Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.
Manara anadanganya anaposema hakuwa na mkataba na Simba... Chochote alichoambiwa na akakubali kufanya kazi ndio mkataba wenyewe.
Manara anasema analipwa shilingi Laki saba kwa mwezi lakini hajasema ni marupurupu gani amekuwa akiyapata ambayo pengine hayana makato ya kodi.
Manara huyo ana elimu ya shule ya msingi na anasahau kuna watu wenye digrii walau moja wanalipwa chini ya kiasi hicho cha fedha.
Kwa kiwango cha elimu ya manara alistahili mshahara wa chini ya laki 3.
Kama ni kweli Manara anapata manyanyaso kama alivuodai basi Club inapaswa kuchukua hatua za haraka. Kwa upande wa pili, Manara ameonesha ninkiasi gani elimu inasaidia kwenye kufanya maamuzi sahihi. Manara angekuwa na walau degree moja asingeenda kuichafua club anayodai ameibrand huko insta.