafuni, Violet alikuwa na hamu sana. Uvumilivu kwake ukawa zero kabisa. Tulipata mechi nyingine moja ya kusimama kwenye shower, naikumbuka mpaka leo.

(Purple likes visual contact, slow movements, deep penetration.,)

Hapo unaweza jikuta masaa yanakata bado mna hamu. Hakuna kuchoka maana nguvu inayotumika ni kidogo sana.

Baada ya muda tuliletewa chakula alichokuwa ametoa oda Violet baada ya kurudi tu.

Baada ya chakula tulianza maongezi, muda wote wa maongezi Violet kanikumbatia ile zero distance pale kitandani.
(utazani alihisi akiniachia nitapotea, she was enjoying )

Violet: Look the other way, honey, don't cheat.

Edson: " All right, honey, I won't cheat."

Alifungu box nikiwa nasikia, akatoa kitu flani akanivalisha mkononi. Kisha akanikiss mdomoni akasema

Violet: "get your gift, thanks for being honest with me.

Edson:" daa, thanks a lot, honey, that's very kind. "

Violet: "Did you like it?"

Edson: " Your eyeball knows what I love.

Ilikuwa ni saa mpya aina ya Rolex ya gold.

Nilitumia nafasi hiyo kumpatia zawadi zake saa, bracelet, mkufu, earrings.

Edson: " Get nearer baby.
Here are the presents I managed to find for you, I think you will love them."

Violet: "My dear, very well, thank you very much for this beautiful present."

Edson: " Don't worry"

Violet: " You're a man who can capture a girl's heart. I understand you very well in bed, you could also choose a present that fits my skin color. Thanks a lot, dear Edson.

Edson: " There are men that delight women, I'm still learning. "
Violet:" I know what you got, I like the stuff. That makes me really happy."

Edson:" Thank you very much for your gratitude."

Violet:" Thanks, sweetie, I got some good news for you. "

Edson:" tell me "

Violet: "I love taking a train home. This will take several hours, but we can speak in detail. You will be able to enjoy the beauty of our country as well. Mommy and Daddy will meet them at the train station."

Edson: "For you, sweetheart, even if you say let's walk, I wouldn't object, I wish we were together all the time.

Violet: " ha ha haaa, on foot we will age on our way.

Kutoka hapo Helsinki kwende kwao mji mwingine unaitwa Rovaniemi kwa treni kama kilomita 811. Tunatumia kama masaa 10 hivi)

Lengo lake lilikuwa apate muda wa kufurahi na mimi kabla hatujafika kwa wazazi wake.

**********
Next

Part Seven J: Helsinki to Rovaniemi by train.

[emoji182]Your kisses bring me to life,
[emoji183]I want to be your loving wife.
 

Attachments

  • Table.jpg
    72.4 KB · Views: 57
  • Helsinki%20airport%20.jpg
    31.8 KB · Views: 61
  • Airport%20.jpg
    82.6 KB · Views: 69
  • Ankara%20Esenboga%20Airport%20.jpg
    42.4 KB · Views: 51
  • Helsinki%20airport%20.jpg
    31.8 KB · Views: 51
  • Hotel%20rooms%20.jpg
    69.2 KB · Views: 59
  • Vio%202.jpg
    37.2 KB · Views: 59
Shukrani bro,unaitendea haki sana hii story, yaani kuna zile image za matukio zinakujaa,aaah,so nice.
Unaijua sanaa ya mapenzi(art of love)kupindikia,ukanikumbusha maneno haya niliambiwa,huwa siyasahau.

When I say I love you more, I don’t mean I love you more than you love me. I mean I love you more than the bad days ahead of us, I love you more than any fight we will ever have. I love you more than the distance between us, I love you more than any obstacle that could try and come between us. I love you the most.
 
Thanks bro. Comments kama hizi zinanipa faraja sana, kuona kuna watu wanapata chochote kwenye huu mkasa. Usichoke ku share. [emoji120]
 
Part Seven J: Helsinki to Rovaniemi by train.

[emoji182]Your kisses bring me to life,
[emoji183]I want to be your loving wife.

Kutoka Holiday Inn Helsinki mpaka stesheni ya Helsinki (Helsinki train station - päärautatieasema) ni 19km tulitumia dakika 30 kwa gari la hotel.

Baada ya kukata tiketi na muda kidogo wa kusubiri hatimaye safari ikaanza, Violet alichukua chumba cha peke yetu (non sharing room) ambacho ni VIP.

Safari ya masaa 10 niliiona kama ya dakika 10 tu, Violet alikuwa mchangamfu sana, kila mara anaanionyeshe mandhari ya kuvutia huko njiani.

Alitumia nafasi hiyo kutaka kujua malengo yangu kwake.

Violet: "Whenever I look into your eyes, whenever I hear you speak my name, whenever I hear your heart beating next to mine, I see my future. Please say you’ll be my husband."

