Majungu Majungu Majungu na fitina vitakuua kijanaTarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Mwanaune unaishi kwa majunguTarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Labda wewe ulikuwa ufahamu lakini wengi tulikuwa tunajua kwamba msimu huu ni mwisho wa mkatabaPamoja na sportpesa kuwa ni tasisi kubwa ya kimataifa inafanya mikataba mibovu na washirika wake...imenishamgaza sana kujitoa kwa simba kwenye udhamini imekuwa kama jambo la ghafla.
Nilitegemea taarifa za simba kuondoka sportpesa zijulikane miaka miwili kabla ya mkataba kuisha.na pande zote zipate fursa nzuri ya kupanga kumali za. Mkataba
Last time I checked Simba wana:M-Bet ni kampuni ya kichovu tu, chuki za MO ni kama mwanamke hivi, yaan yy ugomvi personal anauingiza kwenye Biashara.
YANGA wenzao wana wadhamini
1. TAIFA GAS
2. MAJI YA AFYA
3. GSM
4. AZAM MEDIA
5. SPORTPESA
Afu bado watapata udhamini mpya hivi karibuni.
MO aachane na biashara za chuki kwa wenzake ana ajikite katika maboresho ya bidhaa zake.
Azam media hana mkataba na SimbaLast time I checked Simba wana:
1. VunjaBei
2. Mo29
3. Mo Extra
4. ATCL
5. Emirates Aluminium
6. Africarriers
7. Azam Media
8. M-Bet
Kama hawa wameletwa kwa "chuki za Mo", basi kumbe hizo ni Chuki zenye manufaa
Hapo kabla ulikuwa umeolewa! Baadaye ukaanza kumlalamikia mumeo hafai! Anakupa fedha kidogo tu ya matumizi!Tarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Azam media hana mkataba na Simba
Mo extra na Mo29 ni kampuni ya mtu mmoja, na ndio kusema Yanga watangaze, MAX, GSM FORM ambazo zote ni GSM
Mikataba yao mingi ni ya kifamilia ya Dewji, yaan Mlango wa mbele na Nyumba lkn nyumba ni hiyo hiyo.
Hii inapelekea timu kutegemea zaidi pesa za kutoka mfukoni kwa mtu.
Azam hana mkataba na Simba ?Azam media hana mkataba na Simba
Mo extra na Mo29 ni kampuni ya mtu mmoja, na ndio kusema Yanga watangaze, MAX, GSM FORM ambazo zote ni GSM
Mikataba yao mingi ni ya kifamilia ya Dewji, yaan Mlango wa mbele na Nyumba lkn nyumba ni hiyo hiyo.
Hii inapelekea timu kutegemea zaidi pesa za kutoka mfukoni kwa mtu.
Mkataba wa sportpesa na vilabu vya kariakoo havivuki boarder. Kama una picha yeyote ya jezi ya Simba ikiwa na maandishi ya sportpesa katika michezo ya klabu bingwa au shirikisho naomba utupie. Sportpesa wanaishia huku bongo ila mashindano ya kimataifa hawapo.Tarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Nembo ya SportPesa haivaliwi kimataifa. Zingatia hilo!Tarimba anakubaliana na simba kwamba watapata hela nyingi kuliko yanga halafu akifika jangwani anabadilisha kibao anawapa yanga dau kubwa kuliko simba kwasababu ya ushabiki wakati simba anawakilisha kimataifa simba walikuwa wavunje mkataba ila wakasubiria mpaka uishe ila alichofanya tarimba kwa simba ni ujinga wawape yanga hzo hela tuone watafika wapi CAF champion's league.
Kwenye hatua ya awali na hatua ya kwanza zinavaliwa. Katazo ni kuanzia hatua ya makundi kuendelea mbele.Mkataba wa sportpesa na vilabu vya kariakoo havivuki boarder. Kama una picha yeyote ya jezi ya Simba ikiwa na maandishi ya sportpesa katika michezo ya klabu bingwa au shirikisho naomba utupie. Sportpesa wanaishia huku bongo ila mashindano ya kimataifa hawapo.
Kwahiyo simba TV pale azam media haina mkataba??? Nyie wabongo mnafeli wapi?? Vitu vidogo kama hivi unahitaji kwenda udsmAzam media hana mkataba na Simba
Mo extra na Mo29 ni kampuni ya mtu mmoja, na ndio kusema Yanga watangaze, MAX, GSM FORM ambazo zote ni GSM
Mikataba yao mingi ni ya kifamilia ya Dewji, yaan Mlango wa mbele na Nyumba lkn nyumba ni hiyo hiyo.
Hii inapelekea timu kutegemea zaidi pesa za kutoka mfukoni kwa mtu.
Liverpool TV pale Azam wana mkataba na Azam tv?Kwahiyo simba TV pale Azam Media haina mkataba? Nyie wabongo mnafeli wapi? Vitu vidogo kama hivi unahitaji kwenda udsm
Mbona we ndo una chuki za kike?M-Bet ni kampuni ya kichovu tu, chuki za MO ni kama mwanamke hivi, yaan yy ugomvi personal anauingiza kwenye Biashara.
YANGA wenzao wana wadhamini
1. TAIFA GAS
2. MAJI YA AFYA
3. GSM
4. AZAM MEDIA
5. SPORTPESA
Afu bado watapata udhamini mpya hivi karibuni.
MO aachane na biashara za chuki kwa wenzake ana ajikite katika maboresho ya bidhaa zake.
Bado walikuwa wako preliminary.Kwenye hatua ya awali na hatua ya kwanza zinavaliwa. Katazo ni kuanzia hatua ya makundi kuendelea mbele.
Hapa chini ni sportpesa "wakiuza sura" kwenye "viuga mbalimbali barani Afrika"
View attachment 2297405View attachment 2297408
MO chupli ananyooshwa sasa anaanza kujipendekeza kwa Rais, mara Mh Rais kafanya hivi mara Vile, watu wamemshtukia wanakula nae sahani moja.Mbona we ndo una chuki za kike?