Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitazama video ya lile tukio,hakukuwa na mwizi wa huo mkoba,Koffii alirudi kumshughulikia huyo binti hakuna kingine.....Kwa mujibu wa Azam TV aliyepigwa si mnenguaji bali alikuwa mvamizi tu
lilikuwa igizo la kuvuta attentionKiukweli kapigwa teke, lakini sikujua nini kimetokea...
Kweli mapenzi hayana macho,hata Dr Remi aliimba,kweli Koffi hana kauli kwa kuku wa kinyeji Cindy ambaye ndie sasa anajua ''kuoga''Cindy kaingiza mapenzi anaharibu ile bendi.
Anahofia Nazi yakedaah, Eh Mungu simama na huyu dada na umpe maisha marefu, ya furaha na mafanikio tele! anajinyima haki ya msingi ili atetee ajira yake inayofanya watoto wake hata mama ake waweze kula na pengne wapo zaid ya hao wanaomtegemea.
GENTAMYCINE uko wapi unielezee kwa undani kuhusu hili?Cindy kaingiza mapenzi anaharibu ile bendi.