Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto ulao mjengoni utatoshaUwiiiiiiiiuwiiiiiiiiiiii ohhh MUNGU naomba kashushe garika pale Dodoma
Hata mimi sasa namkumbukaNAJUA IPO SIKU MTANIKUMBUKA.
TLS wamechukua hatua. Hongera, japo naamini hao Wajumbe wa Tume na uongozi wa TLS hawatakataa dau la Mwarabu waseme Mkataba huo (HGA) uko sawa kisheria. Wasipofanya hivyo, kwa Uzalendo, washauri Bunge kutokuuridhia kama inavyotaka Ibara ya 25(3).Tanganyika Law Society (TLS) mko wapi kupinga MoU hiyo mahakamani au Viongozi wenu nao wameahidiwa mshiko kama Wabunge kuupitisha. Je, kama Mkataba utapitushwa kwa jinsi ulivyo kwenye MoU Kifungu cha 23(4), hamwoni nchi inakuwa siyo salama kabisa?
Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai) hakuna upande utakaoruhusiwa kukosoa (denounce), kujitoa (withdraw), kuzuia (suspend) au kuvunja mkataba (terminate) kwa sababu yoyote ile.
Wana TLS wawekeni viongozi wenu kitimoto mjadili kwa undani hiyo MoU na kuishauri Serikali kwa maslahi mapana ya Taifa
Umeona eeh?Duuh ya Ndugai yanaenda kutimia
Inatuona kubwa ni WADANGANYIKAHivi hii awamu ya 6 inatuonaje Watanganyika ??
Inatakiwa watanzania wapige kelele na kuonyesha kwa ishara kama wafanyabiashara wa Kariakoo. Manen ya mtandaoni haya maana wanayapuuza.Tanganyika Law Society (TLS) mko wapi kupinga MoU hiyo mahakamani au Viongozi wenu nao wameahidiwa mshiko kama Wabunge kuupitisha. Je, kama Mkataba utapitushwa kwa jinsi ulivyo kwenye MoU Kifungu cha 23(4), hamwoni nchi inakuwa siyo salama kabisa?
Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai) hakuna upande utakaoruhusiwa kukosoa (denounce), kujitoa (withdraw), kuzuia (suspend) au kuvunja mkataba (terminate) kwa sababu yoyote ile.
Wana TLS wawekeni viongozi wenu kitimoto mjadili kwa undani hiyo MoU na kuishauri Serikali kwa maslahi mapana ya Taifa
Inatakiwa watanzania wapige kelele na kuonyesha kwa ishara kama wafanyabiashara wa Kariakoo. Manen ya mtandaoni haya maana wanayapuuza.
Unawajaza ujinga wajinga wenzako, hiyo ni IGA ambayo ni tofauti kabisa na miradi ya biashara itakavyokuwa.View attachment 2649374
Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba.
Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai) hakuna upande utakaoruhusiwa kukosoa (denounce), kujitoa (withdraw), kuzuia (suspend) au kuvunja mkataba (terminate) kwa sababu yoyote ile.
Kifungu hicho kinasema hata ikitokea upande mmoja ukashindwa kutekeleza masharti ya mkataba, bado hairuhusiwi kuvunja, wala kujitoa kwenye mkataba huo. Maana yake ni kwamba, Mwarabu akisema atapanua bandari ya Dar iwe kubwa zaidi, halafu akashindwa kufanya hivyo, haturuhusiwi kuvunja mkataba. Sijui unaelewa?
Hawakuishia hapo, kifungu hichohicho kinaeleza kwamba hata tukiingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na Dubai, bado haturuhusiwi kuvunja mkataba (we can not terminate the agreement even in severance of diplomatic relation). Yani hata ikitokea sisi na UAE tumevunja uhusiano wa kibalozi, tukamfurusha balozi wao, bado wataendelea kuendesha bandari yetu. Hata ikitokea tukapigana vita, bado haivunji mkataba. Waaarabu wataendelea kuendesha bandari yetu, penda tusipende.
Kwa lugha rahisi huu mkataba ni wa MILELE. Kwahiyo wale waliokua wanauliza kifungu gani kinachoeleza muda wa mkataba? Ni kifungu cha 23(4). Kinasema mkataba huo ni wa MILELE na MILELE mpaka Kristo atakaporudi kulichukua Kanisa.
Hii ni zaidi ya ndoa ya Kikristo ambayo ukishaapa kanisani, hata kama ana matege, ni wako huyo mpaka kifo kiwatenganishe. Na huu mkataba kifungu cha 23(4) kinasema ukishasaini tu, ngoma ni MILELE. Hakuna namna ya kutoka. Bahati mbaya tumeshasaini tangu October 2022.
Halafu "mjinga" mmoja aliyekua ripota wa TBC huko Namtumbo leo kawa Msemaji wa serikali, amekaa kwenye V8 anatuona Watanzania wote wajinga. Anatuambia eti ni mkataba wa miezi 12. Shame.!
Mnataka kuharibu urithi wa vizazi vyetu sababu ya matumbo? Hivi Nyerere angechumia tumbo tungepata uhuru? Endeleeni kutetea matumbo yenu, sisi tunatetea watoto na wajukuu zenu. Lakini ipo siku mtajibu. Kama si hapa, basi hata mbinguni.
MALISA GJ
Wewe ambaye hujaelewa huo mkataba ndio mjinga mwenyewe, waliousaini huo mkataba sio wa kwanza wala wa mwisho kwao kusaini.Wakati mwingine najiuliza; hivi hawa viongozi wetu pamoja na sisi Watanzania kwa ujumla tuna matatizo gani kwenye Ubongo wetu? Inawezekanaje mtu timamu kusaini Mkataba kama ule? Nimaswali ambayo huniumiza sana, kwasababu Mkataba umeonesha namna gani Taifa lina watu wajinga kupindukia.Nahuko tuendako ile kauli ya yule Mwendawazimu wa Kongwa itatimia.
Udogo wako kiumri ndio unakupa hoja ya kuongea ulivyoongea. Mwinyi alitawala nchi hii 1985-1995 pengine haukuwepo duniani kipindi hicho.Ivi watu wote sisi wa bara tunakubalije kutawaliwa na watu wa Zanzibar ? Kwamba sisi tumekua Koloni la wazenji mpaka imefikia hatua ya kuuza mali zetu kwa ndugu zao waarabu kwa faida yao ama ? Kwamba sisi ni Bongo lala sana ama ?
Inafikirisha sana hii.
!!!??????