Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Part Seven K: I had no idea how this could be.

[emoji126]You must discover why I love you.


Kesho yake baada ya kujiweka safi. Nilikaa room kwangu kusubiri mwenyeji wangu.Baada ya muda mlango uligongwa na nilipofungua nikakutana na Violet .

Siku hiyo alipendeza zaidi ya jana yake. Baada ya staftahi Violet aliniambia twende kufanya shopping kwa ajili ya party ya jioni.

Kabla sijaondoka Dar-es-Salaam nilihakikisha nabeba nguo chache sana tena zote mpya.

Sikutaka kwenda kutia aibu ugenini na nguo zilizopauka na maji chunvi ya Dar. Pia Violet aliniambia hakuna haja ya mimi kubeba nguo, nitazikuta huko.

Tulianza safari baada ya Violet kuagana na yule binamu yake. Alimwambia aende kusaidia mandalizi kwa wazazi wake. Tulitumia gari aina ya Ford Taurus. (gari ya chini na nzuri sana ndani)

Nilipelekwa shopping mall inaitwa 'Koskikatu 27 B' ni mall kubwa sana . Tulifanya manunuzi ya zawadi ndogo ndogo na packages za kufungia zawadi.

Baada ya masaa kadhaa hapo mall tukafanikiwa kununua vitu tulivyohitaji.

Violet aliniambia tukanunue nguo kwa ajili ya jioni. Nilitamani nimwambie ninazo mpya, lakini nikajisemea labda hazina quality nzuri ndio maana niliambiwa nitakuta nguo huku.

Alinipeleka duka linaitwa 'H & M clothing shop' liko Koskikatu 27. Violet alinichagulia cadet black na shati raspberry colour na raba chapa 'Lacoste' White.

Tulitoka hapo tukaenda kupata chakula cha mchana mgawaha unaitwa Luckiefun's upo Koskikatu 25. (alikuwa ananitembeza nione mji wao)

Baada ya lunch tukaanza safari ya kuzunguka mitaa (kuosha macho kigodo nitoe ushamba) kabla ya kurudi nyumbani kufanya maandalizi ya kukutana na wageni jioni.
……..

Sherehe ya ukaribisho

Jioni tulivu tuliondoka na Violet kwenda nyumbani kwa wazazi wake.

Yule binamu yake alitamgulia toka mchana kwenda huko kufanya maandalizi.

Nilivaa ile cadet yangu na ile shati na zile raba, sikuvaa ile rolex niliyopewa na mr. Collins, nilivaa ile mpya aliyonipa Violet, unyunyu eternity for men by Calvin Klein.

Kitu ambacho sikupenda ni kufungwa lile shuka la kimasai tena rangi nyekundu. Nilichukia sana moyoni ila sikupenda kumkwaza binti yule anachopenda.

'Mwanaume usije kukataa kuvaa nguo aliyokuchagulia mke wako, hasa kama mnatoka wote, daima anataka aukuone umependeza anavyotaka yeye sio wewe unavyopenda. '

Violet alivaa gauni rangi ya raspberry refu, pulse Raspberry colour , viatu Raspberry colour , aling'aa sana hasa kwenye mwanga wa jua. Ni zile accessories nilizomletea. Necklace, bracelet, earrings and watch

safari ikaanza baby ana drive nimeegesha mkono kwenye paja lake.

Wazazi wake wanaishi 'Matikulo' ni nje kidogo ya mji, kilometa 25 tulitumia dakika 30 kufika kwenye makazi yao.

Tulipokelewa vizuri sana, japo ndugu wengi walikuwa wananishangaa tu. Kulikuwa na watu 8 ukituongeza sisi tunafika 10.

Baada ya salamu na utambulisho. Violet alinikonyeza, tukaanza kugawa zawadi tulizofunga kwenye package.

Mgawanyo wa zawadi ilikuwa kila packages ina picha 1 ya tinga tinga, bracelet 1, Shuka la kimasai 1 na perfume 1

(Hizo perfume alizinunua Violet pale mall, zinatoka uturuki, wenyeji wangu walijua nimekuja nazo)

Nilianza kugawa zawadi tulizo beba na Violet , kila mtu alipata zawadi yake maana tulijua idadi yao kabla, nilimuuliza Violet kabla ya kununua zawadi, ndio maana nilinunu dozen just in case. Baada ya kila mtu kupokea zawadi yake, Violet aliwaambia wafungu.

Niliwasaidia kuwafunga yake mashuka rubega kama wamasai, na walivaa zile bracelets. Kifupi walifurahi sana, kila mtu alipata wasaa wa kinikumbatia na kupiga picha. Nilipata pia mialiko.

Tukapata chakula na vinywaji kisha baada ya dakika 45 serehe ikaisha maana watu wako busy na mishe zao.

Tulibaki watu watano pale kwao Violet (Mr. Collins, Tatiana, Violet na Edson na Clara (yule binamu) .

Tuliongea mambo mengi sana, hasa walitaka kujua historia yangu na familia yangu. Tuliongea mengi,

'Niliambiwa mwenyeji wangu atakuwa Violet hivyo ahakikishe ananitembeza nifurahie mji .

Tuliaga tukaondoka kwa ahadi ya kurudi kuongea na mzee baada ya siku tatu, alitaka nipumzike kwanza.

***
Violet alikuwa ni mtoto pekee ya familia ile, alikuwa ameshamaliza chuo Kikuu mambo ya biashara. Kipindi hicho alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya familia yao, ambayo kimsingi ni kama yake maana ni mtoto pekee na wakati huo baba yake alishamkabidhi yeye ndie msimamizi.

Mr. Collins alikuwa na miaka 58 na mke wake alikuwa na miaka 45. Violet alikuwa na miaka 21. (Hapa ilikuwa imepita mika mitano tangu nilipofahamiana nao).

Ni familia iliyokuwa na uwezo mzuri kifedha, walikuwa pia na shamba kubwa na mifugo.

Mama na baba Violet walikuwa ni mama na baba wa nyumbani, kazi yao ilikuwa kwenda kuangalia mashamba yao maana mtoto alisimamia biashara zao zote. Ni kipindi ambacho wanapumzika baada ya ku seti mifereji ya pesa.

Sikujua sababu ya kutaka kujua undani wa maisha yangu na familia yanu.

(Baadae nilikuja kujua kumbe Violet aliporudi ile safari ya peke yake aliwaambia kuwa ananipenda, anatamani aishi na mimi, kwa kuwa nina moyo mzuri kwake , namjali sana , wazazi wakamjibu hayo ni mambo binafsi na pia hawajui kama nitakuwa na mtazamo gani juu ya jambo hilo.)

Na walimwambia ni bora asiwe na papa wala matarajio makubwa kwani ndoa sio jambo la kuamua kwa hisia tu.

Kama nitamhitaji nitamuomba mimi kumuoa. Lakini asitumie ushawishi wa pesa kuamua maana, anaweza kujuta baadae mambo yakiwa magumu.

Hilo somo likawa gumu kwake akawa ananishawishi na kusisitiza sana. (mazungumzo kwenye treni)

**********

Next

Part Seven L: I had no idea how this could be.

[emoji1666]Welcome to our family.

View attachment 2562589
Raspberry%20shirt%20.jpg
Lacoste%20sneakers%20.jpg
Raspberry%20colour%20%26%20shoes.jpg
Koskikatu%2027B.jpg
Luckiefun's%20Restaurant%20.jpg
Luckiefun's%20Restaurant%202.jpg
Luckiefun's%20Restaurant%203.jpg
H%26M%20clothing%20shop%202.jpg
H%20%26%20M%20clothing%20shop%20.jpg
Bracelet%20.jpg
Rolex%20for%20her.jpg
Necklace%20%26%20earrings%20.jpg
Vio%202.jpg
 
Part Seven L: I had no idea how this could be.

