Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Duuuh hii ya nyasi bandia ndo naiskia leo aiseeMkataba ulikuwa ni Simba na Mazembe, Samatta akiuzwa kwenda timu nyingine Simba atapata 20% ya bei ta mauzo. Ndicho kilichofanyika na Simba wakamaliza jumla jumla na Samatta. Sasa sijui Mazembe na Genk walikuwa na makataba wa aina gani!!!
Kiufupi hii safari ya Aston Villa, Simba hahusiani nayo zaidi ya kuombea dua afanikiwe kwani ni kijana wao na aliwalipia kodi ya nyasi bandia
Sent using Jamii Forums mobile app