Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

wewe unaamini kile kinachoonekana tu, kisichoonekana hukiamini kabisa.

Unajua tu mambo ya ulimwengu wa mwili, lakini ulimwengu wa roho hakuna ukijuacho kabisa..

Au upo hapa kupotosha tu kumbe wewe ndio kachawi kakubwa.
Watu kama hawa pengine ndio wapo kwenye hiyo mikataba! Achana naye atakuumiza kichwa! Huyu hataki watu wajue ukweli!
 
Kama mkataba na shetani unahusu kakabidhi roho Yako na KUFA mapema,

Mbona mzee chande (MKUU WA FREEMASON-EAST AFRICA) alikufa akiwa mzee sn.

Na amekua tajiri na maarufu Toka kitambo, na kwny freemason kahudumu miaka NENDA RUDI tangu enzi za Nyerere uko.
 
Labda mkataba wake hakuna kipengele cha kufa mapema
 
Ni ujinga tu Wa watu kutafuta sababu zisizokuwepo kwa kila tukio kwa mujibu Wa muono hafifu Wa kila mmoja. Hakuna mkataba na shetani wala nani. Kuwa maarufu na kufa muda mfupi ndio Uwe mkataba na shetani. Mbona mtoto anaweza kuzaliwa na kufa muda mfupi baadaye nao ni mkataba na shetani?. Upuuzi mtupu kuendekeza hizi fikra za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…