Bocco anastahili kupewa heshima yake kaisaidia Sana Simba ,Ila heshima sio kulazimisha kumchezesha mchezaji ambae amechoka kimwil na kiakil.
Simba kweli wapo serious kumpa no Bocco kwa ushindani ulivyo kwa Sasa?
Bocco alipaswa awe technical bench iwe Kama Ni kumpa heshima yake lakin kulazimisha eti acheze tunakosea Sana na mnatukosea Wana Simba.
Yaan ukiangalia uchezaji wake wa Leo ndio Basi ,mchezaj hajui hata namna ya kujiposition yeye tu kila Mara yupo offside ,forward gan ya namna ile?
Anapata mpira kashut Kama kashindia uji ,.
Simba Kama wapo serious Kuna wachezaj hawapaswi kuwa pale nao Ni
Bocco
Mhilu
Wawa
Gadiel
Nyoni
Kagere
Kakolanya
.yaan Hawa Ni mzigo kwa timu ,Ila wanaobak angalau kidogo ,Simba sio timu ya kuwa na wachezaj wa waswas yaan unakua na wachezaj wa kuunga unga namna hiyo kweli alafu et una malengo ya kufika fainal za shirikisho Africa!!! Huu Ni utani kabisa Tena utani wa kipuuz ,
Kwenye dirisha dogo hili Simba ikiendelea kulea Lea ujinga Basi hata robo wasahau kufika ukitoa ubingwa maana mpka saiz sijaona mchezaj wa kuamua mechi ngumu kwenye timu yetu ya Simba .