Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Part Nine B: I feel terrible about what happened.

Jan 6,2001

Maisha yaliendelea, niliiona ndoa chungu kwa muda Rosemary nae akawa ni mzazi, yuko busy na mtoto. Nilikosa faraja, sina michepuko wa kujiliwazia, sinywi pombe, sivuti sigara, yaani niliteseka sana na maamuzi ya Purple.

Nyumba nzima ikawa na furaha, ila mimi tu nina huzuni ambayo wengine hawaijui.

***
Baada ya kukaa kimya ka miezi tisa bila kuni jibu ujumbe wowote. Kwa kuwa lengo langu halikuwa kumuumiza, niliendelea kumjulia hali kila itwayo siku mpya na jioni yake.

Violet hakuwahi kurudisha japo salamu, na alikuwa amezuia pesa zote niliokuwa napokea.

(Sikuumia kwa kukosa pesa, maana mali zote za familia zilikuwa chini yangu kwa 75%, kaka alibaki na 25% kwa kuwa alishajijenga na amewekeza miladi yake na mkewe. )

Kilichokuwa kinanitesa ni penzi la Violet, sikuwahi kujua kama nampenda kiasi kile. Baada ya kutofautiana nae ndio nikajua nampenda.

Kwa mara ya kwanza nilianza kujilaumu kumuoa Rosemary, japo na yeye nilimpenda sana. Mpaka hapo sikujua ni nani nampenda zaidi, maana mmoja niko nae kila saa, na mwingine ni wa hamu tu maana yuko mabali.

(Ukiwa nacho unaona cha nini, kikiondoka ndio unajua nitakipata lini.)

Hivi kweli mimi niliekuwa na nafasi ya kusikiliza moyo wangu, nilikosea wapi mpaka leo nateseka hivi. Siwezi waona watoto wangu tena.

Mawazo yalinimaliza mpaka mke wangu akanigundua, nilimdanganya nawaza cha kufanya ili yeye na mtoto waishi vizuri, kumbe hakujua tu.

"Imagine when I remember what I was doing with Violet, there's a picture of Purple with another guy doing what I was supposed to do."

Song: Before He Cheats
Artist: Carrie Underwood
Released: 2005
Album: Some Hearts
Awards: Grammy Award for Best Country Song,
Genre: Country

Right now, he's probably slow dancin'
With a bleached-blond tramp and she's probably gettin' frisky
Right now, he's probably buyin' her some fruity little drink
'Cause she can't shoot whiskey
Right now, he's probably up behind her with a pool-stick
Showin' her how to shoot a combo
And he don't know

I dug my key into the side of his pretty little souped-up four-wheel drive
Carved my name into his leather seats
I took a Louisville slugger to both headlights
I slashed a hole in all four tires
Maybe next time he'll think before he cheats

Right now, she's probably up singing some
White-trash version of Shania karaoke
Right now, she's probably sayin' "I'm drunk"
And he's a-thinkin' that he's gonna get lucky
Right now, he's probably dabbin' on
Three dollars worth of that bathroom Polo
Oh, and he don't know

That I dug my key into the side of his pretty little souped-up four-wheel drive
Carved my name into his leather seats
I took a Louisville slugger to both headlights
I slashed a hole in all four tires
Maybe next time he'll think before he cheats

I might have saved a little trouble for the next girl
A-'cause the next time that he cheats
Oh, you know it won't be on me
No, not on me

'Cause I dug my key into the side of his pretty little souped-up four-wheel drive
Carved my name into his leather seats
I took a Louisville slugger to both headlights
I slashed a hole in all four tires
Maybe next time he'll think before he cheats

Oh, maybe next time he'll think before he cheats
Oh, before he cheats
Oh-oh

***
Jan 6,2001 nikapokea email toka kwa Violet, nilifurahi hata kabla sijajua inahusu nini. Nilijiuliza kwamba huenda ni taarifa mbaya tena, huenda watoto wanashida.

Sehemu ya ujumbe ule ulisomeka hivi

Dear Edson.

I hope you're alright. Me, the kids and my mum are safe.

I would like to apologize for not responding to your emails. Thank you very much for not abandoning me for nine months.

After your break-up message, I was really hurt because I loved you so much that I didn't think you'd make that decision, especially since we have children.

I didn't want to respond to your e-mails for fear of breaking your heart, so I started to hate you since you tipped me off. Your emails kept comforting me and I really think you love me, but my heart always hurts.

Meanwhile, I didn't tell my mother I was separated from you, I thought it was my problem I should have solved.

Six months after I got this message from you, I had a problem that caused my hysterectomy.

My hope for more kids has vanished. When we left the hospital, my mother asked me if I had given you any information. I said that it was not necessary to tell you because these are personal matters .

My mother was unhappy with my answers and wanted me to tell her what was happening. I didn't have anything to do so I had to give your email to my mom and she read the other ones too.

My mother cried a lot that day, I was scared and resented giving her the information.

My mam told me that I made a mistake that I shouldn't have made, that I brought love into an irrelevant part.

Mom asked me a question that got me to text you today, she said if it was her, I would leave her?. Why am I upset when you didn't leave your mom for me, like I didn't agree to leave her for you.

I started seeing the guilty one not understand you, I stopped all the money I had to send you.

I thought that someday I could find a message that you want to come back, but I lied to myself.

My mom pleads with you to give her a chance to talk, my kids also need to see you, they missed their daddy.

I'm sorry for what I did to you.

Give my regards to your mama and my brother-in-law.

Thanks a lot, Mr. Edson.

Kiitos.

*********
Baada ya kupata huo ujumbe, nilishtuka sana kusikia alipata tatizo la kiafya baada ya kiachana na mimi. Nikamuomba anieleze kila kitu kuhusu hilo tatizo.

Violet aliniambia alipata tatizo la kiafya , She has told me that the reason was to prevent cervical or uterine cancer, so she has to do a 'hysterectomy' to remove the uterus.

(The uterus is where a fetus grows during pregnancy.She won’t be able to get pregnant and she won’t get a period after a hysterectomy.)

***
Ilinibidi niombe ruhusa kwa mama na mke wangu Rosemary , kipindi hicho ana mtoto wa mwaka mmoja.

Siku kutana na kipingamizi chochote, kwa kuwa mke wangu alikuwa anajua kuwa naenda kusalimia watoto wangu. Kipindi chote cha kuchuniwa na Violet, sikuwahi mwambia mtu yoyote, na hawakujua kama nilikuwa natumiwa pesa kila mwezi tangu 1994 na zikasitishwa.

(mwanaume jifunze kutunza ramani ya vita, ukiiuza imekula kwako, nilitaka waishi vizuri bila kujua ninapataje pesa.)

Nilijiandaa na safari ya kwenda kumsikiliza Violet, mama na watoto wangu ambao niliwajua kupitia picha tu.

**********
Next

Part Nine C: I value the insights and guidance you provided.
View attachment 2566445View attachment 2566446View attachment 2566448
Mwamba miezi tisa unawasiliana na Violet bila kuchoka [emoji848] ningekua mimi kuna mahali ningechoka. Huu moyo wa namna hii wachache sana.
 
Mwamba miezi tisa unawasiliana na Violet bila kuchoka
emoji848.png
ningekua mimi kuna mahali ningechoka. Huu moyo wa namna hii wachache sana.
Kwanza ana watoto wangu sikupaswa kuleta hasira.

Pili mimi ndie nilimkosea, nilimvunja moyo

Tatu kila mwanamke anapenda kusifiwa, kukuonyesha unamjali, unamsikiliza. (hakuna mkate mgumu mbele ya chai)

Nne nilikuja kugundua nampenda sana kuliko nilivyokuwa namchukulia.

Ole hyvä
Kiitos vastauksestasi veli, en tiedä miten välitin hänen kommenttinsa.
 
Kwanza ana watoto wangu sikupaswa kuleta hasira.

Pili mimi ndie nilimkosea, nilimvunja moyo

Tatu kila mwanamke anapenda kusifiwa, kukuonyesha unamjali, unamsikiliza. (hakuna mkate mgumu mbele ya chai)

Nne nilikuja kugundua nampenda sana kuliko nilivyokuwa namchukulia.


Kiitos vastauksestasi veli, en tiedä miten välitin hänen kommenttinsa.
imebidi nicheke tu,kwamba ulikuwa unampenda kuliko ulivyokua unachukulia nadhani kuna haja ya kuwa na kifaa cha kupima kiwango cha upendo kwa mtu ili kufanya maamuzi sahihi
 
leadermoe hii story naombanuipe Hatimiliki, its a nice story yenye mafunzo.mengi sana, bongo movie hawakawii kuichukua
Wazo zuri mkuu, nikihitimisha kuna tangazo nitatoa, tayari imesajiliwa kisheria mkuu.(hapa naitafsiri tu kwa kiswahili niiweke hapa) Nitafutieni mtu mzuri wa kufanya documentary, nitasema mwisho.
 
Kwanza ana watoto wangu sikupaswa kuleta hasira.

Pili mimi ndie nilimkosea, nilimvunja moyo

Tatu kila mwanamke anapenda kusifiwa, kukuonyesha unamjali, unamsikiliza. (hakuna mkate mgumu mbele ya chai)

Nne nilikuja kugundua nampenda sana kuliko nilivyokuwa namchukulia.


Kiitos vastauksestasi veli, en tiedä miten välitin hänen kommenttinsa.
[emoji119]
 
Part Nine C: Ending a beautiful relationship is never easy..

[emoji3455]You and I have unfinished business.

Jan 20,2001

Nilifika salama Rovaniemi, safari hii sikutumia train, nilishukia Rovaniemi airport. Nilipokewa na Violet akiwa na mapacha wetu. Baada ya hapo tulifika nyumbani kwa Tatiana, alifurahi baada ya kuniona.

Nilipeleka zawadi kwa kila mmoja katika ile familia. Baada ya salamu na zawadi kwa watoto na familia yote nilipewa chumba cha kupumzika.

(nilitumia 2m kwa zawadi za purple, kids na Tatiana, ila Purple nilitumia 1m na kids na bibi 1m).

*****
Kesho yake baada ya breakfast, mama akaanzisha maongezi baada ya kuwaondoa watoto.

Tatiana: "I'm sorry for the trip my son, welcome back home"

Edson: "Thank you very much mama, I thank God that I have arrived safely, and I am glad to see that you are all alive and healthy".

Tatiana: "We thank God, we're all right, and your kids are fine.

"What about your mom and your brother?

Edson: "Mother and brother are well, they salute you a lot"

Tatiana: "Thanks a lot my son"

"Kudos for having beautiful kids."

Edson: "Thanks a lot, mam, we're really happy."

Tatiana: "My son, first, I apologise for what happened, what happened should never have happened."

You know, you come into this family as all of us decide as a family. I'm sorry that you guys put love in this"

I can't question your relationship, but what I want you to understand is that your relationship with us as a family doesn't depend upon your relationship. I think you get my point.

" Your mother is still dependent on you, you cannot leave your parents because you want to come and live in Europe, and even Violet cannot leave me alone and go to live in Tanzania.

Edson: "mam, I know Violet was very hurt because she loves me, that's why she did this."

Tatiana: "Don't start being her lawyer, tell her the truth so that you stop your differences, take care of those kids."

Edson: "mam, it's not like I'm defending Violet, I'm trying to figure out how I made her feel so bad."

Tatiana: "Yes, you hurt her, but what would you do in such a situation?. Would you give up your mother for a lady?. Your mam carried you in her womb for nine months and spent several years taking care of you."

Edson: "No mam, I couldn't leave her."

Tatiana: "that's the truth and the wise decision you made, your wife comes after your mother."

"We need to know what happened."

Edson: "Before my father's death, he insisted that I take care of my mother up close. After those words that I never spoke to my father again. When the tragedy ended, I asked myself how I could take care of my mam.

