Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote.

Kwanza walishindanishwa na nani, ushahidi uko wapi, hiyo hela iliyotolewa iko wapi, ni nani anajua wametoa, wamepata wapi pesa yote hiyo, Je ni njama tu ya kuwabeba?

Haya yote yachunguzwe, hatutaki ubabaishaji.
 
Naona mliokuwa mnatangaza mpira wetu bure inawauma.
Uchunguzwe na nani kwa manufaa ya nani?
Mkalipe hela TBC mpate haki ya kutangaza, mambo ya kienyeji mwiko saivi.
Mtu anahoji uwezekano wa mambo kufanyika kienyeji, wewe ndugu unasema mambo kienyeji mwiko, bila kuthibitisha. Tujue angalau kama kuna zabuni iliitishwa.
 
Hatujaona tender bids, bidders wengine ni wakinani,je wadau wameshirikishwa? Kama hapana huo mkataba batili na pia utaleta mgongano maana timu husika zitahitaji mgao
 
Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja , tena Taasisi yenyewe kama TBC , ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote .

Kwanza walishindanishwa na nani , ushahidi uko wapi , hiyo hela iliyotolewa iko wapi , ni nani anajua wametoa , wamepata wapi pesa yote hiyo , Je ni njama tu ya kuwabeba ?

Haya yote yachunguzwe , hatutaki ubabaishaji .
Toka wamemuweka yule Msomali wao TF, hakuna cha kustaajibisha...Nilimshangaa saana Tarimba na kelele zake juzi ndio nikajua kumbe kuwa huyu jamaa pamoja na kuwa mtoto wa mjini kumbe ni "fala tu " hajui lolote yaani yuko nje ya "system'.. bahati mbaya Tarimba alikuja "kuumwa sikio" baadae na wenye akili ndio nae akajito kwenye kugombea nafasi ya Urais..Shenzy type
 
TBC watapiga pesa sana hapo kwa watakaotaka kutangaza mpira
 
Back
Top Bottom