warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
For the past two years kama sikosei since show ya kijanja inayohusu mastaa mbalimbali apa bongo kuanzishwa,naizungumzia MKASI show.
Kilichonisukuma kuandika hii thread ni jinsi mwanadada anayefanya vyema kunako game ya bongo fleva,namzungumzia lady jaydee au anaconda kama anavyojiita kupotezewa au kuchelewa kufanyiwa mahojiano kwenye kipindi hicho.
Nimesema hivyo kwa sababu naamini ni watu wengi sana wanasubiria kwa hamu zamu ya mwanadada huyo ifike ili tupate kujua kiundani kidogo kuhusu mwanadada huyo na muziki wake,pamoja na bifu lilitokea siku chache zilizopita kati yake na kituo kimoja maarufu cha radio apa bongo.
Naamini salama ni mtangazaji makini sana na uwa haogopi kumhoji mtu kiundani zaidi,hivyo kukifanya kipindi chake kupendwa na watu wengi zaidi.
Natamani sana ifike zamu ya huyu mwanadada ili tupate kusikia mawili matatu kutoka kwake pengine hatujui mambo mengi kuhusu yeye na muziki wake,au pamoja na maisha yake kama staa,ni hayo tu,I hope salama atafikiwa na ujumbe huu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums