Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Uchokozi huu sasa. 🤣🤣
Unajua speedo wewe🤣🤣🤣🤣 sasa mama wanne wanaweza kutoa speedoooo 😬😬😬

Kuna demu wakati napiga deki ghafla nikapiga chafya cha ajabu nimasikia pussiii inatoa mwangwiiiiii. Yule shangazi alikuw na watoto nane😶 nilikuw na upwiruu hatari huko bush

Something I wish I could never have done it has darkened my life. It has never been the same 😢 😭 😿 😢 😭
 
Broooooo, kuna bishara nataka tufanye. Ila usiwe kama Alfred 😂😂😂🏃🏃🏃
 
🤣🤣🤣 Alfred alizingua sana. Kuna kitu kinaitwa roho ya kimasikini. Hata kama ukiwa na billions of cash na roho ya kimasikini utaibia walalahoi. Unaweza kuwa na magari kibao ukataman baiskeli ya fukara😶 Alfred alikuw na roho ya kimasikini. .
 
Bonus portion: Mpakani mwa ujana na uzee.

Education

Watoto wa Violet na wa Rosemary wote wamepata elinu yao nchini Finland.

{Elisa na Elise walichukuliwa wakiwa wadogo 2005, baadae mdogo wao Edson Jr2 aliungana nao}.

Violet alifanya mpanga wa kuwatafuta uraia ili wanufaike na elimu ya bure, na faida zingine.

Walipata uraia kabla ya kuanza shule {Miaka 6-7} .

*****
Edson JR1 Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)

2006(7 yrs old)-2014(16 yrs old)
Comprehensive school education {Primary & Secondary} . {9 yrs}

2014 - 2017, 3 yrs,credit 180.

Bachelor degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.

2017-2019, 2 yrs, credit 120

Masters degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.

*****

Eila Edson. Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)

2006(7yrs - 2014.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)

2014-2017, 3 yrs,credit 180

Bachelor of Business Administration in International Business.

Lapland University of Applied Science.

2017-2019, 2 yrs, credit 120

Masters of Business Administration in International Business.

Lapland University of Applied Science

*****
Elisa Edson. Jan 2 2000 (Mtoto wa Rosemary )
2007 (7 yrs) - 2015.

2015 - 2018, 3 yrs, credit 180. Bachelor Programme in Strategic Finance and Analytics.

LUT University.

2018-2020, 2 yrs, credit 120

Master's Programme in Strategic Finance and Analytics.

LUT University. ...

*****

Elise Edson. June 12, 2003 (Mtoto wa Rosemary )

2010 (7 yrs) - 2018.

2018 - 2021, 3 yrs, credit 180. 'Bachelor of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.

Häme University of Applied Sciences

2021-2023, 2 yrs, credit 120

'Masters of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.

Häme University of Applied Sciences

*****

Edson Jr2 April 22 2005 (Mtoto wa Rosemary )

2012 (7 yrs) - 2020.

2021 - on going

Bachelor in Finance.

University of Oulu

**********

Edson Jr3 August 8,2009 (Mtoto wa Isabella )
2016 (6 yrs) - 2023.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs) anamaliza secondary mwaka huu Munichen, Germany.

****

Electronics company

MD: Edson Jr1

Finance: Edson Jr2

Elise (huyu anataka kufanya mambo ya kijamii)

***

Beef company

MD : Elisa

Finance: Eila

**********

Wapendwa wasomaji wa mkasa huu.

Napenda kuwashukuru sana toka moyoni, kwa kuwa nami hapa kila siku. Nathamini uwepo wenu sana. 🙏

Niwaombe radhi, nalazimika kukatisha huu mkasa, kutokana na likizo yangu kubakiza siki 4 tu. Nilianza kusimulia march 15, nikadhani nitamaliza kabla ya April 15. Ila imeshindikana. Pamoja ma kuweka episodes ndefu, nimefikia 52% /100%. Nilitoa angalizo wakati naanza kuwa ni mkasa mrefu, ila nitajitahidi kumaliza kwa wakati, kwa kweli imekuwa vigumu kumaliza kwa wakati. 🙏

Tukitunukiwa uzima na muumba wetu, tunaweza kupata nafasi ya kuumalizia huu mkasa kwa hizi 48% zikizobaki. Hapa sitaki kuahidi maana siijui kesho yangu nisiwe muongo. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio like na ku comment kwenye huu mkasa. Nathamini sana upendo na mchango wenu. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa mambo mbali mbali, mazuri na mabaya, chanzo ni huu mkasa. Nathamini sana mawazo yenu. Tulichokubaliana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kitimie, ila kisipotimia basi haikuwa bahati yetu. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa shida mbali mbali baada ya kuusoma huu mkasa, mkaamini naweza kufanya jambo kwenu. Nathamini sana imani yenu kwangu, sikuweza kufanya kila mmoja alichotamani, ila hata mawazo niliyowapa ni msaada pia. 🙏

Wanashukuru sana memba wote mlioona fursa na kunifata PM kwa matumaini ya kuwa mtafanikiwa kutimiza matamanio yenu. Niwahakikishie kuwa nilichowajibu ndicho nilichomaanisha. Nathamini sana imani yenu kwangu ila sijakubaliana na mawazo yenu. 😡

Ushauri wa bure kwa baadhi ya wanawake wa jamii forum, na wanaume wenye personality ya kike hapa jamii forum.

Andiko hili liwe hekima kwa wenye hekima, nuru kwa walio vipofu na liwe ukungu kwa wapumbavu, watu wasiojua umuhimu wao wenyewe.

"Usije ukampa Mtu tupu yako kwa tamaa ya moyo, usije jiongezea uchungu katika siku zako za mwisho.

Heri mtu yule aitunzaye nyeti yake isipulizwe na kila upepo wa nje, isipokuwa wa nyumbani kwake.

Basi nanipumzike kwa maana hainifai kuendelea ikiwa elimu ni nyingi duniani lakini watu wamechagua ujinga.

Muwe na wakati mwema. 🙏
#Mpakani mwa ujana na uzee
#Akili za kizee.
 
Bonus portion: Mpakani mwa ujana na uzee.

Education

Watoto wa Violet na wa Rosemary wote wamepata elinu yao nchini Finland.

{Elisa na Elise walichukuliwa wakiwa wadogo 2005, baadae mdogo wao Edson Jr3 aliungana nao}.

Violet alifanya mpanga wa kuwatafuta uraia ili wanufaike na elimu ya bure, na faida zingine.

Walipata uraia kabla ya kuanza shule {Miaka 6-7} .

*****
Edson JR1 Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)

2006(7 yrs old)-2014(16 yrs old)
Comprehensive school education {Primary & Secondary} . {9 yrs}

2014 - 2017, 3 yrs,credit 180.

Bachelor degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.

2017-2019, 2 yrs, credit 120

Masters degree in Electrical Engineering and Computer Science (EECS) ' LUT University.

*****

Eila Edson. Sept 28, 1999 (Mtoto wa Violet)

2006(7yrs - 2014.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)

2014-2017, 3 yrs,credit 180

Bachelor of Business Administration in International Business.

Lapland University of Applied Science.

2017-2019, 2 yrs, credit 120

Masters of Business Administration in International Business.

Lapland University of Applied Science

*****
Elisa Edson. Jan 2 2000 (Mtoto wa Rosemary )
2007 (7 yrs) - 2015.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)

2015 - 2018, 3 yrs, credit 180. Bachelor Programme in Strategic Finance and Analytics.

LUT University.

2018-2020, 2 yrs, credit 120

Master's Programme in Strategic Finance and Analytics.

LUT University. ...

*****

Elise Edson. June 12, 2003 (Mtoto wa Rosemary )

2010 (7 yrs) - 2018.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)

2018 - 2021, 3 yrs, credit 180. 'Bachelor of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.

Häme University of Applied Sciences

2021-2023, 2 yrs, credit 120

'Masters of Culture and Arts in Smart and Sustainable Design.

Häme University of Applied Sciences

*****

Edson Jr2 April 22 2005 (Mtoto wa Rosemary )

2012 (7 yrs) - 2020.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs)

2021 - on going

Bachelor in Finance.

University of Oulu

**********

Edson Jr3 August 8,2009 (Mtoto wa Isabella )
2016 (6 yrs) - 2023.

Comprehensive school education (Primary & Secondary ). (9 yrs) anamaliza secondary mwaka huu.

****

Electronics company

MD: Edson Jr1

Finance: Edson Jr2

Elise (huyu anataka kufanya mambo ya kijamii)

***

Beef company

MD : Elisa

Finance: Eila

**********

Wapendwa wasomaji wa mkasa huu.

Napenda kuwashukuru sana toka moyoni, kwa kuwa nami hapa kila siku. Nathamini uwepo wenu sana. 🙏

Niwaombe radhi, nalazimika kukatisha huu mkasa, kutokana na likizo yangu kubakiza siki 4 tu. Nilianza kusimulia marck 15, nikadhani nitamaliza kabla ya April 15. Ila imeshindikana. Pamoja ma kuweka episodes ndefu, nimefikia 52% /100%. Nilitoa angalizo wakati naanza kuwa ni mkasa mrefu, ina nitajitahidi kumaliza kwa wakati, kwa kweli imekuwa vigumu kumaliza kwa wakati. 🙏

Tukitunukiwa uzima na muumba wetu, tunaweza kupata nafasi ya kuumalizia huu mkasa kwa hizi 48% zikizobaki. Haoa sitaki kuahidi maana siijui kesho yangu nksiwe muongo. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio like na ku comment kwenye huu mkasa. Nathamini sana upendo na mchango wenu. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa mambo mbali mbali, mazuri na mabaya, chanzo ni huu mkasa. Nathamini sana mawazo yenu. Tulichokubaliana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kitimie, ila kisipotimia basi haikuwa bahati yetu. 🙏

Nawashukuru sana memba wote mlio nifata PM kwa shida mbali mbali baada ya kuusoma huu mkasa, mkaamini naweza kufanya jambo kwenu. Nathamini sana imani yenu kwangu, sikuweza kufanya kila mmoja alichotamani, ila hata mawazo niliyowapa ni msaada pia. 🙏

Wanashukuru sana memba wote mlioona fursa na kunifata PM kwa matumaini ya kuwa mtafanikiwa kutimiza matamanio yenu. Niwahakikishie kuwa nilichowajibu ndicho nilichomaanisha. Nathamini sana imani yenu kwangu ila sijakubaliana na mawazo yenu. 😡

Ushauri wa bure kwa baadhi ya wanawake wa jamii forum, na wanaume wenye personality ya kike hapa jamii forum.

Andiko hili liwe hekima kwa wenye hekima, nuru kwa walio vipofu na liwe ukungu kwa wapumbavu, watu wasiojua umuhimu wao wenyewe.

"Usije ukampa Mtu tupu yako kwa tamaa ya moyo, usije jiongezea uchungu katika siku zako za mwisho.

Heri mtu yule aitunzaye nyeti yake isipulizwe na kila upepo wa nje, isipokuwa wa nyumbani kwake.

Basi nanipumzike kwa maana hainifai kuendelea ikiwa elimu ni nyingi duniani lakini watu wamechagua ujinga.

Muwe na wakati mwema. 🙏
#Mpakani mwa ujana na uzee
#Akili za kizee.

Much congrats cousin watoto wako wote wamesoma kwaraha sana!!
Hakika You are a lucky man!!!

Asante kwa ushauri mzuri na wa kutujenga.
Asante sana kwa muda wako na kwa mutuletea stories humu k
mkuu ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom