kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Hapo mwenyewe unajipiga kifua ujutii kuipenda simba kwa raha wanazokupa,rage akukosea kuwaita mbu3
Sport pesa haiwez kuondoka yanga..sababu ya ushabiki maandazi wa tarimba utawanyima vitu vingi sana yanga ...hata tycoon companies zingine zikija zitakuta uswahili huyo ponjoro hawez achia kirahisi..
Kuna vitu kama mtu mwenye akili timamu ulipaswa ujiulize kabla hata haujahamia kwenye mkataba wa Sportspesa na Yanga.Bilioni 4 tu, uvae Kifuani neno Sportpesa Mwaka mzima?
Ama Kweli ukipewa na ukashiba 'Supu' hakuna kuwaza tena kinachobakia ni kupewa chapati 2 ule ukalale.
Simba huwa mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mwaka jana mkasema mmeingia mkataba na mbet wa bil 26, mwaka huu bet pawa bil 20 . Ngoja nicheke kwanza, Simba inazidi kushuka thamani.
Mbumbumbu mkiambiwa mnazo akili za kuvukia Barabara mnachukia lakini ndio ukweli,,unahoji mkataba wa sportpesa badala ya kuhoji mkataba wenu na M.bet umeishaje wa b.26?Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.
Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?
Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?
Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
Umejiuliza bilioni 20 za Simba kwa miaka mingapi?Bilioni 4 tu, uvae Kifuani neno Sportpesa Mwaka mzima?
Ama Kweli ukipewa na ukashiba 'Supu' hakuna kuwaza tena kinachobakia ni kupewa chapati 2 ule ukalale.
Viongozi wa Simba wanajua kuwa wanachama wao ni mambumbumbu,sasa mnafurahia mkataba uliojaa uwongo baada Mo atawaletea mabilioni anoyowadai kwa umbumbumbu wenu lawama zote kwa mangungu.Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.
Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?
Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?
Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
mkataba wa m-bet ulikuwa miaka mitano, lakini umeishia 2yrs, mkuu zungumza kidogo kuhusu hili.Simba wapo kiprofessional zaid huku Yanga wako kilocal zaidi wameendekeza urafiki kwenye biashara lazima wapate kiduchu