Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Jamaa anadai kuwa wewe leadermoe ni mtoto wa mama. Anadai kuwa bado unaishi na mama mpaka leo na ukitoka kuoga mama huwa anaangalia kama umejisugua vizuri 😀 Juzi hapo tu mama alisema "mwanangu ukumbuke kusugua miguu". Japo umeoa unapenda kupikiwa na mama 😀 na akila anakubakishia chakula.

enzo1988 ujumbe wako ukumbuke kuufikisha ukaeleweka
🤔
 
😁😁 naomba kueleweshwa hapo kumuondolea hali fulani ya kiume. Hata mimi pia nakaa sana na mama kumbe ni hatari. Hapo kukaa na mama unaweza kuwa na hali fulani za kike kama naelewa vile, je mwanaume anaweza kuingia kwenye siku zake baada ya kukaa na mama mda mrefu😀😀 je damu zitatokea wapi vile kwenye kile kitobo ha dudu?😀

Kwa mfano jogoo akikaa na majike mengi anataga mayai madogo madogo kwa sababu anapata hali ya kike😀
mbuya 👆
 
Mfano 1 :kwenye sakata la kuoa, maamuzi makubwa kwa asilimia kubwa kama siyo yote ulishikiwa maamuzi na mama yako, wewe ukibaki nyuma.Angesema usioe usingekataa.

Mfano 2 : Kwenye sakata la mimba la dada wa kizungu kwenye kumuambia Rose, mama alishiriki kwa asilimia kubwa kama siyo zote na wewe ukibaki nyuma.Mwenyewe umekiri uliogopa na kupata hofu.

Yaani kwa kifupi mama ndiyo kila kitu!!!!!!!!

Je, hali hii kwa mtoto wa kiume kukaa sana na mama kwa muda mrefu na mama yake huoni kama humuondolea hali fulani ya kiume na kumuambukiza hali fulani ya kike hasa kimaamuzi???????????

Samahani kama nimekukera na kukupa usumbufu wa kihisia. Nazungumzia picha kubwa ya kimalezi na makuzi kwa mtoto wa kiume.
Nitakupa majibu, huyo alie quote haya maswali kanikosea. Nitapata muda nitakujia Asante.
 
😁😁 naomba kueleweshwa hapo kumuondolea hali fulani ya kiume. Hata mimi pia nakaa sana na mama kumbe ni hatari. Hapo kukaa na mama unaweza kuwa na hali fulani za kike kama naelewa vile, je mwanaume anaweza kuingia kwenye siku zake baada ya kukaa na mama mda mrefu😀😀 je damu zitatokea wapi vile kwenye kile kitobo ha dudu?😀

Kwa mfano jogoo akikaa na majike mengi anataga mayai madogo madogo kwa sababu anapata hali ya kike😀
Naona kama una utani na kejeli fulani hivi. Namaanisha kuwa makuzi na malezi ya mtoto wa kiume akiwa na baba (baba bora) kwa muda mrefu humfanya kuwa wa kiume zaidi na hasa upande wa kimaamuzi.

Hali hii huwa huwa naiona ni tofauti (mtazamo wangu) kwa mtoto wa kiume akiwa na mama kwa muda mrefu ,naona anakuwa ameathiriwa zaidi kimalezi na kimakuzi hasa kwenye mchakato mzima wa kufanya maamuzi makubwa na hata madogo lazima mama ahusike kwa kiasi kikubwa na siyo yeye binafsi.

Mama na baba ni washauri, wenye kufanya maamuzi ni watoto wenyewe.

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!
 
You got some kind of personal problem with me?

Did I do a thing to you?

When you write, do you think of other peoples' personalities?

When you write, do you try to think about age and respect for the person to whom you write? Or because we're behind the keyboard, we turn into catfish?
I am just joking my friend😀 usiweke moyoni. .

Nikajua unajua natania tu. No personal issues. I really enjoy reading what you write. Najifunza mengi hapa, don't take it to heart. .
 
Naona kama una utani na kejeli fulani hivi. Namaanisha kuwa makuzi na malezi ya mtoto wa kiume akiwa na baba (baba bora) kwa muda mrefu humfanya kuwa wa kiume zaidi na hasa upande wa kimaamuzi.

