Mkasi na lady jaydee

Mkasi na lady jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
For the past two years kama sikosei since show ya kijanja inayohusu mastaa mbalimbali apa bongo kuanzishwa,naizungumzia MKASI show.

Kilichonisukuma kuandika hii thread ni jinsi mwanadada anayefanya vyema kunako game ya bongo fleva,namzungumzia lady jaydee au anaconda kama anavyojiita kupotezewa au kuchelewa kufanyiwa mahojiano kwenye kipindi hicho.

Nimesema hivyo kwa sababu naamini ni watu wengi sana wanasubiria kwa hamu zamu ya mwanadada huyo ifike ili tupate kujua kiundani kidogo kuhusu mwanadada huyo na muziki wake,pamoja na bifu lilitokea siku chache zilizopita kati yake na kituo kimoja maarufu cha radio apa bongo.

Naamini salama ni mtangazaji makini sana na uwa haogopi kumhoji mtu kiundani zaidi,hivyo kukifanya kipindi chake kupendwa na watu wengi zaidi.

Natamani sana ifike zamu ya huyu mwanadada ili tupate kusikia mawili matatu kutoka kwake pengine hatujui mambo mengi kuhusu yeye na muziki wake,au pamoja na maisha yake kama staa,ni hayo tu,I hope salama atafikiwa na ujumbe huu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nadhan maprodyuza wa mkasi TV ambao ni kambi ya mwana fa waka act kiproffessional na kumualika lady jaydee
 
Hata wasipofanya hvo,sisi bdo tunamuamin anakitu cha kipekeea!####team Anaconda
 
salama yuko upande ya FA,siku ya show alikuwa kwa FA kama mlifuatilia.k ukweli lydjdee kawaacha mbali sana.
 
Nadhani mmesahau kwamba MKASI inamilikiwa na Ambwene. Hafu Ambwene na FA ndugu kitambo.
Enermy of my Friend z my Enermy
 
kwahyo umetumwa na SALAMA...? Mwambie hatuna shida ya JIDE kuuza sura mkasi.. Show yake ya DIARY tosha.
 
Mbn wako wengi bado jamani,Jay dee ndio umemuona peke yake?! Ushabiki huu unapitiliza
 
Aanzishe show yake nae kama anavotaka kuanzisha redio baada ya kuhisi clouds wanabania.
 
salama yuko upande ya FA,siku ya show alikuwa kwa FA kama mlifuatilia.k ukweli lydjdee kawaacha mbali sana.

Kitu ambacho namkubali salama hana upambe,hata kama anao bas anajitahidi kuuficha sana,tofauti na wengine unakuta mtu ana bifu na fulani basi na yeye anajiwekea bifu na huyo mtu ili tu aweke maslahi yake binafsi.salama anamkubali jide mara nyingi uwa anamtaja sana kwenye mkasi hata juzi wakat anamuhoj ally model alimtaj jide pia kuna kipindi aliwah muuliza monalisa kama anaamin kuwa jide ni legendary wa bongo fleva,kitu ambacho kwa namna moja au nyingine kinaonyesha jinsi mtangazaji huyo anavyomkubali jide.kuna baadhi ya watu hawataki kabisa hata kusikia jina la jide kwenye masikio yao hata kweny nyimbo ya benpol jikubal kuna kipande uwa wanakiminya kisa tu jide katajwa kweny hyo sehemu what a shame na kutokujiamni.keep up salama kwa kutokushabikia mabifu ya watu wengine we apo upo kazini hata kama bosi walo hamtak jide sio ishu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uko ulimwengu gani??...mbona show diary ya lady j dee inakimbiza hapa town?

Inakukimbiza wewe kwangu ni vitu vya kawaida sana,afu sinaga muda kushabikia wasanii wenye ubinafsi na wanaopenda kusufiwa wao tu
 
ngoja niwaweke sawa. mkasi ni ya ay. ay na jide wanawasiliana hadi kesho(cheki twiter). salama alienda kwny show ya fa na wiki iliyofuata anaconda alimpa salama album yake na kofia. bifu ni la fa na jide. ay na salama ni washkaji wa both jide n fa.
 
salama yuko upande ya FA,siku ya show alikuwa kwa FA kama mlifuatilia.k ukweli lydjdee kawaacha mbali sana.

Pia mmoja wa wamiliki na watayarishaj wa mkasi n AY ambaye n swahiba wa FA

Lakini Mbona Sugu Ambaye N adui wa Mwana Fatuma Alipewa shavu
 
Back
Top Bottom