mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,493
- 361
Napenda kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya kuwa mmoja wa JF,mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi hapa mjini toka nianze kazi sijawahi pata mkataba wa kazi na toka nianze kazi sasa nina muda wa miaka 2 sijapata mkataba wa kazi nimejaribu kufatilia hadi nimechoka sijaweza kupata mkataba nilichokua nacho ni barua ya offer ya kazi inayoelezea kwamba nimepewa miezi 3 ya probation na kiwango cha mshahara ninalipwa je ni haki kweli hapo wadau?