Hali hii huwa huwa naiona ni tofauti (mtazamo wangu) kwa mtoto wa kiume akiwa na mama kwa muda mrefu ,naona anakuwa ameathiriwa zaidi kimalezi na kimakuzi hasa kwenye mchakato mzima wa kufanya maamuzi makubwa na hata madogo lazima mama ahusike kwa kiasi kikubwa na siyo yeye binafsi.

Mama na baba ni washauri, wenye kufanya maamuzi ni watoto wenyewe.

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!
Ndio nashukuru umejua utani too bad leadermoe didn't get it. .

Ila nimefanya utani coz ulichoandika si kweli. Niko karibu sana na mama na ndio rafiki yangu mkubwa. Ila hii imenisaidia kwenye mahusiano yangu na wengine na kimaisha sana. Siku akiwa hayupo utaona umuhimu wake. .

Pia kama mzazi amekutunza ni jukumu lako kumtumza pia. Ila watu wa kaskazini tunaelewa hii kitu. Wachache hawawezi elewa. .
 
Mfano 1 :kwenye sakata la kuoa, maamuzi makubwa kwa asilimia kubwa kama siyo yote ulishikiwa maamuzi na mama yako, wewe ukibaki nyuma.Angesema usioe usingekataa.

Mfano 2 : Kwenye sakata la mimba la dada wa kizungu kwenye kumuambia Rose, mama alishiriki kwa asilimia kubwa kama siyo zote na wewe ukibaki nyuma.Mwenyewe umekiri uliogopa na kupata hofu.

Yaani kwa kifupi mama ndiyo kila kitu!!!!!!!!

Je, hali hii kwa mtoto wa kiume kukaa sana na mama kwa muda mrefu na mama yake huoni kama humuondolea hali fulani ya kiume na kumuambukiza hali fulani ya kike hasa kimaamuzi???????????

Samahani kama nimekukera na kukupa usumbufu wa kihisia. Nazungumzia picha kubwa ya kimalezi na makuzi kwa mtoto wa kiume.
Mfano 1 :kwenye sakata la kuoa, maamuzi makubwa kwa asilimia kubwa kama siyo yote ulishikiwa maamuzi na mama yako, wewe ukibaki nyuma.Angesema usioe usingekataa.
Kuhusu kuoa, ukisoma nilipokuwa na Purple kwenye train, ndie alianzisha swala la kuoana. Nilimwambia asubiri niongee na wazazi, kama njia ya kumsubirisha mpaka nifanye mamuzi. Kumbuka nilikuwa na Rose na Purple, sikuwa najua naoa yupi.

Niliwaweka kwenye mazani wa nani atamtunza mama. Rose alionekana ana uhakika mkubwa wa kumtunza mama kuliko Purple. Kabla ya mzee kufa alinikabidhi amam na alitaka nioe mwanamke atakae weza mtunza mama.

Nilimuweka mama mbele, kuliko mapenzi yangu. Hii inatoka na bond iliyokuwepo.

Nilimpa mama option ya kuchagua mtu anaeona ataweza kukaa nae, akamchagua Rose.
Mfano 2 : Kwenye sakata la mimba la dada wa kizungu kwenye kumuambia Rose, mama alishiriki kwa asilimia kubwa kama siyo zote na wewe ukibaki nyuma.Mwenyewe umekiri uliogopa na kupata hofu.
Yes. Mama alishiriki kwa kuwa alishamchagua, ndio maana nikataka amalize. Maana nilihofia Rose kuumia kihisia maana nilimsaliti kwa Purple.

Pia nilitaka wepesi kwa Rose kukubali maana mbele ya mtu mzima ni ngumu kukataa. Kumbuka wakati anapewa taarifa alikuwa ananiangalia lwa macho yenye maswali.

Hofu yangu ilikuwa akikataa kwangu, mama angehisi nimefanya makusudi ili niwe na Purple. Ndio maana nikataka awepo wakati wa hilo tukio.
Yaani kwa kifupi mama ndiyo kila kitu!!!!!!!!
Ni kweli kabisa, kwangu mama ni kila kitu. Kumbuka hata wakati mzee yupo, hakuwa rafiki kwangu, mama alijua mpaka wasichana ninaotembea nao ila baba mpaka anakufa hauwahi jua lolote.

Bond ya mama na mtoto inaanzia tumboni,
Je, hali hii kwa mtoto wa kiume kukaa sana na mama kwa muda mrefu na mama yake huoni kama humuondolea hali fulani ya kiume na kumuambukiza hali fulani ya kike hasa kimaamuzi???????????
Hali inawaathili kama hakuna mwongozo wa upande wa pili. Mimi kaka na baba (miaka niliyoishi na kaka nilioanza shule, niliishiwa na baba pia) walisawazisha hilo tatizo.
Samahani kama nimekukera na kukupa usumbufu wa kihisia. Nazungumzia picha kubwa ya kimalezi na makuzi kwa mtoto wa kiume.
Napenda mtu anaehitaji kujia, sina shida na swali lolote. Kuwa na amani sana. Asante kwa muda wako
 
Jamaa anadai kuwa wewe leadermoe ni mtoto wa mama. Anadai kuwa bado unaishi na mama mpaka leo na ukitoka kuoga mama huwa anaangalia kama umejisugua vizuri 😀 Juzi hapo tu mama alisema "mwanangu ukumbuke kusugua miguu". Japo umeoa unapenda kupikiwa na mama 😀 na akila anakubakishia chakula.

enzo1988 ujumbe wako ukumbuke kuufikisha ukaeleweka
My mom is dead 2005. 🙏
 
I have a friend who is into white girls, I know, I know, I am not going to name names or mention him but he is into white girls as I said before. How about we set them up, I mean Violet and my friend [emoji854] and my friend is willing to pay you millions of cash, to make it clear two million TZS[emoji846]. You have to remember payment will come afterward, after purple has slept with him, (this friend of mine who isn't here on JF by the way).

My friend is Chaga, he knows how to cook and he eats everything, he is willing to go live there in Finland. Bonus points he can do certain sex position forbidden in 47 states in America and prohibited by the church. In swahili we could say 'ana ushetani mwingi'

Lastly, my friend doesn't mind being a step father. You be guaranteed that he will look after your kids as his own. Over time he will make purple forget you totally. What do you say buddy[emoji3][emoji2]
chenga sana wewe [emoji1787]
 
My mom is dead 2005. 🙏
Pole sana, i feel the way u miss her,just like the way miss my mumy, she wa my best friend ever, nami nilikuwa mtoto wa mama( sijajua ni kwa nini kina mama wanawapenda sana watoto wao wa mwisho wa kiume, maana hii kitu naiona kwa wife kwa last born wangu doto, na doto anampenda sana mama yeke,tofauti na ilivyo kwa kurwa.)
 
Kuhusu kuoa, ukisoma nilipokuwa na Purple kwenye train, ndie alianzisha swala la kuoana. Nilimwambia asubiri niongee na wazazi, kama njia ya kumsubirisha mpaka nifanye mamuzi. Kumbuka nilikuwa na Rose na Purple, sikuwa najua naoa yupi.

Niliwaweka kwenye mazani wa nani atamtunza mama. Rose alionekana ana uhakika mkubwa wa kumtunza mama kuliko Purple. Kabla ya mzee kufa alinikabidhi amam na alitaka nioe mwanamke atakae weza mtunza mama.

Nilimuweka mama mbele, kuliko mapenzi yangu. Hii inatoka na bond iliyokuwepo.

Nilimpa mama option ya kuchagua mtu anaeona ataweza kukaa nae, akamchagua Rose.

Yes. Mama alishiriki kwa kuwa alishamchagua, ndio maana nikataka amalize. Maana nilihofia Rose kuumia kihisia maana nilimsaliti kwa Purple.

Pia nilitaka wepesi kwa Rose kukubali maana mbele ya mtu mzima ni ngumu kukataa. Kumbuka wakati anapewa taarifa alikuwa ananiangalia lwa macho yenye maswali.

Hofu yangu ilikuwa akikataa kwangu, mama angehisi nimefanya makusudi ili niwe na Purple. Ndio maana nikataka awepo wakati wa hilo tukio.

Ni kweli kabisa, kwangu mama ni kila kitu. Kumbuka hata wakati mzee yupo, hakuwa rafiki kwangu, mama alijua mpaka wasichana ninaotembea nao ila baba mpaka anakufa hauwahi jua lolote.

Bond ya mama na mtoto inaanzia tumboni,

Hali inawaathili kama hakuna mwongozo wa upande wa pili. Mimi kaka na baba (miaka niliyoishi na kaka nilioanza shule, niliishiwa na baba pia) walisawazisha hilo tatizo.

Napenda mtu anaehitaji kujia, sina shida na swali lolote. Kuwa na amani sana. Asante kwa muda wako
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri pamoja na muda wako na samahani kwa usumbufu.
 
Part Nine F: Ending a beautiful relationship is never easy..

[emoji180]If you forget about me, I'll let your wife know.

Siku moja kabla ya kuondoka, Violet alinilipa pesa zote alizositisha kwa miezi 9. Aliweke kwenye account yangu, na cash kwa ajili ya zawadi za familia.

Yeye binafsi alifanya shopping kwa ajili ya mama, kaka, shemeji, Rosemary, kwa kuwakadili baada ya kuona picha zao.

Jioni yake tukawa na kikao na mama, Violet alikuwa anang'a kwa furaha, kitu kilichopelekea mama yake kufurahi pia.

Edson: "Mom, thanks a lot for your advice, you helped us resolve our differences."

Tatiana: "Thank you, my son, it is my duty to counsel you.

I see even Purple has changed a lot, she's regained her former bliss. I'm just asking you to respect one another, stop arguing, raise your kids.

Edson: "Thank you very much, Mom, we'll do whatever you suggest."

Violet: "Thanks Mama, I'm with my mentor here, I won't make you sad anymore."

Tatiana: "I wish you the best in your life, don't forget to raise and guide Violet, she needs someone to care about her."

Edson: "Thank you, Mom, I'm going to keep an eye on her, because she started acting out."

Wote tulicheka, tukafurahi. Nikawaaga rasmi watoto na bibi yao, tukaondoka na mizigo yangu maana kesho yake naondoka.

*****
Usiku ule pia hatukulala, nilifangiwa vituko sana ili tu nimkumbuke.

Nikakumbuka ule usemo wa zamani kuwa…

" Kila mwanamke ana masikio matatu, haya mawili yakiziba hakuna shida, ila sikio la tatu likiziba ujue zarau na kejeli vitakuandama. Kujiepusha na kadhia hiyo, hakikisha sikio la tatu linazibuliwa mara kwa mara ili lilete heshima. "

***

Nilifika nyumbani salama, nikapokelewa na mke wangu, kaka na shemeji yangu. Safari hii nilikuwa na mabegi manne makubwa, moja ni zawadi za shemeji yangu pekee.

Safari ya kwanza aliniomba zawadi, nikashindwa kwa sababu ya msiba. Nilitaka avae apendeze, anukie vizuri.

(alikuwa ananipenda sana, ukitukuta unaweza zani ni wapenzi, sijawahi ona mwanamke mwenye upendo kwa ndugu wa mume kama shemeji yangu. Najua wapo ila sijakutana nao tu. )

Begi la pili, kubwa zaidi lilikuwa na zawadi za watoto wa kaka, na kidogo za kaka.

(wanaume hatuna mambo mengi, zawadi zetu ni kidogo tu)

Begi la tatu sio kubwa sana, ni zawadi za mama pekee, sikuwahi mletea zawadi kubwa zile safari mbili za kwanza.

Beg la nne kubwa, ni zawadi za mngoni wangu, hapa nilihakikisha nauyeyusha moyo wake kwa furaha, amenipa mtoto, ananiangalizia mama, anasimamia biashara za mama. Nilitaka afurahi, nilimletea perfumes za gharama na nzuri.

(kama unayo pesa, jifunze kuwafurahisha watu wako wa karibu, hata mara moja kwa mwaka, pesa haijai hata uwe bahiri vipi)

****
Baada ya siku tatu kupita toka nitoke Finland, nilianza mizunguko yangu kama kawaida, niliporudi jioni nikakuta Rosemary amepoteza nuru ya furaha usoni.

Nilijaribu kutaka kujua tatizo, akakataa kuniambia, nikamuacha mpaka atakapokuwa tayari.

Nilioga, nikapewa chakula, yeye hakula na mimi siku hiyo. Niliendelea kula yeye anamlaza mtoto, akaja akatoa vyombo lakini hakutaka kusema tatizo.

Nilienda kuangalia email tokakwa Violet, nikakutana na kitu kilicho nishtua moyo wamgu. Asubuhi kabla sijaondoka nilifungua email kuangalia updates ya mambo yangu ya kibiashara, nikafanya kosa kubwa la ku minimize page ya inbox, sina kawaida ya kuzima laptop, huwa na hibernate.

Rosemary alifungua akakutana na inbox imesheheni emails za Violet. Akasoma kisha akarudisha kama alivyoikuta.

****
Niliamua kwenda kulala maana mails alizosoma ni ramani ya vita, sikuwa na ujanja, ikabidi nijipange kujibu maswali.

Nilimkuta Rosemary amekaa kitandani, mtoto alilala kitambo, nikakaa pembeni yake. Akaniangalia akaniuliza kama namhitaji usiku huo au nimechoka.

(kawaida Rosemary hana utaratibu wa kuniuliza maswahi kuhusu chakula cha wakubwa, anajua wajibu wake, muda wowote yuko tayari, labda awe kwenye siku zake.)

Nikaona huu ni mtego, ni kweli sikuwa na mpango wa kumla usiku huo, nilikuwa nimechoka, lile swali likanifanya nimjibu nje ya tayari wangu

Edson: " Naachaje kukuhitaji mke wangu, au wewe umechoshwa na mtoto nikuache upumzike."

Rosemary: " Mi niko sawa tu"

jibu halikuwa na bashasha nilizozoea.

Edson: "naomba uniambie unasumbuliwa na nini?.

Rosemary:" Labda uchovu tu ila niko sawa kabisa mume wangu. "

Nilishagundua tatizo, ila ni mpaka aanzishe yeye.

Edson:" Basi tufanye moja tu upumzike mke wangu, najua unachoka sana, kazi ni nyingi na mtoto anasumbua."

Sikuona sababu ya kumchelewesha, maana majibu hayakuwa na bashasha kama nilivyomzoea. Nilimwandaa kidogo, alipokuwa tayari, sikutaka atoe nguo ya ndani, niliisogeza tu pembeni nikazama.

Aliugulia utamu kwa kama nusu saa tu, tuka maliza. Nilijilaza pembeni, kanifuta jasho, pole, na Asante vikafata. Kisha aka lala ubavuni mwangu, akaegemea kifua.

Nikatania

Edson: " mke wamgu, kadri siku zinavyoenda mbele, unazidi kuwa mrembo na utamu unaongezeka.

akatabasamu na kicheko hafifu cha kejeri.

Rosemary:" Mimi na yeye nani mtamu zaidi?

Sikushtuka, maana nilishajua ni swala la muda tu, lazima afunguke.

Edson: " Nani tena huyo wa kulinganisha nae.? "

Rosemary:" usipange kunidanganya nimesoma email zako zote. "

Sikuwa na la kusema, ukweli wote anaujua, nikimdanganya nitawasha moto, hapa bora niwe kondoo tu nielekezwe kibla.

Edson: " Kwa nini umesoma emails zangu bila ruhusa yangu.? "

Rosemary:" Kuna mambo hayahitaji ruhusa, nijibu swali langu. "

Edson:" Wewe ni kila kitu kwangu, wewe ni mtamu sana."

Rosemary: " ulishindwa kuvumilia wiki moja tu?"

Edson: " hapana sikushindwa, nilikutana na mazingira magumu kidogo nife ndio ikanibidi nifanye. "

Hapa nilijipongeza kwa mwanzo mzuri, maana mke wangu alivutiwa na hiyo taarifa, akainuka akakaa aniangalie vizuri ninanvyodanganya.

Rosemary:" nani akuue, kwa nini. "

Niliamua kuwa mkweli tu, Rosemary hapendi kudanganywa, isitoshe ameshasoma email zangu zote.