[emoji1666]Welcome to our family.

December 1998

Ilikuwa siku ya jumatano, niliomdoka na mwenyeji wangu kwenda kwao. Hii ilikuwa ni siku ya miadi yetu na baba Violet .

Kama kawaida nilivaa 'casual' tu maana sinaga mambo mengi. Mkononi nilivaa ile bracelets yenye rangi za bendera, mwenyeji wangu pia alivaa yake. Safari hii hakutaka shuka la kimasai, kimoyo moyo nikamshukuru.

Safari ikaanza tukitumia 'Ford Taurus SHO' toleo la 1995, dereva wangu alikuwa mtulivu sana awapo barabarani,yuko makini sana. Tulitembe kwa mwendo wa kawaida maana sio mbali, ni mwendo wa dakika 30 tu.

Tulipokelewa na kukaribishwa vizuri, wazazi walitaka kujua kama nimepata changamoto yoyote kutokana na kubadili hali ya hewa, ila sikuwa na changamoto.

Tuliongea kwa muda kisha mama alitoka na binti yake, nadhani walienda kufanya maandalizi ya chakula, baba akaniomba tukakae bustanini ili tuongee vizuri

Alimuita Violet na kumwagiza vinywaji, mzee aliletewa maziwa fresh na mimi nilipewa juice chaguo la Violet .

Mzee alianza maongezi kwa kutaka kujua kama nimeyapenda yale mazingira,

Collins: " Do you love my little backyard"

Edson:: " Yes, I enjoy this green, it reminds me ngorongoro "

Akacheka

Collins: "You've already missed your motherland"

Edson: "Well, not much, but I like the plants you planted here.. This makes the scene quite interesting, that's why I remembered the ngorongoro."

Collins: "I'm seeing it. I really like the greenness. I sit here and I have the fresh air and smell of those flowers."

Edson:" It is quite beautiful".

Collins: "What is your plan for the future?"

Edson: I got out of university this year. I want to settle and plan ahead. But my purpose is to open a private company, because people's jobs are very difficult."

Collins: "'This is an excellent idea. You have to make that dream come true."

Edson: "Thank you, I'll get to it as quickly as I can."

Collins: "All right. I'll be happy if you let me point you in the right direction.You know that old fish avoided too many hooks.

Edson: I will ensure that you are the first to share. Thanks a lot for this wonderful opportunity."

Collins: "I own a company that handles electronics. Another is about selling meat domestically and internationally. I'm a farmer too, I run farms for chickens, cows and pigs. We eat a lot of poultry and pork in this country. Milk is also an important demand"

Edson: "Congrats, I'm in great hands.. Hopefully, I'll learn a lot from you."

Collins: "Thank you. Don't worry, I'll do it for sure."

Collins: "Let me now turn to the purpose of this meeting. First, I continue to thank you for the compassion that you showed us that day, which led us to be here today."

Edson: "Well, thanks. I've done what a human should do for each other. Don't worry"

Collins: "That's good. I took a break and gave Violet the management of the companies. She's very strong, I have faith in her. She made a difference more quickly than I did. Shee has achieved tremendous success"

Edson: "Sounds like a victory to me."

Collins: "I put you down as my son, because I have no son. I want you to see the benefits of humanity that you showed us when we were in trouble.You put yourself out there no matter what. I respect you for that. "

Edson: Thanks mr. Collins, I did what had to be done."

Collins: "Now I am seeking your consent so I can legally register you. I also give you 25 percent of my shares, in an electronic equipment company and another 25 percent in a breeding company, although it is not the value of your humanity."

Edson: Thanks, However, the amount you send me each month is sufficient. Don't do more. It's been five years now, and you never missed sending me money. Thanks a lot, that's enough."

Collins: "Never mind, my son. You're a young man, you have your goals in life, you need money to support your family. My time is running out, 50 years now, which is why I rested to enjoy the fruits of my youth work. It is you who begin."

Edson: "Many thanks, father, for your generosity.."

Collins:" I'll call my wife first so she can pick up my paperwork..

He went inside, returned accompanied by Violet , then Violet 's mom followed by a little bag "

Collins: "All right, now we're talking about what we agreed about our hero Edson. I have to give him the paperwork, so he has time to go through it, and also time to think and decide what to do."

Tatiana: "It's true, you have to give him time to think and make up his mind. And since he's with Violet, maybe she can help explain where he needs it.

Collins:" That's a really good idea, what do you think, purple?

Violet: "Thank you, Mom and Dad, I'll really help him."

Aliongea Violet akiniangalia kwa kuibia kisha akatabasamu baada ya macho kututana. Nilipokea ule mkoba wenye 'documents' toka kwa Collins, kisha Violet akauchukua toka kwangu. Tuliendele na maongezi mpaka muda wa chakula.

Nilikaribishwa chakula kinaitwa 'Kalakukko', hiki chakula ni samaki alie okwa ndani ya mkate. Pia kulikuwa na 'Kaalikääryleet' cabbage rolls including lamb, beef or pork,blueberries.

Nilikuwa naonja kila chakula ili kujua test, Violet alifanya kazi ya kunielezea kabla sijaonja. Nilishindwa tu kula 'Mustamakkara' maana hiki chakula ni sausage iliyotengenezwa kwa damu.

'Nikakumbua biblia inasema "usilie mnyama na damu yake"
ndio maana tunachinja kuondoa damu mwilini.'


Song: Daddy What If
Artist: Bobby Bare
Released: 1973
Featured artist: Isabella Bare
Album: Lullabys, Legends, and Lies
Genre: Folk


(If the sun stopped shinin' you'd be so surprised)

You'd stare at the heavens with wide open eyes
And the wind would carry your light to the skies
And the sun would start shinin' again

(Daddy what if the wind stopped blowin' what would happen then)

If the wind stopped blowin' then the land would be dry
And your boat wouldn't sail son and your kite wouldn't fly
And the grass would see your troubles and she'd tell the wind
And the wind would start blowin' again

(But daddy what if the grass stopped growin' what would happen then)

If the grass stopped growin' why you'd probably cry
And the ground would be watered by the tears from your eyes
And like your love for me the grass would grow so high
Yes the grass would start growin' again

(But daddy what if I stopped lovin' you what would happen then)

If you stopped lovin' me then the grass would stop growin'
The sun would stop shinin' and the wind would stop blowin'
So you see if you wanna keep this old world a goin'
You better start lovin' me again again you better start lovin' me again
You hear me Bobby you better start lovin' me again
You love me Bobby you better start lovin' me again

'*

Next

Part Seven L: I didn't know my old man was saying goodbye.

[emoji3]the joy of wealth, [emoji3064]the sorrow of tragedy
Table.jpg
Daddy%20and%20son.jpg
Ufin3.jpg
Lady.jpg
Small%20bag%20Lite.jpg
 

Attachments

  • Ufin.jpg
    Ufin.jpg
    133 KB · Views: 48
Part Seven L: I didn't know my old man was saying goodbye.

[emoji3]the joy of wealth, [emoji3064]the sorrow of tragedy

Mida ya jioni tuliondoka kurudi nyumbani kwa Violet . Maisha yalikuwa mazuri sana, japo kuna siku Violet alikuwa ananiacha nyumbani anaenda kazini, sikuwa naenda nae kama yeye alivyokuwa anataka, nilimwambia nahitaji kupitia zile karatasi na kuwaza cha kufanya. Lakini lengo langu ni yeye apate nafasi ya kuwa huru.

Nilipata wakati mgumu sana kuhusu zile karatasi, kumbe mpaka wakati ule Violet alikuwa anamiliki 50% ya hisa zote, baba yake 25% na mama yake 25% kwa kila kampuni yao. Kwa hiyo zile 25% ninazopewa na Mr. Collins ni hisa zake zote.

Nilianza kuhofu kuwa huenda ni mtego ili nimuoe Violet , maana mtoto wao alikuwa ana onyesha mapenzi ya wazi kwangu.

Kule mtoto akifikisha miaka 18 tu anaamua atakacho, na mzazi akitaka kuleta ngumu wanaweza kufikisha mahakamani na mtoto akashinda.

Nieleweke kuwa ugumu uliongezeka sana kwa sababu ya mama na Rosemary, sikutaka kuishi mbali na mama, maana nimeshakabidhiwa jukumu maalum kuhakikisha namtunza.

Pia mapenzi ya Rosemary na zile kauli alizozitoa siku namuaga, je hatajidhuru kama nikifanya tofauti na ahadi?

Ina maana niukose ufundi na utamu wa Rosemary tuwapo kitandani. (yani nilichanganyikiwa sana)

***

Violet: "Sweetie, why are you so uncomfortable, is it just paperwork or is there something else you're not telling me?"

Edson: "I'm okay, sweetheart."

Violet: "Don't lie to me, sweetheart, you're not happy, tell me"

Edson: "Actually, Purple, I'm at a crossroads, I don't know what to do, I think I should have more time for that."

Violet: "Please, tell me what's wrong, I can advise you on what you should do"

Edson: Why would your father give me all this? Do you have a reason?" Can you give me a reason?

Violet : "Look, sweetie, Dad made his decisions, like thanks to you, The things it gives you are very small, As family we still get 75%

Edson: "How about the relationship?"

Violet: These parts are given to you through family decisions to thank you for the help you have given us.

They are completely unrelated to our relationship."

"Our relationship is between you and me, the stakes are a family matter."

Baada ya majibu ya Violet , angalau nilianza kupata mwanga kuwa zile hisa hazihusiani na mapenzi yetu. Swali likabaki je tukiachana hawatabadilika?

(Even if it is a donation, you must not enter without prudence, in order to protect your honor. )

***
Baada ya wiki kupita nikiwa na yale makaratasi, hatimaye niliyarudisha kwa Mr. Collins, nilikubaliana na offer yake.

Kesho yake alikuja mwanasheria wa familia, akaweka makubaliano yetu kisheria. Nikawa sasa namiliki hisa 25% kwenye kampuni ya vifaa vya umeme, na 25% kampuni ya ufugaji.

Violet alikuwa na 50% kampuni ya vifaa vya umeme, na 50% kampuni ya ufugaji.

Mr. & Mrs Collins walibaki na 25% kampuni ya vifaa vya umeme na 25% kampuni ya ufugaji.

Baada ya hapo taarifa ilifikishwa kwa mwanasheria wa hayo makampuni mawili, nikatakiwa kutoa taarifa zangu zilizohitajika, nikatambulika na kampuni hizo.

Violet aliendelea kuwa boss wa kampuni zote mbili. (boss lady)

Siku ya ijumaa jioni napokea taarifa za msiba wa mzee wangu Anthony , nikawataafiru wenyeji wangu, safari ikaandaliwa, nikaondoka Rovaniemi.

Violet alinisindikiza mpaka Helsinki vantaa Airport, tukaachana kwa makubaliano ya kuonana hivi karibuni. Ili nimpatie jibu lake. (huyo dada alikuwa amekufa kwangu, alijikazi kwa kuwa kuna taarifa msiba.)

********'*
End of part Seven

Next
Part Eight A : Find a girl, marry, settle down.

[emoji141] It's not easy to understand it son

1999
Table.jpg
Airport%202.jpg
Small%20bag%20Lite.jpg
Ford%20Taurus%20SHO%20.jpg
 
I don't have any honor for myself[emoji3][emoji1787] I would have signed the first day
Alikua wa kishua huyo, alafu last-born, hakua na stress za hela wala majukumu!

Kwa sisi freedom fighters, ilikua ni "f@ck honor, where do I sign?"

Na kwa Chagga boys, hata kungekua na kipengele cha kuukana uraia wake wala isingekua kesi!
 
Back
Top Bottom