mkataba wa kazi

mkataba wa kazi

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,493
Reaction score
361
Napenda kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa JF,mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi hapa mjini toka nianze kazi sijawahi pata mkataba wa kazi na toka nianze kazi sasa nina muda wa miaka 2 sijapata mkataba wa kazi nimejaribu kufatilia hadi nimechoka sijaweza kupata mkataba nilichokua nacho ni barua ya offer ya kazi inayoelezea kwamba nimepewa miezi 3 ya probation na kiwango cha mshahara ninalipwa je ni haki kweli hapo wadau?
 
Kuna mjadala ulishaongelea hili jambo humu mwaka or so ago au labda na wakati mwingine. Sechi neno mkataba wa kazi lazima utapata nyuzi, kama utakuwa haujajibiwa na wajuao.
 
Back
Top Bottom