LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Pamoja na sportpesa kuwa ni taasisi kubwa ya kimataifa inafanya mikataba mibovu na washirika wake. Imenishangaza sana kujitoa kwa Simba kwenye udhamini imekuwa kama jambo la ghafla.
Nilitegemea taarifa za Simba kuondoka Sportpesa zijulikane miaka miwili kabla ya mkataba kuisha na pande zote zipate fursa nzuri ya kupanga kumaliza mkataba
Nilitegemea taarifa za Simba kuondoka Sportpesa zijulikane miaka miwili kabla ya mkataba kuisha na pande zote zipate fursa nzuri ya kupanga kumaliza mkataba