Mkataba wa Manara

Mkataba wa Manara

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.

Manara anadanganya anaposema hakuwa na mkataba na Simba... Chochote alichoambiwa na akakubali kufanya kazi ndio mkataba wenyewe.

Manara anasema analipwa shilingi Laki saba kwa mwezi lakini hajasema ni marupurupu gani amekuwa akiyapata ambayo pengine hayana makato ya kodi.

Manara huyo ana elimu ya shule ya msingi na anasahau kuna watu wenye digrii walau moja wanalipwa chini ya kiasi hicho cha fedha.
Kwa kiwango cha elimu ya manara alistahili mshahara wa chini ya laki 3.

Kama ni kweli Manara anapata manyanyaso kama alivuodai basi Club inapaswa kuchukua hatua za haraka. Kwa upande wa pili, Manara ameonesha ninkiasi gani elimu inasaidia kwenye kufanya maamuzi sahihi. Manara angekuwa na walau degree moja asingeenda kuichafua club anayodai ameibrand huko insta.
 
Migongano hiyoo imeanza ili timu yetu isifanye vizuri kwenye mchezo wa Tar 25 na michezo itakayofuata baada ya huo. Hongereni Utopolo mmeweza kutugonganisha ktk kipindi ambacho tulihitaji mshikamano kuliko migongano
 
Hii issue naona kuna ujanja ujanja mwingi sana hapa kati, Manara anamlalamikia Barbara kupitia Kitenge Tv lakini hao Kitenge Tv hawakutaka kupoteza muda wao kumtafuta Barbara nae aseme ya upande wake.

Pamekuwepo na mahusiano kati ya Manara na GSM, na hata kwenye harusi yake inasemekana hao GSM walimpa mzigo wa kutosha, Manara awe makini asitumie mahusiano yake na GSM kuleta mvuragano Simba.

Kama aliona palikuwa na tatizo, alitakiwa kwenda kwa uongozi wa Simba akaeleze shida yake kule, sio anaita chombo cha habari tena cha shabiki wa kutupwa wa Yanga ndio anaanza kulalamika wakati huu tukiwa tunajiandaa na mchezo dhidi ya Yanga siku ya jumapili.

Kwa mtazamo wangu naona Manara anatumiwa na Yanga kuleta mvuragano Simba, atafeli upesi sana kwa huu uzandiki wake, ningeushauri uongozi wa Simba, Mo in particular, umefika wakati wa kuachana na Manara atafutwe msemaji mwingine.
 
Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.
Manara anadanganya anaposema hakuwa na mkataba na Simba... Chochote alichoambiwa na akakubali kufanya kazi ndio mkataba wenyewe.
Manara anasema analipwa shilingi Laki saba kwa mwezi lakini hajasema ni marupurupu gani amekuwa akiyapata ambayo pengine hayana makato ya kodi.
Manara huyo ana elimu ya shule ya msingi na anasahau kuna watu wenye digrii walau moja wanalipwa chini ya kiasi hicho cha fedha.
Kwa kiwango cha elimu ya manara alistahili mshahara wa chini ya laki 3.
Kama ni kweli Manara anapata manyanyaso kama alivuodai basi Club inapaswa kuchukua hatua za haraka. Kwa upande wa pili, Manara ameonesha ninkiasi gani elimu inasaidia kwenye kufanya maamuzi sahihi. Manara angekuwa na walau degree moja asingeenda kuichafua club anayodai ameibrand huko insta.
Kuna njia ya kulizungumza hili faragha na si kulileta ktk social media, jamaa ana mihemko na hafanyi kazi kiuweledi.
 
Hii issue naona kuna ujanja ujanja mwingi sana hapa kati, Manara anamlalamikia Barbara kupitia Kitenge Tv lakini hao Kitenge Tv hawakutaka kupoteza muda wao kumtafuta Barbara nae aseme ya upande wake.

Pamekuwepo na mahusiano kati ya Manara na GSM, na hata kwenye harusi yake inasemekana hao GSM walimpa mzigo wa kutosha, Manara awe makini asitumie mahusiano yake na GSM kuleta mvuragano Simba.

Kama aliona palikuwa na tatizo, alitakiwa kwenda kwa uongozi wa Simba akaeleze shida yake kule, sio anaita chombo cha habari tena cha shabiki wa kutupwa wa Yanga ndio anaanza kulalamika wakati huu tukiwa tunajiandaa na mchezo dhidi ya Yanga siku ya jumapili.

Kwa mtazamo wangu naona Manara anatumiwa na Yanga kuleta mvuragano Simba, atafeli upesi sana kwa huu uzandiki wake.
Au pengine ameshaona wazi anaenda kutimuliwa hivyo anafanya kutumia defence mechanism tu ili waonekane wanamuonea.
 
Una certificate unataka ulipwe kiasi gani? Serikali ni huo ni mshahara wa mhasibu mwenye degree kabla ya promotion. Aache mdomo akasome
50 cent.gif
 
Hii issue naona kuna ujanja ujanja mwingi sana hapa kati, Manara anamlalamikia Barbara kupitia Kitenge Tv lakini hao Kitenge Tv hawakutaka kupoteza muda wao kumtafuta Barbara nae aseme ya upande wake.

Pamekuwepo na mahusiano kati ya Manara na GSM, na hata kwenye harusi yake inasemekana hao GSM walimpa mzigo wa kutosha, Manara awe makini asitumie mahusiano yake na GSM kuleta mvuragano Simba.

Kama aliona palikuwa na tatizo, alitakiwa kwenda kwa uongozi wa Simba akaeleze shida yake kule, sio anaita chombo cha habari tena cha shabiki wa kutupwa wa Yanga ndio anaanza kulalamika wakati huu tukiwa tunajiandaa na mchezo dhidi ya Yanga siku ya jumapili.

Kwa mtazamo wangu naona Manara anatumiwa na Yanga kuleta mvuragano Simba, atafeli upesi sana kwa huu uzandiki wake, ningeushauri uongozi wa Simba, Mo in particular, umefika wakati wa kuachana na Manara atafutwe msemaji mwingine.
Wala hakuna ubishi manara anaiuza simba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kama unalipwa hela kama hiyo, halafu huna mkataba na ulipi kodi, si ni mkwepa kodi. Inabidi ipigwe hesabu ya jumla toka ameanza kulipwa ili serikali ichukue chake.
 
Manara amekua akichukua pesa kwa wachezaji ikiwemo Mkude na Ajib baada ya hawa kutokuwa kwenye mipango ya Simba chokochoko ameanza.
CEO alimuonya vikali alipomdhalilisha mwandishi wa habari Na akamkumbusha pia alipotukana waandishi wote kuwa ni wajinga. Alionywa kwa mdomo kirafiki kuwa hayo sio usemaji wa level ya Simba . Sasa anabwabwaja. Aende tu shule vinginevyo bye bye.
 
Manara ni mganga njaa tu, Simba imemnufaisha na kuumpa umaarufu mkubwa tu, kwa namna yeyote ile aisingefika hapo alipofika bila Simba.

Tatizo ni pale alipokubali kufanya kazi na Gsm na hao hao Gsm ni wafadhili wa Yanga na asili ya akina Gsm ni warabu wa asili ya kimahara wanapenda sana fitna majungu hata baina yao katika biashara, upigaji mwingi , deal makers nakadhalika.

Wamemrubuni Manara na wamejua njaa zake , Gsm kuifikisha Yanga kimafanikio bila fitna ujanja ujanja hawawezi wamezoea kila jambo kwao ni short cuts.

Lazima wamemtumia Manara na siri nyingi za Simba tayari wanazo mfano hai ni suala la Senzo aliyekuwa simba , Gsm ni kazi yao majungu fitna za chini chini hata katika familia zao wenyewe,

Mfano hai mwingine hata Ramadhani cup waliivuruga wao na wataharibu Soka la Tanzania.
Yaaani ni genge la fitna na ni mahodari sana kutumia udhaifu wa mtu kulifikia jambo.

Na bado watafanya juu chini ubingwa wa Tanzania bara wachukuwe msimu ujao kwa hila zote.
 
Back
Top Bottom