Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Heshima kwenu wana JF.
Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana.
1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa.
2: Kuna upande ambao haujui kama huu mkataba una faida au hasara.
3: Kuna upande unatetea kwa nguvu kubwa sana kuwa huu mkataba hauna dosari yeyote, ila wameshindwa kujibu pasi na shaka hoja zinazotolewa na upande unaosema mkataba unashida.
Baada ya kangalia sana, wanaoukubali huu mkataba na kuutetea kwa nguvu zote ni viongozi wa serikali na viongozi wa ccm wa ngazi mbalimbali.
Hili jambo limenipa kufikiri kuwa kuna fungu lilitolewa na wawekezaji, na wakapewa ccm ili waukubali huo mkataba, na hizo fedha zitumike kwenye uchaguzi 2025. (HAYA NI MAWAZO YANGU TU)
Je, wewe unafikiri kama mimi?