Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

82907BD3-B013-4A8B-AD3F-5794E96FDC0F.jpeg
 
Rais Samia namuonea huruma sana, kazungukwa na watu wenye malengo yao maovu na hapindui kwao.

Ni wanasiasa wasiotaka kuzeeka na kukubali kuwa muda wao umeshakwisha, ni matajiri wanaoendelea kutajirika kwa migongo ya wafanyabiashara vijana.

Hawa ni sehemu ya maadui zake wa sasa. Anatimiza tu mradi ulioanzishwa na hayati JPM miaka ile alipoingia ikulu.

Lakini hao wapigaji wamekuja na tafsiri zao potofu humu jukwaani wakijaribu kuaminisha umma kuwa nchi inakwenda kuuzwa tena kwa waarabu, wamemchonganisha SSH na wazanzibari wengine ili mradi tu status quo pale bandarini iendelee kuwa kama ilivyo sasa.

Ndani ya miezi sita atakuwa anasoma kinachoendelea pale TPA akiwa amekaa ikulu. Ni vita lakini lazima aishinde.

Ni aibu kwa wastaafu anaowaamini, ni aibu kwao kwamba hawataki kukubali kuishi wao kama wao na sio kuishi wao wakiwa na kundi kubwa la wapigaji linalowategemea.

Mtanda wa wezi ni mkubwa. Mama kaona ampe mwarabu asiyemjua Farao. Mtakoma
ondoa uzenji hapa, tanahangaikia Tanganyika yetu, akagawe kwao
 
Mama ni mvivuu hakusoma chochote ye alisaini tu hivyo naye kwa sasa anashangaa kama tunavyoshangaa sie wananchi.
"Hili nalo muende mkalitazame" haya sasa ndio matunda yake!!.
Sio kosa lake Bali ni elimu aliyonayo
 
Back
Top Bottom