Mkata nyasi za garden natafuta kazi

Mchawi mwandamizi

Senior Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
117
Reaction score
335
Natafuta kazi za

1; Kutunza garden
2; Kukata nyasi za garden

Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden

Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
 
Wakuu mimi ni mzoefu wa kushughulika na garden na ndo kazi zinazoniweka mjini, ni mbunifu wa kiwango cha juu sana.

Naomba connection ya kazi hizo🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…