Edson: "ilitokea kutoelewana na Violet, alikasirika kuoa bila kumjulisha."

Rosemary: " twende kwenye kuuawa kwanza."

Aliamua kuonyesha njia maana tayari anaijua.

Edson: " kulitokea kutoelewana na Violet, akanishiki bastola, sikuwa na jinsi nikakubaliana nae. "

" ni hiyo siku moja tu kwa kuwa alitaka tukaongee kwake, baada ya siku hiyo, sikumkubalia tena, "

Rosemary: " usinichokoze mume wangu, siku moja ndio mlifanya style zote zile. "

Edson:" style gani? Nimefanya nae mara moja, tena baada ya kushikiwa bastola, hizo style labda za zamani, we umeziona wapi, unaanza maneno yako. "

Nilichimba mkwara, kumbe mwenzangu kajipamga. Alinyanyuka akachukua karatasi kabatini kwake, akanipa.

Rosemary: "hata mimi nimeona ni siku moja mlifanya' aliongea huku machozi yanashuka mashavuni.

Nilipokea ile karatasi, nikakuta ame print email mpya ambayo sikuwa naijua , hata pale inbox haikuwepo, kumbe ameiweka archives.

Nilikuta violet amejiachia, ameeleza matukio yote mpaka mambo ya kupata dawasa na asante nyingi kwa nilivyompa raha, niliishiwa pozi, nikaiona hatari ya Kutokuwa makini.

Edson: "Samahani mke wangu, nimekukosea kwa kutembea nae, naomba unisamehe.

Rosemary:" Mume wangu, wiki moja tu unanisaliti, ukikaa mwezi si utaoa kabisa.?
"ndoa yetu bado changa sana, tuaanza ma migogoro kweli.?"

Edson: " sorry mke wangu, ni bahati mbaya tu, sikuwa na lengo hilo"

Rosemary: "bahati mbaya umemlala wiki nzima?, halafu unajifanya alikushikia bastola, tena bora angefanya hivyo tu."

Sikuwahi muona mke wangu anapandisha sauti vile, alirufa na kutetemeka. Ikabidi nitumie udhaifu huo kujaribu kumnyamazisha.

Edson:" kwa hiyo unaona ni bora angeniua sio? "

Rosemary:" mume wangu usinione mtoto, hakuna tukio la bastola litafanya umlale wiki nzima, alikuteka.?"

Edson: " mke wangu, umenichoka kiasi hicho kweli, inamana mimi nikudanganye kuwa alitaka kuniua, ili iweje.? "

Rosemary hapendagi nikipandisha sauti, anajua nimekasirika, huwa anarudi chini anatulia.

Rosemary:" samahani mume wangu, ulimi uliteleza tu, siwezi taka akuue, lakini maelezo yako hayaaminiki. "

Aliongea akiwa ameshusha sauti, na machozi amefura ila macho mekundu.

Edson: "mimi ndie ninaejua ukweli, na ndio maana nakwambia."

Rosemary: "Haya niambie ukweli, ilikuwaje

Nilimweleza mkasa mzima ila nikaficha baadhi aya mambo.

Rosemary:" nilihisi tu, huwezi muacha yule mwanamke. "

Edson:" Kwa nini siwezi? "

Rosemary:" Wanaume hamliziki hata upewe mpaka moyoni, bado utaona kisichana hapo unatamani, ndio mana sitaki dada wa kazi hapa, hamuaminiki."

Edson: "Kwa hiyo umenidharau kiasi hicho?"

Rosemary: "Nimetoa mfano tu. Kwa hiyo bado utaendelelea na huyo mtu wako?."

Edson: "Hatanipata tena."

Rosemary: "Kwani alikupataje mpaka asikupaye tena, we endelea nae tu, sitaki kudanganywa kama mtoto. Ila tambua nisije kukukuta na kisichana hapa tanzania, utanitambua siku hiyo. Uhuni wenu fanyie huko nje."

Edson: "Nimekuwa mhuni tena"

Rosemary: "Rizika na cha nyumbani, kama uliona hakikufai ulinioa ili iweje, sitaki foleni mimi."

