OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba ilikwama wapi kumsajili Ngushi awe mbadqlq wa Boko??Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.
Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.
Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.
Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi mashabiki,kama kocha anamtaka basi sisi hatumtaki. Kigezo cha mchezaji kubaki ni kuonyesha kiwango. Sasa huyu anabaki kwa kiwango kipi? Tofauti yake na wale walioachwa au kutolewa kwa mkopo wana tofauti gani na Boko. Charles Ilamfya ana tofauti gani na Boko?
Kama mtambakisha tunaanzisha kampeni ya kumkataa. Tutamzomea yeye na kocha anayempanga.
Au kama vipi angestaafu tu..halafu sijui kawapa nini
nashangaaga hata sub huwa awamuoni kabisa sijui kaomba utest zari la mental Respect legends wakoSihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.
Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.
Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.
Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi mashabiki,kama kocha anamtaka basi sisi hatumtaki. Kigezo cha mchezaji kubaki ni kuonyesha kiwango. Sasa huyu anabaki kwa kiwango kipi? Tofauti yake na wale walioachwa au kutolewa kwa mkopo wana tofauti gani na Boko. Charles Ilamfya ana tofauti gani na Boko?
Kama mtambakisha tunaanzisha kampeni ya kumkataa. Tutamzomea yeye na kocha anayempanga.
Pumbavu mwenyewe. Kwani hapa ulaya?Respect legends wako
Mbona ulaya hawatreat legends wao kama nyie huku bara giza
Pumbavu.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah et pumbavuuuuRespect legends wako