Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

Wameshindwa kusimamia, na sio kwenye bandari tu - wameshindwa kila sehemu.
Kazi wanayoweza ni KUKOPA, KUUZA KWA HASARA na KUTEMBEZA BAKULI la kuomba misaada.
Uko sahihi, lakini pia wanayaua kwa makusudi kabisa mashirika ya umma kwa wizi, ufisadi, 10%, rushwa.

Wanatanguliza maslahi binafsi kwanza na ya CCM, familia zao na machawa wao. Hawajali maslahi ya Taifa.
 
Wanaotuona wajinga wajue Mungu ni wa wote.
 
Haijawahi kutokea labda itakuwa ndio mwanzo !
 
Ningekuwa Mwenyekiti wao, namteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro...alafu naenda zangu Marekani.
Kweli hapo utakua umefanya diversion hatari wote tutahamia uko kujadili makonda
 
Mbona miradi ya mwamba Magufuli hakuna ccm yeyote aliyegusa walqa kujaribu kuisabotage?

acheni ngonjera za kijinga, Mama hatoshi hapo na sisi tumesema kitambo.
Hakuna anayeweza kupinga ! Tusidanganyane !! Lakini kama mapato ya bandarini yataongezeka kuna Ubaya gani kubinafsishwa ! Hayati Mkapa alibinafsisha Viwanda na mashirika mangapi ?! Miaka nenda rudi wanabadilishwa wakurugenzi wa Bandari lakini ufanisi ni zero ! Au tatizo lipo kwa ni akina nani wanataka kupewa kuiendesha ??!
 
hiki ndicho kipindi cha mavuno kwao, pole Tanganyika watu wanakunyonga mchana mchana bila aibu.
 
Mwanzo wa Kumeguka au Mwanzo wa Mwisho
Kuna wabunge wengine ndani ya CCM wana hofu ya Mungu, Bunge linakweza kugawanyika na ikawa mwisho wa Ndiyooooooooooooo, in GOD we pray.
 
Ukiwa unalijali Taifa la Tanzania na una AKILI TIMAMU sidhani kama unaweza kushauri mkataba wa kijinga na kipumbavu kama huu eti upitishwe,Hivi mtu anayetaka kuwekeza ni nani anayepaswa kumpangia mwenzake ni mwenye mali au mpangaji,Waafrika tunatia Aibu sana sana,yaani unawezaje kumpa mgeni bandari eneo ambalo ni la kiusalama kabisa kwa Taifa,Siku zote uongozi wa kijinga unaprove failure,yaani ndio kusema kwamba watanzania hawana AKILI kabisa ya kuendesha bandari yetu mpaka tuseme tuibinafsishe,Hv SAMIA anafeli wapi kama Raisi?Je tunataka kusema kwamba pale bandarini pana VILAZA?na kama pana ubadhilifu ni nani anaulea zaidi Raisi wa nchi yetu na CCM Yao.Basi itoshe kusema hatimae CCM mmeamua kulihatarisha Taifa letu.MUNGU ANAWAONA ENDELEENI KUVAA UJINGA KICHWANI.
 
Kwakweli kesi za hao jamaa nyingi sana kwa nini hatujifunzi? Hatuelewii? Sikio la kufa ?
 
Kuna wabunge wengine ndani ya CCM wana hofu ya Mungu, Bunge linakweza kugawanyika na ikawa mwisho wa Ndiyooooooooooooo, in GOD we pray.
And So Let it Be[emoji1787]
 
Tunaongelea Mkataba unaohusiana na Bandari zetu kubinafisishwa bila kikomo wewe unaanza kumshambulia Mwendazake. Wewe Kum* acha ujinga!
 
Tunaongelea Mkataba unaohusiana na Bandari zetu kubinafisishwa bila kikomo wewe unaanza kumshambulia Mwendazake. Wewe Kum* acha ujinga!
Uyo Kum* ni babaako,mamaako,mmewako na nduguzo kadhaa usinipangie chakusema na chakufikiria mpuuzi wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…