Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

we kwa miaka hiyo unajiona upikuwa kwa kawaida ,ila amini ulikuwa ni kibosile machalii wa chuga wanasema ulikuwa Fogo!! kama papaa alex au askofu
To be honest, nilianza miliki pesa ndefu nikiwa under 20. Tatizo langu ni moja ndio maana niko wa kawaida sana. Sinaga itikadi za kujilimbikizia, nimetoa sana misada (refers nikiwa chuo)
 
Asante sana kaka.

Niliwahi pewa Simulizi ya wao ng'ombe kumbe kweli[emoji1787]
Lile eneo linatesa sana kwa madereve wageni, mbabe ni yule dereva wa kiswele, alikuwa anaitwa kama vile giningi, sikumbuki vizuri hapo.

Nasikia alikuwa noma sana hapo.

Thanks for sharing bro.
Wakati nipo Songea hapakuwa na mabasi mengi, kwani barabara ilikuwa ni changamoto tosha na hasa kipindi cha vuli na masika.

Kipindi hicho kulikuwa na mabasi ya KAMATA(Leyland victory na Mercedes Benz). Dar - Songea.

Air Tanzania wao wakileta Fokker 50, huku JWTZ wakirusha Buffalo CC-115 bure, Songea Dar, Dar Songea.

Baadae wahindi wakaingia kwenye sekta hii na ni baada ya barabara ya lami kukamilika.

Mara nyingi safari zangu nilitumia Land Rover 109 station wagon.

Kipindi cha Kiswele, nilikuwa nimeshatoka Songea!
 
😁😁 Umemaliza bro. Sema ule mji hauvumi lakini una wadala wakali sana. Kampyuku
 
Part Eight F: It's a boy, It's a girl

September 28 1999

Hatimaye napokea taarifa za Violet kujifungua mapacha. Alifanyiwa operation. Nilifurahi sana, Violet alinitumia picha yake na watoto. Alikuwa na furaha sana pia.

Nilimwambia mama lakini hakufurahi sana, alisema nimwangalie sana Rosemary ananipenda. Nilimtumia Violet salamu za pongezi

Dear Violet,

Nothing is as precious or brings home so much love, as two brand new babies sent from heaven above.

Two babies growing side by side, two babies sleeping side by side,

Two pairs of hands and two pairs of eyes,
The twins are such a delicious surprise!

Two peas in a pod,
Two bundles of joy.

You made a wish,
And two came true,

Two gifts from heaven,
One girl and one boy.

congrats on your double blessing.

**

Please listen to the song…

Song: What Will Baby Be
Artist: Dolly Parton
Featured : Carl Jackson, Maura O'Connell
Album: Slow Dancing with the Moon
Released: 1993
Genre: Classic Country)

A young couple marries, already fighting
Along comes baby makin' them three
Trouble's all he hears from the time he's in didies

Baby don't know just what to believe
Angry words and spiteful actions
Baby's gonna cut his teeth on these

If that's gonna be the main attraction
What will the baby be, what will baby be
Baby needs love and needs direction
Baby's first school is the family
For they are only a reflection

Of the things they see, what will baby be
What will baby be after baby is grown
What will baby do if baby don't know what's right or wrong

Got to show them love, got to teach them truth

'Cause what baby is when baby grows up
Well, that depends entirely on me and you
Depends entirely on me and you
Baby thinks God is just a curse word
Never said a prayer 'cause he's never been taught

They remember and repeat what they've heard
So I ask who's really at fault
So many questions, so few answers
So many lessons we don't teach
Stumbling through like clumsy dancers
What will baby be, what will baby be
What will baby be after baby is grown
What will baby do when baby is out there on his own

Teach the children how to be all they should be

'Cause what baby is when baby grows up
Depends entirely on you and me
Depends entirely on you and me
What will baby be

Kiitos.

**********

Next

Part Nine : I love you even if you throw me away.

Rosemary is married, Purple is rejected. Was this the right choice?

Wasomaji nilichemka au nilikuwa sawa.

View attachment 2565016
Twins.jpg
Table.jpg
 
View attachment 2565016View attachment 2565017View attachment 2565019
Mkuu kupatia au kuchemka inategemea unapitia yapi kwa wakati huo. Ila ukifanya maamuzi yoyote maishani na kuyasimamia 100% unakuwa sahihi. Ila ukiangalia na kuzangatia mabaya tu katika maamuzi yako lazima utaona umechemka kwa kiasi flani.

Kwa vyovyote vile lazima kungekuwa na pros na cons aidha ungemuoa Violet au Mngoni Rosemary. Kama wakati ule unaoa ndio ulikuwa muda sahihi na moyo wako ukawa kwenye pangaboy 🙂🙂 la Rosemary kuliko pesa ya mtalii Vai,amini ulikuwa sahihi.
 
Hapo pangaboy😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom