Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Una uhakika unajua unachokiongea mkuu?Naona mliokuwa mnatangaza mpira wetu bure inawauma.
Uchunguzwe na nani kwa manufaa ya nani?
Mkalipe hela TBC mpate haki ya kutangaza, mambo ya kienyeji mwiko saivi.
Una uhakika sababu mlizoandika hapo juu zina mashiko?Una uhakika unajua unachokiongea mkuu?
Mtu anahoji uwezekano wa mambo kufanyika kienyeji, wewe ndugu unasema mambo kienyeji mwiko, bila kuthibitisha. Tujue angalau kama kuna zabuni iliitishwa.Naona mliokuwa mnatangaza mpira wetu bure inawauma.
Uchunguzwe na nani kwa manufaa ya nani?
Mkalipe hela TBC mpate haki ya kutangaza, mambo ya kienyeji mwiko saivi.
Alikuwa wapi kuhoji mpira wetu ulipokuwa unatangazwa bure?Mtu anahoji uwezekano wa mambo kufanyika kienyeji, wewe ndugu unasema mambo kienyeji mwiko, bila kuthibitisha. Tujue angalau kama kuna zabuni iliitishwa.
Sasa hivi baada ya mkataba wewe kama wewe utapata bei gani?Alikuwa wapi kuhoji mpira wetu ulipokuwa unatangazwa bure?
kwanini unaogopa uchunguzi ?Alikuwa wapi kuhoji mpira wetu ulipokuwa unatangazwa bure?
Toka wamemuweka yule Msomali wao TF, hakuna cha kustaajibisha...Nilimshangaa saana Tarimba na kelele zake juzi ndio nikajua kumbe kuwa huyu jamaa pamoja na kuwa mtoto wa mjini kumbe ni "fala tu " hajui lolote yaani yuko nje ya "system'.. bahati mbaya Tarimba alikuja "kuumwa sikio" baadae na wenye akili ndio nae akajito kwenye kugombea nafasi ya Urais..Shenzy typeKuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja , tena Taasisi yenyewe kama TBC , ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote .
Kwanza walishindanishwa na nani , ushahidi uko wapi , hiyo hela iliyotolewa iko wapi , ni nani anajua wametoa , wamepata wapi pesa yote hiyo , Je ni njama tu ya kuwabeba ?
Haya yote yachunguzwe , hatutaki ubabaishaji .
Kwa hiyo kama hukuhoji mwanzo, hulusiwi kuhoji milele, ni kama umepanic bila sababu.Alikuwa wapi kuhoji mpira wetu ulipokuwa unatangazwa bure?
Jaribu kuwa serious..redio zinazotangaza mpira ni kama kina sibuka fm..ikiambiwa hata ilipe milioni 10 kwa mwana nadhani hawataweza,watakula kona.TBC watapiga pesa sana hapo kwa watakaotaka kutangaza mpira
Azam TV walishindana na naniHatujaona tender bids, bidders wengine ni wakinani,je wadau wameshirikishwa? Kama hapana huo mkataba batili na pia utaleta mgongano maana timu husika zitahitaji mgao
Hiyo ni shida yote kosa moja haliondoi kosa jingineAzam TV walishindana na nani
πππJaribu kuwa serious..redio zinazotangaza mpira ni kama kina sibuka fm..ikiambiwa hata ilipe milioni 10 kwa mwana nadhani hawataweza,watakula kona.
Walishindana Tbc taifa na TBC fm wakashinda Tbc taifaHatujaona tender bids, bidders wengine ni wakinani,je wadau wameshirikishwa? Kama hapana huo mkataba batili na pia utaleta mgongano maana timu husika zitahitaji mgao