Mkata mauno wa Koffi akanusha kupigwa na Papaa Mopao

Daah! kweli umaskini mbaya jamani, huyu kaogopa kukosa kazi ambayo lazima ataikosa tu, Kofi hawezi kumuacha atamtafutia kisa amtimue maana aibu aliyoipata plae airport ni kubwa na imemshushia heshima yake. Alipigwa mateke haswa wala si teke moja mpaka yule askari akaja kumshika kofii kuzuia hiyo vurugu. Huu uoga wetu ndio unafanya haki zetu ziwe mbali na sisi.
 
Kwa ile video nna uhakika wa 100% Koffie alimpga teke.Japo sijaona vizur
 
Labda aseme 'Koffi hajanipiga, alikuwa ananionyesha move mpya ya kuwasuprise wanairobi'
 
daah, Eh Mungu simama na huyu dada na umpe maisha marefu, ya furaha na mafanikio tele! anajinyima haki ya msingi ili atetee ajira yake inayofanya watoto wake hata mama ake waweze kula na pengne wapo zaid ya hao wanaomtegemea.
 
Anahofia Nazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…