Mkataba wa kazi

Mkataba wa kazi

dj1000

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Habari! napenda kujua wanasheria kuhusu mkataba wa kazi, hivi kunasheria inasema kama mwajiri wako ajakupa mkataba mpya na bado unafanya kazi na anakutambua na anakulipa mshahara kila mwisho wa mwezi.

Je, inamaanisha kuwa umerenew nae mkataba automatic baada ya mwezi mmoja kupita wa kukupa mkataba mpya?
 
ni muhimu kufahamu kuwa mikataba ya kazi inayo makubaliano ya kutia saini pande mbili zote ..sasa ukisema hivyo kisheria wewe hautakuwa na uhalali kwakua hakuna mahala ulipo tia siani
 
Back
Top Bottom