Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Cindy ni kamrembo kana sauti...kana mauno...na ni kinyuri.... Kofiii ndio anakalowekea pipi nyama..... Jiongeze
Sorry for the pics quality, nimescreen shot tuuuNaam,that's my GENTAMYCINE
Asante sana.
Naomba unifanyie favour...
Niwekee picha ya huyo Cindy nimthaminishe...
Sio kwa sifa hizi!
Asante [emoji122][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kaka.Yap kwa Sura na umbile ni mzuri hasa isipokuwa tu ana Miguu mibaya ambayo ina matege ya kutokeza nje. Tafuta onyesho lao lile MUBASHARA la Dar walipokuja kutambulisha album yao ya SELFIE ujionee " ngoko " zake huyu Mdada Cindy. Ukitaka sauti ya kuimba nadhani kwa Cindy ndiyo Makao Makuu.
Asante dear...
Me na hivi nina ugonjwa na naturalistas, basi kanikuna haswaAsante dear...
Ni mzuri kweli.
Kuna wimbo anasifia pombe ya Skol ndiyo kale ka Dada alikoimba nako wimbo huo? Kana rangi flani chocolate kako natural.Cindy ni kamrembo kana sauti...kana mauno...na ni kinyuri.... Kofiii ndio anakalowekea pipi nyama..... Jiongeze
Koffi is known for being violent and abusive to members of his cru. The fact that he had trained in Karate has made him a monster. He has enslaved his dancers he picks from poor background.
Nifah!!!!! Umenivunja mbavu jamani, umtathminishe Cindy wa watukabisa? Uje my dear kuna sifa nyingine ya huyo Cindy hutaweza kuijua kamwe only Koffi na wanaume wengine ndio wanaijua. Umbea kazi jamani loh!.Naam,that's my GENTAMYCINE
Asante sana.
Naomba unifanyie favour...
Niwekee picha ya huyo Cindy nimthaminishe...
Sio kwa sifa hizi!
Asante [emoji122][emoji120]
Mkuu, kuna mahali nilisoma kuwa Cindy ndio sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya Koffi na mkewe, eti Koffii baada ya kumuajiri Cindy akazama jumla hakusikia la nani wala nani, mke ndio akaamua kusepa na Koffi akamtwanga talaka kabisa.Cindy ni Mke wa sasa wa Koffi Olomide na ambaye pia ni Mwanamuziki mwandamizi wa Bendi ya Quarter Latin. Ni Mdada aliyetokea katika Familia duni sana huko Kisangani DRC ila ni mwenye Kipaji cha juu sana cha kuimba na kucheza pia hali ambayo siku moja wakati Koffi Olomide anafanya Show yake katika Uwanja aliomba wajitokeze Mabinti wenye Vipaji vya kuimba ndipo wakajitokeza kadhaa lakini Cindy alionekana kumkuna vilivyo MOPAO MOKONZI, LE MAXIMONE, LARGE DEGAIRE, DIGITAL GRAND MITRE ( Koffi Olomide ) ndipo jamaa akaamua kumchukua hapo hapo.
Sababu ya kuolewa na Koffi Olomide.
Wakati Koffi Olomide akiwa ziarani huko Kisangani huku nyuma alikuwa ameshatalikiana na Mkewe aliyemzalia Wanae wapendwa akina Didistone na Del Piero hivyo akaona aue Ndege wawili kwa jiwe moja ambapo alipoenda tu Kwao kujitambulisha na kumtaka kumchukua Cindy pia akaonyesha Mahaba yake kwake ambapo wakati akisubiri jibu kutoka kwa Wazazi wake Baba yake Cindy akahamishwa kwa muda kuja Kinshasa ili kupisha ukarabati wa Nyumba yao uliofanywa na Koffi Olomide kisha ilipoisha akarudi Kwake.
Muda mchache baadae Koffi Olomide akajibiwa na Wazazi wa Cindy kuwa wameridhia amuoe Binti yao na kitendo cha Baba yake Cindy kukubali tu Bintiye aolewe na Koffi siku tatu baadae Baba yake Cindy alipokea zawadi ya Gari aina Vogue Brand New kabisa aliyopewa na Mkwewe Koffi na Mzee mzima akamchukua Mtoto Mrembo Cindy na hadi sasa wanaishi pamoja ambapo tayari ambapo ameshamzalia Mtoto ambaye anaitwa Ramsey. Kama umeusikia Wimbo wake wa SELFIE Koffi amemfagilia huyo Mwanae.
Nifah ni hayo tu na naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu, kuna mahali nilisoma kuwa Cindy ndio sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya Koffi na mkewe, eti Koffii baada ya kumuajiri Cindy akazama jumla hakusikia la nani wala nani, mke ndio akaamua kusepa na Koffi akamtwanga talaka kabisa.
Mmmmmhhhh! Ndio nini sasa GENTAMICINE! yaani kiuno tu umteme mwenzako?! acha bana.Kwa yale " mauno " aliyokuwa na bado anayakata Cindy na kwa aina ya hawa Wake zetu WAVIVU kukata " mauno " yao Vitandani hata Mimi ningeachana na Mke wangu. Mwanamke mzuri na anayejua hasa nini maana ya MAHABA lazima ajue kukata VIUNO sana na siyo tu kusimama kama Mti wa " mbuyu " na kila kitu afanye Mwanaume.
Nifah!!!!! Umenivunja mbavu jamani, umtathminishe Cindy wa watukabisa? Uje my dear kuna sifa nyingine ya huyo Cindy hutaweza kuijua kamwe only Koffi na wanaume wengine ndio wanaijua. Umbea kazi jamani loh!.
Kwa taarifa nilizonazo za kusimuliwa na Mcongo ambaye ni mdau mkubwa wa burudani ni kwamba ukiachana na kipaji Koffi ni mshirikina sana na Cindy ndio amebebeshwa mikoba ya Koffi, kwa kifupi Cindy ni msukule hai wa Koffi kimafanikio.Mkuu, kuna mahali nilisoma kuwa Cindy ndio sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya Koffi na mkewe, eti Koffii baada ya kumuajiri Cindy akazama jumla hakusikia la nani wala nani, mke ndio akaamua kusepa na Koffi akamtwanga talaka kabisa.
Nakufuata PM sweet darling,ndio maana nakupenda ujue?Nifah!!!!! Umenivunja mbavu jamani, umtathminishe Cindy wa watukabisa? Uje my dear kuna sifa nyingine ya huyo Cindy hutaweza kuijua kamwe only Koffi na wanaume wengine ndio wanaijua. Umbea kazi jamani loh!.
Huo ni mpango,Koffi alikuwa anatafuta kikiAmepigwa bwana tena hadharani kama hakupigwa kwanini walikuwa wanamshika koffi mwana Wa olomide