Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Ila Rosemary ni mwanamke mvumilivu sana Ana pepo yake yenye AC na free WI-FI
Rose mzunguuuu...nimempenda bureee hataki kufa kwa preshaaa kama Violet....
Mwanaume hachungwiiii anajichunga mwenyewe Rose hataki ugomvi wa rejarejaaaa big up kwakee✌️✌️✌️!!
 
Umetisha sana binamu


Mtuno wa zip tunapima kujua ukubwa wa mua[emoji56]
Tunaangaliaga vingi hadi kidole cha kati tujue kabisa kabla hatujajichanganya



Kwenye perfume umenikosha sana udugu...mambo yangu hayo [emoji846][emoji846]
msiwe mkanakodoa sana, angalia kwa kuibia basi, sio unakodoa mpaka nahisi zip imeachia😂😂
 
"Kutokama na vimazoe na mitego ya muda mrefu, nikampenda kweli huyu binti, hakuna majaribio katika kupenda, ukiuzoesha moyo utapenda tu."


Weee kumbe tusipochoka kuwatega mnaingia linee auweeehhh!!😊!
Mwanamke akikuamlia ni ngumu sana kumkwepa, hasa mnaeonana kila siku
 
Ana akili sana na utulivu...mwanaume kama bahari tu unamchugia coco Beach kumbe yupo kigamboniii
Ndoiivooo shougaaaaa ni kumwacha tuuuu awatembezeee runguu mpaka akili ziwakae sawaa !😊 Akichoka atatulia mwenyewe ! Nae ajingalie asizoezoe tu kila anaekuja mbele yake
kuna watu wanatembea na magonjwaaa yaoo ohooo!! !
 
😂😂😂😂 Sasa mbona kama 50 kwa 50 inagoma kutokana na jibu lako.
Mwanamke wa kizungu anatongoza vizuri sana, tena ni wakali mistari balaa. Akipenda hasubiri
 
😂😂😂😂 Sasa mbona kama 50 kwa 50 inagoma kutokana na jibu lako.
Mwanamke wa kizungu anatongoza vizuri sana, tena ni wakali mistari balaa. Akipenda hasubiri
Ingekuwa sikukuu yetu ningekalika hii sikukuu ya yenyewe cuzoo...tuendelee kusubiri Maria ajifungue tutambe na sie
Kumbe mkikosa mwaliko mnavurugwa hivi daah😂😂😂
 
😂😂😂😂 Sasa mbona kama 50 kwa 50 inagoma kutokana na jibu lako.
Mwanamke wa kizungu anatongoza vizuri sana, tena ni wakali mistari balaa. Akipenda hasubiri
Tena hao wazungu ndio kabisaaa akikutana na mbongo afu mwanamke uanze kumpenda atapatuliwaaaa mali zake mpaka akome!!!
 
Kwa nilipofikia binamu viatu vyake vinanitoshaa.....watoto anao, pesa ipo,safari za hapa na pale, rungu anapewa bila kubaniwa sasa stress za nini kingine kinachomsaidia huyu amesoma kwahyo yupo exposed kidogo
🤣😂😂😂😂😂😂😂! Hutaki stress kabisa ukipata hivo unatuliaaa tuliiiiii🤣🤣🤣😂😂!!
 
Kabisaa cousin hata awe mbali wanaume wa kuchomoa wawili kati ya miaaaa!

Wanaume Kazi mnayo mbona!
Halafu uzuri huyu binamu Lidamooo alikuwa anachepuka na watoto wa internationally unajua hasira za kuchitiwa halafu kamchepuko kenyewe unakuta ka hovyoo kanamiliki UTI tu ...sasa mchepuko wa binamu una mihela halafu pisi kali ya kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…