Mkataba wa Bocco uvunjwe haraka kwa maslahi ya sisi mashabiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.

Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.

Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.

Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi mashabiki,kama kocha anamtaka basi sisi hatumtaki. Kigezo cha mchezaji kubaki ni kuonyesha kiwango. Sasa huyu anabaki kwa kiwango kipi? Tofauti yake na wale walioachwa au kutolewa kwa mkopo wana tofauti gani na Boko. Charles Ilamfya ana tofauti gani na Boko?

Kama mtambakisha tunaanzisha kampeni ya kumkataa. Tutamzomea yeye na kocha anayempanga.
 
Simba ilikwama wapi kumsajili Ngushi awe mbadqlq wa Boko??
 
mimi nilisema boko so mchezaji kuna watu wanasema et alitupitisha kwenye makundi, tumpe heshima hivi unaishije na mke anae kudharau mbele za watu wanao kuheshimu
 
Simba ni timu kubwa sana sasa HV. Lkn viongozi ni kama okotaokota sana. Hivi wachezaji wafuatao wanafanya nini pale simba to be honest: Dilunga, Mhilu, mwanuke,....hivi kweli mnataka kufika nusu fainali na wachezaji kama hawaa kweeeli....
 
Bocco anastahili kupewa heshima yake kaisaidia Sana Simba ,Ila heshima sio kulazimisha kumchezesha mchezaji ambae amechoka kimwil na kiakil.
Simba kweli wapo serious kumpa no Bocco kwa ushindani ulivyo kwa Sasa?

Bocco alipaswa awe technical bench iwe Kama Ni kumpa heshima yake lakin kulazimisha eti acheze tunakosea Sana na mnatukosea Wana Simba.
Yaan ukiangalia uchezaji wake wa Leo ndio Basi ,mchezaj hajui hata namna ya kujiposition yeye tu kila Mara yupo offside ,forward gan ya namna ile?
Anapata mpira kashut Kama kashindia uji ,.

Simba Kama wapo serious Kuna wachezaj hawapaswi kuwa pale nao Ni

Bocco
Mhilu
Wawa
Gadiel
Nyoni
Kagere
Kakolanya
.yaan Hawa Ni mzigo kwa timu ,Ila wanaobak angalau kidogo ,Simba sio timu ya kuwa na wachezaj wa waswas yaan unakua na wachezaj wa kuunga unga namna hiyo kweli alafu et una malengo ya kufika fainal za shirikisho Africa!!! Huu Ni utani kabisa Tena utani wa kipuuz ,
Kwenye dirisha dogo hili Simba ikiendelea kulea Lea ujinga Basi hata robo wasahau kufika ukitoa ubingwa maana mpka saiz sijaona mchezaj wa kuamua mechi ngumu kwenye timu yetu ya Simba .
 
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.

Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.

Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.

Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi mashabiki,kama kocha anamtaka basi sisi hatumtaki. Kigezo cha mchezaji kubaki ni kuonyesha kiwango. Sasa huyu anabaki kwa kiwango kipi? Tofauti yake na wale walioachwa au kutolewa kwa mkopo wana tofauti gani na Boko. Charles Ilamfya ana tofauti gani na Boko?

Kama mtambakisha tunaanzisha kampeni ya kumkataa. Tutamzomea yeye na kocha anayempanga.
Respect legends wako

Mbona ulaya hawatreat legends wao kama nyie huku bara giza

Pumbavu.......
 
Back
Top Bottom