Mkataba wa Bocco uvunjwe haraka kwa maslahi ya sisi mashabiki

Yoooooote Mliyosema hapa Kumhusu Bocco Sio 'Kweli'..!
Aidha Nyie Utopolo Au ni Watu Msiokuwa Fadhila.....!
Huyu Mwamba Kaifanyia Makubwa Sana Simba....na Kwa Sasa Ana Recover from injuries.msitake Miujiza Ya Kufikirika..
 
Ila mashabiki wa Tanzania tuna dunia yetu
Kanoute mlisema hafai
Sakho mlisema hafai
Na bwalya pia hafai
Ukitaka kujua ubora wa bwalya angalia kwenye caf champion's league.
 
Mchezaji wa kuamua mechi yupo Kibu Denis na Bernard Morison.
 
Ila mnyonge mnyongeni, Bocco bado anastahili heshima yake simba, sio mchezaji wa kumuacha kienyeji namna hiyo, anastahili kuwa kwenye techical bench hata la timu ya vijana au wasichana
Bocco anapita katika kipindi cha mpito lkn bado anastahili heshima yake.
 
Form is temporary, Class is permanent
 
Timu mlishamuuzia MO,yeye ndio anapanga kila kitu
 
Bocvo Katusaidia Sana ila niwakati wake wakupumzika
 
πŸ˜πŸ˜‚
Morrison aamue mechi 🀣🀣
Kibu nae et anaweza kuamua mechi. 😁
Basi dunia ina maajabu yake.
nani aliamua mechi ya Red Arrows,nani aliamua mechi ya KMC Tabora. mnakuja humu mnatukenulia meno tu,hata kama hater tumia akili basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…