Aliongea huku anaanza kulia

Edson: "Samahani mke wangu, nilipitiwa tu na shetani, niamini."

Rosemary: "Alivyokupitia ukakubali,una uhakika gani hatakupitia tena?"

Rosemary: "Unanijua lakini kuwa sio mtu wa wanawake, hata chuo ulishaniona na mtu?"

Rosemary : "Kule ni chuo, hapa ni kwangu, nakumiliki."

Edson: "Nisamehe mke wangu sitakuumiza tena."

Rosemary: "Usiseme kitu huna uhakika nacho, mlitumia kondom?"

Edson: "Hapana mke wangu."

Rosemary: "Kwa hiyo mnataka kuzaa tena? Una mwamini vipi mwanamke usieonana nae mwaka mzima? Unataka kuleta magonjwa nyumbani?"

Rosemary: "Hapana mke wangu, sikuwa nimejiandaa ndio maana nilikosa kondom."

(Sipendi kondomu, mbona Mungu hakutuvalisha kondom wakati tunazaliwa, siwezi punguza utamu kwa kuvaa mipira.)

Rosemary: "Acha umalaya, una mtoto sasa, lea watoto wako sio kufanya Uhuni."

Edson: "Mimi sio malaya, ni tukio hilo tu, umewahi nikuta na mwingine?"

Rosemary: "We jichunge mwenyewe, mimi sina huo muda. Ila nataka heshima, tena narudia sitaki utembee na mwanamke hapa Tanzania. Huwezi kufa kwa kuvumilia hata mwezi mmoja. Ukishindwa usiwe unasafiri, nataka kulea wanangu mimi sitaki wabaki yatima."

Edson: "Sawa mke wangu, nimekuelewa."

Tuliongea mengi, Rosemary ni mwepesi wa kusamehe, hasa akiona maneno yako yana ukweli.

Ila alianza kuongelea habari za dawasa. Hakuwa amewahi pata dawasa, ikawa kama nambania nampa mfin.

Wiki iliyofata nikaanza rasmi harakati za kumtafutia usajili wa dawasa, hatimae akapata usajili rasmi, tena yeye ni ile ya kung'oa koki. Alifurahi sana, nikasamehewa ujinga wangu wote.

Nikawa na piga miguu yote, ufin na mngoni, ufin anajua, mngoni hajui.

Ni kama penzi la mfin lilinishika, nikaanza visingizio vya kwenda kenya, Ethiopia au south Africa kutafuta channels za biashara.

Nikifika kenya mapanda ndege mpaka uturuki nakutana na mfin, wiki ikiisha anarudi kwao na mimi narudi kwetu.

Alitumia pesa sana kipindi hiki ili Rosemary asishtuke, maana nikirudi namwambia safari imelipa sana, inabidi mwezi ujao niende tena kuna jamaa nafanya nao mipango, uzuri hakuwa anataka kujua nafanya nini, aliniamini sana ila kwa Violet tu ndio hukuniamini.

Mngoni wangu hakuwa na nongwa maana pesa anaiona, kwa wazazi wake nawapa pesa kila mwezi bila kuuliza kama wamemaliza (kama mshahara ). Kaka zake nikawapa mtaji kila mtu afanye biashara anayotaka, wadogo zake nilikuwa nawasomesha.

Violet nilimpa masharti kam ananitaka kila mwezi, lazima awe anandaa hela ya kumpelekea Rosemary ili asishtuke.

Alikubali haraka maana pesa anayo, kutumia kiasi fulani kwa mwezi ili apate utamu, aliona ni jambo jepesi sana kuliko kuukosa.

Mapenzi yangu na Violet yaliimarika, ila kwa Rosemary yakaanza kuyumba.

Ukaribu wetu ulizidi sana kuliko hata zamani. Iikuwa kila wiki lazima tuongee kwa simu, pia karibia kila mwezi lazima nimtoroke Rosemary nimpelekee mfin tango.
******

Next

Part Nine F: Ending a beautiful relationship is never easy..

[emoji179]Love becomes stronger, Purple wants to overthrow Rosemary.

Table.jpg
Rose%20.jpg
Vio.jpg
Twins.jpg
 
Back
Top Bottom