Edson: " Dear Violet , conjugal life is not something to come in impatient. Let's have time to prepare ourselves "

Violet:" Honey, you are an amazing man, and I think we both know we have each met our match. Let’s call it even and get married. We’ll make a great team. "

Edson:" I agree with you, my love, but we must first persuade our parents, not marriage without their blessings.. "

Violet:" For my part, I already spoke to them, because you’re the guy who takes away my fear, when I’m in your arms, cares disappear. I want to be with you all my life, please stand with me, and make me your wife. "

Edson: "Please, my love, I need time to talk to my mum and dad. We have a different culture, for us it is the parent that approves the young man's marriage. I was also given the responsibility to care for my mother. Let me talk to her and I will respond to you very soon. My apologies if I offended you.

Violet: "You’ve no idea how much my heart still races whenever I see you."

Edson: " Believe me, till today I'm here with you, it's because I love you, Violet.

Violet: "Your name will be on my lips and your face will be in my heart for the rest of my life. Please be my husband." I'll let you have the time you asked for, but promise me how long. "

Edson:" you'll get my answers very quickly after I talk to my parents."

Niwe tu mkweli sikupenda aina ya maswali ya Violet, sababu sikuwa nimejipanga nayo, alinishtukiza tu.

Violet ni binti mrembo sana, anajali sana. Lakini Rosemary ananipenda sana, ni mtaalamu kitandani kuliko Violet. Hapa nikabaki njia panda, nichague yupi?

(unajua kuna mtu anaweza oa/olewa na mtu ambae hampagawishi kitandani, lakini mwonekano na caring vikampelekea kukubali. Wapo wanaofanya hivyo ila anarudi kuchepuka na yule aliemuelewa kitandani, nilifika crossways )

Faida ya kuwa na Violet ni kwamba, napata nafasi ya kuishi ulaya tukioana, ana pesa, ananipenda sana, ananijali sana, sina hakika kama atakubali kuwatunza wazazi wangu.

Faida ya kuwa na Rosemary, ananipenda sana, ananijali na kuniheshimu, ananilizisha kitandani, anaweza kuwa msaada mkubwa kuwaangalia wazazi wangu.

That's why I didn't have an answer for Violet, I needed time to make up my mind.

***
Tukiondoa maongezi ya kuoana, safari ilikuwa nzuri sana.

Muda mwingi alikuwa anataka 'romance' na touch za kichokozi. Chakula na vinywaji alikuwa anaagiza kwa simu.

Tulipitaa miji mbali mbali, nikamshukuru sana mwenyeji wangu kwa nafasi ile aliyoniandalia maana ningepanda ndege nisingefaidi uzuri wa ile nchi.

***
Kaivakatu 1: Helsinki train station

Helsinki - Vantaa- Jarvenpaa - Lahti - Vierumaki - Heinola - Hartola - Joutsa - Leivonmaki - Jyvaskyla - Tikkakosi - Hirvaskangas - Aanekoski - Viitasaari - Pihtipudas - Liminka - Kempele - Marityla - Oulu - Timola - Haukipudas - Kuivaniemi - Koivu- Muurola - Hakinvaara - Rovaniemi.

Tulifika Rovaniemi station salama. Tuliwakuta Mr. Collins na mke wake .Walinipokea kwa furaha sana, wote walinikumbatia kwa zamu, kisha ukafata utambulisho wa mama.

Ndio nikajua mama mkwe anaitwa Tatiana. Nikapata hugs za nguvu na kisses from mother in law [emoji16](mashavuni) nikabaki tu najichekesha.

Tukaenda kwenye gari yao, na baba na mama wakakaa mbele, mimi na Violet tulikaa siti za nyuma.

Kutoka Rovaniemi train station mpaka kwao Ounasjoentie ni kama kilometa 2.3 ukipitia 'Kapinkavijantie'. Muda wote Violet ameniganda wala haoni aibu kwa wazazi wake.

Tulifika salama, nikakaribishwa ndani. Ilikuwa ni nyumba kubwa kiasi na mandhari nzuri sana. Baada ya ukaribisho mfupi wazazi wake Violet waliaga maana hawakuwa wakikaa kwenye hiyo nyumba.

Hiyo nyumba alipewa Violet baada ya kuanza kujitegemea.

Violet alinipeleka kwenye chumba alichoniandalia, (master room ya ile nyumba, chumba anacholala yeye)

Nikaoga, kisha akanifata tukapate chakula. Tulikuta chakula kimeandaliwa na binamu yake aliekuja salimia baada ya kusikia nakuja. Lengo anione nafananaje, maana sifa alizipata.

(mtoto wa kike huwa hana subiria katika kutoa taarifa akiwa amependa, anatamani kila mtu akuone kama anavyokuona yeye)

Usiku ule kila mmoja alilala chumba chake (Violet alilala chumba kimoja na binamu yake).

Usingizi haukuja haraka japo kuwa nilikuwa nimechoka, nilipata usingizi usiku sana.

*********
Next

Part Seven K: I had no idea how this could be.

[emoji126]You must discover why I love you.

View attachment 2561822View attachment 2561823View attachment 2561824View attachment 2561826
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…