Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

D
Duh! Kumekucha Kumekucha (Kwa sauti ya King Majuto)
 
Unawajua wadogo zake malkia sheba?

Kama Suleman mwenyewe ali surrender sembuse mie. 😁

Kuna maneno nikiandika kwa kiswahili yanakuwa makali sana, ndio maana napachika kithungu. Mfano hiyo show na Jamila nikiandika kwa kiswahili si baraa😅
 
Kabisa Mjomba G kumbe midamida unakuaga na akili ila unajizimaga data tu!! Shetani na mawakala wake wako kazini maombi muhimu!
 
Hapo kwenye kuomba naunga mkono 100%

Walipokuwa wanatafuta mshipa awekwe cannula alilia sana huruma iliniingia ghafla. Mtoto mdogo akiumwa lazima kichwa ipate moto mazee
 
Hapo kwenye kuomba naunga mkono 100%

Walipokuwa wanatafuta mshipa awekwe cannula alilia sana huruma iliniingia ghafla. Mtoto mdogo akiumwa lazima kichwa ipate moto mazee
Mie mtu mzima tu ikifikiaga kwenye kutaka kuwekwa hako kadude nasikia maumivi mpaka basi sembuse malaika asiejua aa wala beee!!
Yanii inasikitisha na kuhuzunisha sana inaumizaa sio kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…