Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Lakini haujasema kama baada ya kuuupokea huo mkataba aliusaini au aliishia tu kwenye kuusoma na baada ya kuona upuuzi wote uliomo ndani yake akakurudishia.
Sa
Safi kwa kumchana huyo vyeti feki
So did he sign the contract or not? Bado haujaweka wazi hili.Upuuzi wote uliopo kwenye mkataba hasa ahadi unatoka kwake. Huo nimeamua kuiweka kimaandishi katika mkataba ili huko mbele tusigeukane
Umenikumbusha mbali Sana kuhusu Mtemi Deo. Kesho mwezi unaandama na hivyo kuna kila sababu ya kuamini kuwa dishi lishaanza kuyumba.Mwandiko kama wa Deo Kisandu
So did he sign the contract or not? Bado haujaweka wazi hili.
Hebu tuwe watu wazima jamani sio kila linalopita kichwani unalirusha humu...muda mwingine tumia akili uheshimike..Unahasira kama huyo jamaa kwenye avatar yako😀😀
We jamaa 🤣🤣🤣Mwandiko kama wa Deo Kisandu
Hebu tuwe watu wazima jamani sio kila linalopita kichwani unalirusha humu...muda mwingine tumia akili uheshimike..
Nimejifunza kitu mkuu!!
Kwamba makanisa ya kisasa yanatumia waumini kama bidhaa ya kuuza vile Ili kukuza umaarufu na kipato Cha mwenye kanisa !!!
Hapa unatusanua mapema kwamba unapojiunga na kanisa IPO haja ya kusaini mkataba hasa matumizi ya mapato!!!
Halina akili hiliUneona na wewe pia!! Upumbavu mtupu
Halina akili hili
Robert hivi huwa unafokaga?Heshima gani unataka hapa kwa Watu usiowajua Mkuu.
Mtu anayetaka kukuheshimu atakuheshimu tuu. Usitafute kuheshimiwa heshima inakuja tuu yenyewe.
Karibu kanisani
Robert hivi huwa unafokaga?
So una hulka ya upole... Fine na vipi kupiga mwanamke? Unafahamu?Mimi ni mpole, sijui Kufoka.
Ila Niko very strictly
So una hulka ya upole... Fine na vipi kupiga mwanamke? Unafahamu?