So I had to consider getting married to find an assistant to take care of my mother. I've noticed it's hard to marry Violet. Since you need her to look out for you.

In addition, Violet is responsible for your enterprises, it would not be possible to come to live in Tanzania."

Tatiana: "What you say is right, son."

Edson: "It was very difficult for me to explain to Violet. While I was thinking about how to tell her, Mr. Collins died.

When I came to the tragedy, I wanted to reconcile with Violet, but I failed because of the situation she was in. I couldn't tell her.

I had to get married quickly because I didn't have anybody to take care of my mother. After the wedding, and when I saw that Violet would have been better after having the baby and her father's death. I've decided to send her that message

Tatiana: "I'm so sorry, son, you went through a very difficult time."

"Allow me to commend you for taking care of your mother more than your comfort first, few young people can have this courage."

Edson: "Thank you mam."

Tatiana: "Purple, have you heard what your friend said?"

Violet: "Yes mam, I heard, I'm sorry Edson, I didn't know whether you were in such a difficult situation.

I just looked at my feelings, I was blinded by love for you and I never realized it."

Even when I stopped sending you money, I never wanted you to suffer, I tried to fight for my love for you. I felt you were trapped and someday you'll come back to me.

Tatiana: Hey, you've heard the truth today, so I told you not to judge it just by email. Even if it was you who rose to that challenge, would you leave me?

"No, Mommy, I won't leave you."

Tatiana: "That's what your partner has done, there's nothing like a mother in this world, my daughter."

Violet: Thank you, mammy, you've opened my mind. I saw where I made a mistake, and today I know the truth. I beg you to forgive me Edson for my actions, I know they have hurt you greatly.

I also thank you for turning me into a mother; Well, maybe I wasn't going to be called Mother."

I never hated you after your text, I couldn't answer you because I didn't know what to answer. You didn't get tired of letting me know every time, even though I didn't respond, I was relieved that you loved me."

Edson: "Violet, don't think you've made a mistake, that's a normal situation if you really love someone. I never felt you did me wrong, and I will never feel you did me wrong. You were right to do that."

"I don't have a problem, I'm very sorry for the health problem that happened to you. Humans know nothing, only our maker knows our future, Let's take care of our kids together."

Tatiana: "It's a good decision, take care of the gift you got, you don't know why you got it."

Edson: I'm grateful to Violet and Mom. Let me help raise the kids. If Violet finds someone to marry, she'll be reassured, because I'm already married and I can't prevent her from finding someone.

Violet: "Thank you for your advice, I'll be glad you're involved in raising our kids. As for marriage, even my mother said to me, no man can know that I cannot have children and continue to respect you.

He can bring you other children from outside, and you will have nothing to do coz you cannot give him children. I can only raise my children, not get married.

Tatiana: "Don't judge yourself too much, my purple , God has plans for every one of us, you can find a marriage of comfort."

Edson: "That's right, Mommy, don't give up, there are still good people.

Tuliongea mambo mengi, lakini Violet alishikilia msimamo wake wa kutohitaji ndoa.

****
Baada ya maongezi, nilienda bustanini kucheza na watoto ili tufahamiane, walishaziona picha zangu. Nilitumia nafasi hiyo kujaribu kuwa nao karibu.

Mida ya jioni Purple akaniambia hatutalala hapo nyumba, tutaenda kule kwake. Sikuwa na hisia mbaya kwake maana tulisha yamaliza, nikaona anacheka.

Muda ulipofika, alimuaga mama (alishampa taarifa mapema), tukawaaga na watoto, kisha safari ikaanza. Violet aliendesha gari kama dakika 5 tuko kimya, kisha akaanzisha maongez

Violet: "Is she prettier than me?"

Edson: " who are you referring to? ."

Violet: "That's your hooker."

Edson: Violet, please, it was me who did you wrong, my wife knows nothing about you. I don't like you calling her hooker because she didn't hurt you, put an end to your anger towards me.

"We already talked in front of our mother, I apologized, we agreed, why are you starting a fight again?"

Violet: "Are you done?"

Edson: "How, Purple?"

Violet: "Edson, make no mistake, you and I haven't finished yet, and we haven't even started yet, please don't dream".

" I did it in front of my mum, I didn't want to hurt her. Which is why I thought we shouldn't stay there, I don't want her to know what I want to know about you, prepare the answers for me when we get home."


Next

Part Nine D: Ending a beautiful relationship is never easy..

[emoji3455]You and I have unfinished busines

Table.jpg
Lady.jpg
Twins.jpg
Gun.jpg
 
Part Seven L: I didn't know my old man was saying goodbye.

[emoji3]the joy of wealth, [emoji3064]the sorrow of tragedy

Mida ya jioni tuliondoka kurudi nyumbani kwa Violet . Maisha yalikuwa mazuri sana, japo kuna siku Violet alikuwa ananiacha nyumbani anaenda kazini, sikuwa naenda nae kama yeye alivyokuwa anataka, nilimwambia nahitaji kupitia zile karatasi na kuwaza cha kufanya. Lakini lengo langu ni yeye apate nafasi ya kuwa huru.

Nilipata wakati mgumu sana kuhusu zile karatasi, kumbe mpaka wakati ule Violet alikuwa anamiliki 50% ya hisa zote, baba yake 25% na mama yake 25% kwa kila kampuni yao. Kwa hiyo zile 25% ninazopewa na Mr. Collins ni hisa zake zote.

Nilianza kuhofu kuwa huenda ni mtego ili nimuoe Violet , maana mtoto wao alikuwa ana onyesha mapenzi ya wazi kwangu.

Kule mtoto akifikisha miaka 18 tu anaamua atakacho, na mzazi akitaka kuleta ngumu wanaweza kufikisha mahakamani na mtoto akashinda.

Nieleweke kuwa ugumu uliongezeka sana kwa sababu ya mama na Rosemary, sikutaka kuishi mbali na mama, maana nimeshakabidhiwa jukumu maalum kuhakikisha namtunza.

Pia mapenzi ya Rosemary na zile kauli alizozitoa siku namuaga, je hatajidhuru kama nikifanya tofauti na ahadi?

Ina maana niukose ufundi na utamu wa Rosemary tuwapo kitandani. (yani nilichanganyikiwa sana)

***

Violet: "Sweetie, why are you so uncomfortable, is it just paperwork or is there something else you're not telling me?"

Edson: "I'm okay, sweetheart."

Violet: "Don't lie to me, sweetheart, you're not happy, tell me"

Edson: "Actually, Purple, I'm at a crossroads, I don't know what to do, I think I should have more time for that."

Violet: "Please, tell me what's wrong, I can advise you on what you should do"

Edson: Why would your father give me all this? Do you have a reason?" Can you give me a reason?

Violet : "Look, sweetie, Dad made his decisions, like thanks to you, The things it gives you are very small, As family we still get 75%

Edson: "How about the relationship?"

Violet: These parts are given to you through family decisions to thank you for the help you have given us.

They are completely unrelated to our relationship."

"Our relationship is between you and me, the stakes are a family matter."

Baada ya majibu ya Violet , angalau nilianza kupata mwanga kuwa zile hisa hazihusiani na mapenzi yetu. Swali likabaki je tukiachana hawatabadilika?

(Even if it is a donation, you must not enter without prudence, in order to protect your honor. )

***
Baada ya wiki kupita nikiwa na yale makaratasi, hatimaye niliyarudisha kwa Mr. Collins, nilikubaliana na offer yake.

Kesho yake alikuja mwanasheria wa familia, akaweka makubaliano yetu kisheria. Nikawa sasa namiliki hisa 25% kwenye kampuni ya vifaa vya umeme, na 25% kampuni ya ufugaji.

Violet alikuwa na 50% kampuni ya vifaa vya umeme, na 50% kampuni ya ufugaji.

Mr. & Mrs Collins walibaki na 25% kampuni ya vifaa vya umeme na 25% kampuni ya ufugaji.

Baada ya hapo taarifa ilifikishwa kwa mwanasheria wa hayo makampuni mawili, nikatakiwa kutoa taarifa zangu zilizohitajika, nikatambulika na kampuni hizo.

Violet aliendelea kuwa boss wa kampuni zote mbili. (boss lady)

Siku ya ijumaa jioni napokea taarifa za msiba wa mzee wangu Anthony , nikawataafiru wenyeji wangu, safari ikaandaliwa, nikaondoka Rovaniemi.

Violet alinisindikiza mpaka Helsinki vantaa Airport, tukaachana kwa makubaliano ya kuonana hivi karibuni. Ili nimpatie jibu lake. (huyo dada alikuwa amekufa kwangu, alijikazi kwa kuwa kuna taarifa msiba.)

********'*
End of part Seven

Next
Part Eight A : Find a girl, marry, settle down.

[emoji141] It's not easy to understand it son

1999
View attachment 2563007View attachment 2563009View attachment 2563011View attachment 2563012
Pole sana kwa msiba......
 
Part Eight F: It's a boy, It's a girl

September 28 1999

Hatimaye napokea taarifa za Violet kujifungua mapacha. Alifanyiwa operation. Nilifurahi sana, Violet alinitumia picha yake na watoto. Alikuwa na furaha sana pia.

Nilimwambia mama lakini hakufurahi sana, alisema nimwangalie sana Rosemary ananipenda. Nilimtumia Violet salamu za pongezi

Dear Violet,

Nothing is as precious or brings home so much love, as two brand new babies sent from heaven above.

Two babies growing side by side, two babies sleeping side by side,

Two pairs of hands and two pairs of eyes,
The twins are such a delicious surprise!

Two peas in a pod,
Two bundles of joy.

You made a wish,
And two came true,

Two gifts from heaven,
One girl and one boy.

congrats on your double blessing.

**

Please listen to the song…

Song: What Will Baby Be
Artist: Dolly Parton
Featured : Carl Jackson, Maura O'Connell
Album: Slow Dancing with the Moon
Released: 1993
Genre: Classic Country)

A young couple marries, already fighting
Along comes baby makin' them three
Trouble's all he hears from the time he's in didies

Baby don't know just what to believe
Angry words and spiteful actions
Baby's gonna cut his teeth on these

If that's gonna be the main attraction
What will the baby be, what will baby be
Baby needs love and needs direction
Baby's first school is the family
For they are only a reflection

Of the things they see, what will baby be
What will baby be after baby is grown
What will baby do if baby don't know what's right or wrong

Got to show them love, got to teach them truth

'Cause what baby is when baby grows up
Well, that depends entirely on me and you
Depends entirely on me and you
Baby thinks God is just a curse word
Never said a prayer 'cause he's never been taught

They remember and repeat what they've heard
So I ask who's really at fault
So many questions, so few answers
So many lessons we don't teach
Stumbling through like clumsy dancers
What will baby be, what will baby be
What will baby be after baby is grown
What will baby do when baby is out there on his own

Teach the children how to be all they should be

'Cause what baby is when baby grows up
Depends entirely on you and me
Depends entirely on you and me
What will baby be

Kiitos.

**********

Next

Part Nine : I love you even if you throw me away.


Rosemary is married, Purple is rejected. Was this the right choice?

Wasomaji nilichemka au nilikuwa sawa.

View attachment 2565016View attachment 2565017View attachment 2565019
Wooh.... I share a birth date with your kids[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uzuri wa country, nyimbo nyingi zimebeba elimu kubwa. Pia hazina matusi, unaweza sikiliza na yoyote bila hofu. Hazina kelele, ni za kistaarabu sana. Ndio maana unaonekana mziki wa wazee wenye pesa.

Njoo sasa bongo flavor, " nakupenda, kampende babako" [emoji6]
Nakupenda wewe na huyo bashaaako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nyimbo za siku hz chenga sana
 
Back
Top Bottom