Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Hivi najikuta nampenda kweli huyu Rosemary😍 au ni njaa tu swaumu kali?
leadermoe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kafanyaje tena mkuu
Hata sielewi ninejikuta nimempenda Rosemary πŸ™‚ ana sifa nzuri kakubalika hadi kwa mama.
Najiuliza kwaresma imekuwa kali leo au ni hisia tu za kumpenda 🌹

Kuna siku nilikutana na dada mzuri tumbo likawa linauma aisee nikasema hawa ndio πŸ¦‹ πŸ¦‹ πŸ¦‹ wanaowasikiaga wazungu. Kuja kushtuka likawa tumbo la kuhara πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Mtoto Rose anakuwa na hisia sana akiwa na mwamba. Inaoneka anampenda sana mwamba. Eti Gily

Hapo mwisho pole sana. NimecheeekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mtazamo wako, nani mkali kwa mwonekano, anastahili kuolewa?
View attachment 2563942View attachment 2563943View attachment 2563944
Sasa apo leadermoe kila mtu yuko na uzuri wakeπŸ˜‚πŸ˜‚, 🌹 mary unampenda since then na inaonekana atakaa na mama vizuri,,πŸ˜‚πŸ˜‚
ila purple nae ni pisi ya kwendaa, yuko fin, ana mpunga ila hatokuwa na muda sana na mama kwasababu nayeye ako na family yake kuleπŸ˜‚πŸ˜‚

Apo tuangalie your priorities πŸ˜‚πŸ˜‚.. Au oa ote sasaπŸ˜‚πŸ˜‚au basii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…