Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari.
Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na nchi zinazohudumiwa na BaNdari za bara mradi wa Bandari ya Mangapwani unawezekana.
Wakati huo huo TPA na Tanzania ziko mbioni kuingia mkataba na DP ambao unaleta kelele nyingi unaoweza kusababisha ama bandari za bara kufanya vizuri lakini pia unaweza kuziparalize.
Wakati huo huo Tanzania iko mbioni kujenga daraja la kuunganisha Zanzibari na Tanzania bara.
Je, hii miradi una uhusiano?