Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

Mama ni mvivuu hakusoma chochote ye alisaini tu hivyo naye kwa sasa anashangaa kama tunavyoshangaa sie wananchi.
"Hili nalo muende mkalitazame" haya sasa ndio matunda yake!!.
 
Naona wezi, wanufaika wa wizi na wapambe wa wezi wa bandarini mmekomaa kweli kweli kupinga uwekezaji bandarini

Bora make kwa kutulia tu, hili lilishapita bandari ya DSM anapewa mwarabu.

Tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
Wewe ni takataka
 
yaani acha tu, na anavyopenda kumbe wanamsonya
 
View attachment 2666299
Baadhi ya wapiga debe wa DP world wakiwa Dubai...​
eti waandishi wa habari?, kama kuna wakati hii taaluma imejitukanisha basi ni wakati huu....... poleni sana waandishi wa habari mlionyima uhuru wa kuitetea nchi yenu, na kuamliwa kusifia huku mkichaguliwa vichwa vya habari cha nini mkuu wa machawa anapenda
 
Naona wezi, wanufaika wa wizi na wapambe wa wezi wa bandarini mmekomaa kweli kweli kupinga uwekezaji bandarini

Bora make kwa kutulia tu, hili lilishapita bandari ya DSM anapewa mwarabu.

Tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
Alieingia mkataba na aliea achia wezi waibe bila kuchukuliwa Hatua ni Serikali mbili Tofauti????[emoji101][emoji101]
 
Alieingia mkataba na aliea achia wezi waibe bila kuchukuliwa Hatua ni Serikali mbili Tofauti????[emoji101][emoji101]
Na ndiye uyo huyo kaamua kuchukua hatua ya kuwadhibiti wezi kwa kumpa mwarabu
 
Aiseee kweli we ni mwanasheria?
Mbona unaonekana mtupu sana ktk hii Fani?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Alijua, na anaendela kujua kilichomo. Alikuwepo wakati mtangulizi wake anakataa hadharani lakini alipoondoka akageuza dira ukweli huo hapo.
 

Attachments

  • Dr John Pombe Magufuli Mktaba Bandari DSM.mp4
    4.7 MB
Alijua, na anaendela kujua kilichomo. Alikuwepo wakati mtangulizi wake anakataa hadharani lakini alipoondoka akageuza dira ukweli huo hapo.
kiazi mbatata, huwezi hata kusoma ujiridhishe mkataba wa kuliingiza taifa kwenye maridhiano unashindwa hata kujua umeandikwa nini? kanichosha sana nilikuwa nampenda lakini kwa hili hapana
 
Rais Samia namuonea huruma sana, kazungukwa na watu wenye malengo yao maovu na hapindui kwao.

Ni wanasiasa wasiotaka kuzeeka na kukubali kuwa muda wao umeshakwisha, ni matajiri wanaoendelea kutajirika kwa migongo ya wafanyabiashara vijana.

Hawa ni sehemu ya maadui zake wa sasa. Anatimiza tu mradi ulioanzishwa na hayati JPM miaka ile alipoingia ikulu.

Lakini hao wapigaji wamekuja na tafsiri zao potofu humu jukwaani wakijaribu kuaminisha umma kuwa nchi inakwenda kuuzwa tena kwa waarabu, wamemchonganisha SSH na wazanzibari wengine ili mradi tu status quo pale bandarini iendelee kuwa kama ilivyo sasa.

Ndani ya miezi sita atakuwa anasoma kinachoendelea pale TPA akiwa amekaa ikulu. Ni vita lakini lazima aishinde.

Ni aibu kwa wastaafu anaowaamini, ni aibu kwao kwamba hawataki kukubali kuishi wao kama wao na sio kuishi wao wakiwa na kundi kubwa la wapigaji linalowategemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…