Mkataba wa kujitolea unadhibitiwa na Sheria?

Mkataba wa kujitolea unadhibitiwa na Sheria?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Habari!
Naomba kujua hivi kuna mkataba wa kujitolea?
Yaani mkataba unakuwa na maneno"mkataba huu wa kujitolea umesainiwa...
Je kama upo nini maana ya neno kujitolea na kama mana yake ni uhiari je uhiari unadhibitiwa kisheria?
Nini maana ya neno probabation period?. Je nani mnufaika kati ya mwajir na wajiriwa?

Ahsanteni njooni mnipe shule tafadhali!
 
mi naomba ufafanuzi mkuu, unamaanisha nini kwa kusema mkataba wa kujitolea?
 
probation period ni kipindo cha matazamio ambacho mwajiri humtazama mwajiliwa kama anafaa katika kazi. Kipindi hichi chaweza kuwa mwaka au miezi sita na baada ya hapo ndipo mwajiliwa atapata ajira rasmi kama ataonekana anafaa katika hiyo kazi. Sheria inamwamuru mwajiri kuongeza muda wa probation kama mwajiliwa ataonekana hajafiti katika kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom