Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Wewe kipato chako kwa mwaka unafikisha sh ngapi?Yanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
Thamani ya pesa kipindi icho na sasa Iko sawa? Na vipi billion 26 za m.bet mkataba wake uliishaje ebu tuambieYanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
Endelea kucheza Bao hapo kijiweni wengine wakiendelea kutajirika...Simba huwa mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mwaka jana mkasema mmeingia mkataba na mbet wa bil 26, mwaka huu bet pawa bil 20 . Ngoja nicheke kwanza, Simba inazidi kushuka thamani.
Endelea kucheza bao hapo kijiweni na makapuku wenzio mkidanganyana kuhusu Simba huku wengine wakiendelea kua matajiri na mikataba ikiendelea kusainiwa.Viongozi wa Simba wanajua kuwa wanachama wao ni mambumbumbu,sasa mnafurahia mkataba uliojaa uwongo baada Mo atawaletea mabilioni anoyowadai kwa umbumbumbu wenu lawama zote kwa mangungu.
Unataka kusema 2022 mkataba wa ki chief mangungo waliosain yanga na sportpesa hela illikua na thamani kuliko sahivi? Kweli nimeamini hapo utopolo wenye akili ni wawili tuThamani ya pesa kipindi icho na sasa Iko sawa? Na vipi billion 26 za m.bet mkataba wake uliishaje ebu tuambie
Nimekuuliza mkataba wa b.26 wa Mbet umeishia wapi?Unataka kusema 2022 mkataba wa ki chief mangungo waliosain yanga na sportpesa hela illikua na thamani kuliko sahivi? Kweli nimeamini hapo utopolo wenye akili ni wawili tu
Siyo kumfunga 5imba ,ni kumfumua 5imbw na kubeba makombe hadi Afrika kusini
Mbet ni kampuni ndogo simba imeamua kuvunja nao mkataba sahivi wako na Betway kampuni inayothamini hadi westham unitedNimekuuliza mkataba wa b.26 wa Mbet umeishia wapi?
Mpaka apo umedhihirisha umbumbumbu wa hali ya juu,,wakati mnasaini nao mkataba amkuyajua ayo? Kwaiyo taasisi yenu ni kama genge la walevi linaongozwa kiholela?Mbet ni kampuni ndogo simba imeamua kuvunja nao mkataba sahivi wako na Betway kampuni inayothamini hadi westham united
Ngoja nimpigie simu Ponjoro wa kinondoni ili atupe maelezo.Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.
Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?
Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?
Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?
' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
Wewe usiyecheza bao unafanya nini hapa jamii forum.Endelea kucheza Bao hapo kijiweni wengine wakiendelea kutajirika...
Maliza Mabogus wanao wakanda kila sikuYanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus